Kwa hiyo tatizo lako ni nini?Kwahiyo duniani yuko Hassan mmoja tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tatizo lako ni nini?Kwahiyo duniani yuko Hassan mmoja tu?
Ngoja taarifa zako nizipeleke kwenye vyombo vya usalama kuwa unasema baba yake ni Alli HassanKwa hiyo tatizo lako ni nini?
SawaNgoja taarifa zako nizipeleke kwenye vyombo vya usalama kuwa unasema baba yake ni Alli Hassan
Tafuta vizuri, tena anaelezea yeye mwenyewe.Wakuu salam,
Nimekuwa tu interested na hili baada ya kufanya maongezi na jamaa yangu fulani ndio ikaclick kuwa hili ni kweli, kwenye wasifu na historia ya Rais Samia inaanza alizaliwa wapi, aliposoma na alikopita mpaka kufikia Rais lakini siyo nyuma ya hapo kama ilivyokuwa kwa viongozi wengine kuanzia Nyerere.
Kupata wasifu wa Samia na taarifa nyingine zaidi soma hapa: Wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan
Je, Mzee Suluhu alikuwa ni mtu wa aina gani? Alikuwa ana nyadhifa fulani serikalini? Au ni mama yake ndio alikuwa na ushawishi kwenye siasa na kumfanya Rais Samia naye afuate nyayo? Influence ya Rais Samia ilitokea wapi mpaka kujiingiza kwenye siasa mpaka kufikia kwenye ngazi kumbwa kabisa ya uongozi ya Urais?
Tukipata na picha zao itapendeza pia.
Usiogope kamanda tarehe 23 nategemea tutakua wote mstari wa mbele kwenye maandamanoSawa
Dar yenyewe huijuwi wewe, wacha kuingiza watu mkenge.Usiogope kamanda tarehe 23 nategemea tutakua wote mstari wa mbele kwenye maandamano
Faiza naomba unishauri niende kwenye maandamano au nisiende?Dar yenyewe huijuwi wewe, wacha kuingiza watu mkenge.
Itakusaidia nini kwa mfano?
😆😆😆Unataka tusema babake halisi ni fulani afu tupoteee sio