- Thread starter
- #41
Mpaka Sasa hakuna Alie ishinda Corona Ila Corona bado inaongoza na nikwambie tu wameamua kurudi kufanya kazi sababu ngoma bado ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana na ugonjwa ujuaji tulio nao watanzania tukipata tiba au chanjo yake, tutakuja vizuri sana. Maulana atujalie.
WHO imetambua juhudi na mafanikio yao, Trump ameongea na Kagame kumpongeza na hata kujifunza. Wewe nani kudhani kuwa yamewashinda?
Yakikushinda wewe usidhani yamewashinda wote. Hukusikia Museveni, Kagame na Kenyatta walikubaliana kuhusu mikakati isipokuwa jiwe?
Huna haja ya kujisikia vibaya wako vizuri mkuu. Ushahidi ni mwingi, jiwe anajua na serikali ya Tanzania inajua.
Uzi huu wa March 27 uliwaangazia pia wao:
South Africa na Rwanda mataifa yaliyodhamiria kuondokana na Corona - JamiiForums
Ukiona vyaelea vimeundwa.