Kwetu wafuasi wa Chadema wanaonekana ni wahuni ni vibaka, Sasa wanajificha hawataki wajulikane

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa CHADEMA wanatoa kauli za kejeli na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws).

Tunashukru Mungu mpaka muda huu wale wafuasi wa chadema wamehama vyama kwa kuhamia CCM baada ya kuona wanatengwa na jamii kutokana na matendo yao ya hovyo ya kukejeri na kutukana watu.

Siasa si kutukana siasa ni hoja
 
Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa chadema wanatoa kauli za kejer na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws).

Huko kwenu wapi Mkuu?
Hapo umedanganya nadhani next time kabla hujatuma post humu acha UBONGO ufanye kazi sio TUMBO.
 
Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa chadema wanatoa kauli za kejer na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws).

Tunashukru Mungu mpaka muda huu wale wafuasi wa chadema wamehama vyama kwa kuhamia CCM baada ya kuona wanatengwa na jamii kutokana na matendo yao ya hovyo ya kukejeri na kutukana watu.

Siasa si kutukana siasa ni hoja
Nakueka kiporo ,kwa sababu nipo kwenye mfungo ,Mungu anirehemu ,ila majangili kama wewe mnatakiwa kukabiliwa kadri mjavyo , ngoja nimalize mfungo ipo siku nitakurudia ukiwa mfu au hai
 
Kwenu wp huko?
 
Tupe Area Code,acha Porojo.
CCM Wenyewe Wakimuona Mwana Chadema Mmoja Tu,wanatetemeka
Maana Wanachadema Wanajiamini Na Ni Ma-genius.
 
Chadema itawatoa roho mwaka huu...dadeq.!

Mmeifungia isishiriki uchaguzi, lakini bado hamjiamini, ikitajwa tu mnaweweseka.
 
Nakueka kiporo ,kwa sababu nipo kwenye mfungo ,Mungu anirehemu ,ila majangili kama wewe mnatakiwa kukabiliwa kadri mjavyo , ngoja nimalize mfungo ipo siku nitakurudia ukiwa mfu au hai
Huku chadema wanasomeka ni majangili
 
Tupe Area Code,acha Porojo.
CCM Wenyewe Wakimuona Mwana Chadema Mmoja Tu,wanatetemeka
Maana Wanachadema Wanajiamini Na Ni Ma-genius.
Huku chadema wanajificha maana wanatengwa
 
Back
Top Bottom