Kwetu wafuasi wa Chadema wanaonekana ni wahuni ni vibaka, Sasa wanajificha hawataki wajulikane

Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa CHADEMA wanatoa kauli za kejeli na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws).

Tunashukru Mungu mpaka muda huu wale wafuasi wa chadema wamehama vyama kwa kuhamia CCM baada ya kuona wanatengwa na jamii kutokana na matendo yao ya hovyo ya kukejeri na kutukana watu.

Siasa si kutukana siasa ni hoja
Kumbe huko kwa Wagagagigikoko hamna akili?
 
Lione hili zombie
Id Yako Tu Utadhani Jina La Mzizi.
Ma-zombie Yako Ccm,na Mmesetiwa
Wabunge Wa Kenya Walishawapa Makavu Live,kwamba Ukiwa Ccm Hauhitaji Akili Tena,huko Mnafikiria Kwa Kutumia Vinye*
 
Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa CHADEMA wanatoa kauli za kejeli na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws).

Tunashukru Mungu mpaka muda huu wale wafuasi wa chadema wamehama vyama kwa kuhamia CCM baada ya kuona wanatengwa na jamii kutokana na matendo yao ya hovyo ya kukejeri na kutukana watu.

Siasa si kutukana siasa ni hoja
Wewe ni pimbi sana! Kila saa chadema! Mbona mlisema imekufa? Mfu anawasumbua akili Tena mpk mnadata! Shenzi type!
 
Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa CHADEMA wanatoa kauli za kejeli na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws).

Tunashukru Mungu mpaka muda huu wale wafuasi wa chadema wamehama vyama kwa kuhamia CCM baada ya kuona wanatengwa na jamii kutokana na matendo yao ya hovyo ya kukejeri na kutukana watu.

Siasa si kutukana siasa ni hoja

kwenu ni wapi huko tuje kukuwasalimia na kuhakiki hiki unachokiongea.
 
Back
Top Bottom