Huko kwenu wapi Mkuu?Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa chadema wanatoa kauli za kejer na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws).
Tunashukru Mungu mpaka muda huu wale wafuasi wa chadema wamehama vyama kwa kuhamia CCM baada ya kuona wanatengwa na jamii kutokana na matendo yao ya hovyo ya kukejeri na kutukana watu.
Siasa si kutukana siasa ni hoja
Huyo kwao huko ndie bonge la dada 🔥Huko kwenu wewe ndiyo dada mkubwa?
Nakueka kiporo ,kwa sababu nipo kwenye mfungo ,Mungu anirehemu ,ila majangili kama wewe mnatakiwa kukabiliwa kadri mjavyo , ngoja nimalize mfungo ipo siku nitakurudia ukiwa mfu au haiHapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa chadema wanatoa kauli za kejer na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws).
Tunashukru Mungu mpaka muda huu wale wafuasi wa chadema wamehama vyama kwa kuhamia CCM baada ya kuona wanatengwa na jamii kutokana na matendo yao ya hovyo ya kukejeri na kutukana watu.
Siasa si kutukana siasa ni hoja
Kwenu wp huko?Hapa nilipo kulikuwa na vuguvugu za kisiasa baada ya mikutano kufunguliwa, ilitokea wafuasi wa chadema wanatoa kauli za kejer na matusi ikabidi viongozi wa mtaa waingilie Kati kwa kuwaonya ili tabia ya kukejeri na kutukana watu ikome. Waliwawekea Sheria Kali (by-laws).
Tunashukru Mungu mpaka muda huu wale wafuasi wa chadema wamehama vyama kwa kuhamia CCM baada ya kuona wanatengwa na jamii kutokana na matendo yao ya hovyo ya kukejeri na kutukana watu.
Siasa si kutukana siasa ni hoja
Huku CCM wanasomeka ni majangili, WAHUNI, majizi ya kura, mafisadi, wachawi, wauwaji, wezi wa rasilimali za taifa, nk.Huku chadema wanasomeka ni majangili
Mkuu hili litakua likimbinzi kutoka RwandaHuko kwenu wapi Mkuu?
Hapo umedanganya nadhani next time kabla hujatuma post humu acha UBONGO ufanye kazi sio TUMBO.
Wameshaanza na wengine wanakujaHuko kwenu wewe ndiyo dada mkubwa?
Lione hili zombieTupe Area Code,acha Porojo.
CCM Wenyewe Wakimuona Mwana Chadema Mmoja Tu,wanatetemeka
Maana Wanachadema Wanajiamini Na Ni Ma-genius.