Hehehehe,mtoa mada kanikumbusha mbali saaaaana..kipindi nimepanga uswahilini kuna lijamaa lilinipa shida sana usiku,ilikuwa haipiti siku lazima limkamue demu wake kuanzia mida ya satano usiku hadi sanane ndo wanalala,mbaya zaidi demu wake pamoja nayeye wote walikuwa wanapiga makelele utadhani maombi ya walokole..lijamaa likikaribia kupiz lilikuwa linalia na sauti lake 'nakojoaaaa nakojoaaa nakojoooo''...nikaona huu ushenzi siku niliwavizia walivoanza mambo yao nikaenda dirishani kwao,lijamaa lilipoanza kulia tu nakojoaa nakojoaaa namimi nikaliambia kwa sauti ''kunyaaa kunyaaaa kunyaaa'' toka siku iyo sikusikia makelele teeeeena.