Kwichi kwichi usiku mzima

Kwichi kwichi usiku mzima

Mimi nimeshawahi kuwa safarini kikazi Songea mjini nikala guest inaitwa NIPO iko pale karibu na stand, chumba cha jirani alikuwepo mpangaji mwenzangu (nasikia alitoka Msumbuji muuza madini) loooo jamani ilikuwa tabu usiku kucha!!! binti akawa analia kwa maumivu sio raha, halafu lijamaa linaongea kwa sauti kubwa SAWA NAKOJOA SASA VUMILIA
Nazani ulilowa kabisa uko ikulu kwa kelele zao
 
Haya ni mateso bila haki. Wee subiri na Mimi Leo narudi na kitu
Kila MTU ana mzuka lakini si kwa style hii aisee hapana kabisa
Nyumba zenyewe hizi za uswazi hazina singlibodi halafu mnatifuana kwa sauti ili mniumize sio
Utaisoma huku Jf mateso uliyonipa subiri zamu ysngu jioni

Hama hapo.......sio lazima ukae.......
 
Haya ni mateso bila haki. Wee subiri na Mimi Leo narudi na kitu
Kila MTU ana mzuka lakini si kwa style hii aisee hapana kabisa
Nyumba zenyewe hizi za uswazi hazina singlibodi halafu mnatifuana kwa sauti ili mniumize sio
Utaisoma huku Jf mateso uliyonipa subiri zamu ysngu jioni
pole,oa tu mkuu.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Pole mkuu na wewe chukua demu, afu mvalishe headphone weka sauti kubwa kwenye headphone kisha anza kwichi kwichi kelele atakazotoa hapo hao majirani zako watakuheshimu, hawatakutesa tena. Uswahilini huwa tunajibiana kiuswahilini. Huku hakuna mazungumzo ya busara.
 
Hehehehe,mtoa mada kanikumbusha mbali saaaaana..kipindi nimepanga uswahilini kuna lijamaa lilinipa shida sana usiku,ilikuwa haipiti siku lazima limkamue demu wake kuanzia mida ya satano usiku hadi sanane ndo wanalala,mbaya zaidi demu wake pamoja nayeye wote walikuwa wanapiga makelele utadhani maombi ya walokole..lijamaa likikaribia kupiz lilikuwa linalia na sauti lake 'nakojoaaaa nakojoaaa nakojoooo''...nikaona huu ushenzi siku niliwavizia walivoanza mambo yao nikaenda dirishani kwao,lijamaa lilipoanza kulia tu nakojoaa nakojoaaa namimi nikaliambia kwa sauti ''kunyaaa kunyaaaa kunyaaa'' toka siku iyo sikusikia makelele teeeeena.
 
Jf iendelele milele Na milele Adi vizazi vyeti vyote vije vifurahie mada za jf iwe kumbu kumbu kwao
 
Hehehehe,mtoa mada kanikumbusha mbali saaaaana..kipindi nimepanga uswahilini kuna lijamaa lilinipa shida sana usiku,ilikuwa haipiti siku lazima limkamue demu wake kuanzia mida ya satano usiku hadi sanane ndo wanalala,mbaya zaidi demu wake pamoja nayeye wote walikuwa wanapiga makelele utadhani maombi ya walokole..lijamaa likikaribia kupiz lilikuwa linalia na sauti lake 'nakojoaaaa nakojoaaa nakojoooo''...nikaona huu ushenzi siku niliwavizia walivoanza mambo yao nikaenda dirishani kwao,lijamaa lilipoanza kulia tu nakojoaa nakojoaaa namimi nikaliambia kwa sauti ''kunyaaa kunyaaaa kunyaaa'' toka siku iyo sikusikia makelele teeeeena.

Hahahahahahahahahahahahahah Mkuu izi fix haaa
 
Haaaahaaaa, Jf full burudan
Yaan ulienda kupiga chabo na kuwazomea!!
 
Back
Top Bottom