Kwichi kwichi usiku mzima

Nazani ulilowa kabisa uko ikulu kwa kelele zao
 

Hama hapo.......sio lazima ukae.......
 
pole,oa tu mkuu.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Pole mkuu na wewe chukua demu, afu mvalishe headphone weka sauti kubwa kwenye headphone kisha anza kwichi kwichi kelele atakazotoa hapo hao majirani zako watakuheshimu, hawatakutesa tena. Uswahilini huwa tunajibiana kiuswahilini. Huku hakuna mazungumzo ya busara.
 
Hehehehe,mtoa mada kanikumbusha mbali saaaaana..kipindi nimepanga uswahilini kuna lijamaa lilinipa shida sana usiku,ilikuwa haipiti siku lazima limkamue demu wake kuanzia mida ya satano usiku hadi sanane ndo wanalala,mbaya zaidi demu wake pamoja nayeye wote walikuwa wanapiga makelele utadhani maombi ya walokole..lijamaa likikaribia kupiz lilikuwa linalia na sauti lake 'nakojoaaaa nakojoaaa nakojoooo''...nikaona huu ushenzi siku niliwavizia walivoanza mambo yao nikaenda dirishani kwao,lijamaa lilipoanza kulia tu nakojoaa nakojoaaa namimi nikaliambia kwa sauti ''kunyaaa kunyaaaa kunyaaa'' toka siku iyo sikusikia makelele teeeeena.
 
Jf iendelele milele Na milele Adi vizazi vyeti vyote vije vifurahie mada za jf iwe kumbu kumbu kwao
 

Hahahahahahahahahahahahahah Mkuu izi fix haaa
 
Haaaahaaaa, Jf full burudan
Yaan ulienda kupiga chabo na kuwazomea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…