Kwikwi (Hiccups): Chanzo na Tiba (matibabu) yake

Habari Jf Doctors.

Nasumbuliwa na kwikwi tangu jana usiku hata usingizi imekuwa vigumu kupata,

Nimejaribu kunywa maji lakini hayajanisaidia.

Naombeni msaada wenu nifanye nini, na kama ina madhara yoyote naombeni mnieleze.
 
Hili tatizo hata mm linanipata mara kwa mara
 
Hili tatizo hata mm linanipata mara kwa mara

ahsante, unafahamu dawa yake princess sayuni

wakuu, kuna dawa rahisi sana ya kukata kwi kwi, dawa hii hufanya kazi kwa dakika moja tu!

sikilizeni,

weka maji safi ya kunywa ndani ya glass..

nywea maji upande ambao umeelekezea pua yako (yani usinywe maji kikawaida..) nywea upande wa pili kiasi ambapo itakufanya uwe kama unainama hivi... kunywa maji hivyo kidogo kidogo kama nusu glass, ila kama unaweza, maliza yote..

nawahakikishia baada ya dakika tu, kwi kwi itakata... hali ikishindikana, basi muone daktari...

ukishindwa hilo zoezi... nitumie pm nikuelekeze kwa simu
 
Mkuu maelekezo yako yamenitatiza kidogo! Sijakuelewa vizuri
 
dawa ya kwikwi: ikikutokea, chukua kakaratasi kadogo keupe halafu bandika kwenye paji la uso. Hakikisha karatasi ni nyeupe na isiwe na maandishi yoyote. Mfano ukiwa baa ukashikwa na kwikwi unaweza ukatumia tishu ni baada ya dk3 -5 tatizo linakwisha (local treatment) maumivu yakizidi muone dk
 
ahsante kwa ushauri.
 
Habari Jf Doctors.

Nasumbuliwa na kwikwi tangu jana usiku hata usingizi imekuwa vigumu kupata,

Nimejaribu kunywa maji lakini hayajanisaidia.

Naombeni msaada wenu nifanye nini, na kama ina madhara yoyote naombeni mnieleze.

chukua maji ya kunywa na ingianayo uvunguni mwa kitanda unywe uku unaitika kwikwi itakata,
 
dawa simple ya kwiki kuna njia mbili
1chukua kikombe cha maji piga funda moja moja huku ukiesabu mfano unakunywa funda kubwa la maji ukishalimeza unasema moja unaendelea hadi yafike kumi.
2chukua kikombe cha maji unakunywa mfululizo huku pembeni kuna mtu akikuita jina lako na unatakiwa uitikie bila kuacha kunywa maji baada ya muda inakata
MAUMIVU YAKIZIDI MUONE TABIBU
 
Habari Jf Doctors.

Nasumbuliwa na kwikwi tangu jana usiku hata usingizi imekuwa vigumu kupata,

Nimejaribu kunywa maji lakini hayajanisaidia.

Naombeni msaada wenu nifanye nini, na kama ina madhara yoyote naombeni mnieleze.
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyuki unywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.

MUWA MWEUSI.
 
shukrani mkuu MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Kwikwi inatokea endapo hewa ikiingia btn diaghram na mbavu kwa juu,dawa yake chukua kitu kama mfuko wa karatasi funika pua na mdomo kwa pamoja huku ukipumulia humo humo lengo ni kupata co2 ambayo ndio itakayoenda kuondoa hewa hyo na tatizo litaisha fanya kwa dakika kama 1 tatizo litaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…