Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Jf Doctors.
Nasumbuliwa na kwikwi tangu jana usiku hata usingizi imekuwa vigumu kupata,
Nimejaribu kunywa maji lakini hayajanisaidia.
Naombeni msaada wenu nifanye nini, na kama ina madhara yoyote naombeni mnieleze.
Hili tatizo hata mm linanipata mara kwa mara
Hili tatizo hata mm linanipata mara kwa mara
ahsante, unafahamu dawa yake princess sayuni
Pole,..unatumia dawa gani?
Mkuu maelekezo yako yamenitatiza kidogo! Sijakuelewa vizuri
dawa ya kwikwi: ikikutokea, chukua kakaratasi kadogo keupe halafu bandika kwenye paji la uso. Hakikisha karatasi ni nyeupe na isiwe na maandishi yoyote. Mfano ukiwa baa ukashikwa na kwikwi unaweza ukatumia tishu ni baada ya dk3 -5 tatizo linakwisha (local treatment) maumivu yakizidi muone dk
Habari Jf Doctors.
Nasumbuliwa na kwikwi tangu jana usiku hata usingizi imekuwa vigumu kupata,
Nimejaribu kunywa maji lakini hayajanisaidia.
Naombeni msaada wenu nifanye nini, na kama ina madhara yoyote naombeni mnieleze.
utakuwa unapanua kifua na mbavu!
ok!lakini kwani yeye anayo miaka mingapi huyo!Hii nimewahi kuskia ila kwa newborn tu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyuki unywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.Habari Jf Doctors.
Nasumbuliwa na kwikwi tangu jana usiku hata usingizi imekuwa vigumu kupata,
Nimejaribu kunywa maji lakini hayajanisaidia.
Naombeni msaada wenu nifanye nini, na kama ina madhara yoyote naombeni mnieleze.
Dawa ya kutibu Kwikwi Chukua mua mweusi Kamua upate maji yake Uchanganye na asali safi ya nyuki unywe inshallah utapona. Tumia kisha uje unipe maendeleo ya Dawa yangu Give me a feedback mkuu.
![]()
MUWA MWEUSI.