Kwisha! Rais Samia amelitia taifa kwenye tanuru la moto tujilinde wenyewe

Usikubali kufa peke yako, kufa na anayekuchukua
 
Tafsiri ya hotuba hii ni amri rasmi ya kuua kwa vyombo vyote (kwa "kulinda nchi") so tutegemee utekaji, ukamataji, uuaji na kesi za kutosha za yeyote atakayehisiwa anapingana na malkia. Hamna mtu aliye salama tena sadly...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…