Tunaomba kwenye sherehe za kitaifa kuwepo na mashindano sababu sisi ni wa hapa hapa, si mnaona tunavyofanya vizuri kwenye mabonanza! Michezo ya kimataifa tuwaachie hakina Azam na Yanga.
Wewe siomtanzania?, mbona huna uruma kwa watanzania ,yani watu wanazimia, wana kufa, kwenye hayo unayoita mabonanza alafu bado unataka yaendelee!!!!. Simba ni wauwaji, we bado unaomba mashindano kama hayo, Kuwa mzalendo.
Yeah, Simba wazee wa ndumba. Musoma walikufawangapi? Subirini kubebwa kwenye mabonanza ya kina Musonye tu!!
Hivi yule mshabiki namba 1 wa yeboyebo nini kilimfanya ahamie lambalamba.
Yanga wemenunua mech ndo maana wanamwachia azamππ±π‘π:beer:
Unanipa mimi pole kwani mimi ndiyo niliyetunguliwa jana ???πππMALCOM LUMUMBA pole sana mkuu
Sisi hatushindanii ligi M500 sisi tunatafuta heshima club bingwaUnanipa mimi pole kwani mimi ndiyo niliyetunguliwa jana ???πππ
Unanipa mimi pole kwani mimi ndiyo niliyetunguliwa jana ???πππ
Kweli wakati si mileleMmebaki kung'ang'ana na historia tu wengine tulikuwa hatujazaliwa
Toka nianze kuwa mshabiki sijaiona simba ikipanda ndege ni boti na
magari tu.
Bwahahahaha!Sisi hatushindanii ligi M500 sisi tunatafuta heshima club bingwa
Nafasi bado ipo mkuu hamia huku Jumatano utaumia sanaBwahahahaha!
Hakuna kitu...Nafasi bado ipo mkuu hamia huku Jumatano utaumia sana
Hahaha Kesho majira kama haya Geita watakua wameshajichukulia points zao pale MwanzaHakuna kitu...
Achia ngazi bibi mchuma unaondoka huooooo.....!!!!πΆπ΅πΆMALCOM LUMUMBA bahati yenu mmebebwa