Kwisha! Yanga yatolewa CAF

Kwisha! Yanga yatolewa CAF

Tunaomba kwenye sherehe za kitaifa kuwepo na mashindano sababu sisi ni wa hapa hapa, si mnaona tunavyofanya vizuri kwenye mabonanza! Michezo ya kimataifa tuwaachie hakina Azam na Yanga.

Wewe siomtanzania?, mbona huna uruma kwa watanzania ,yani watu wanazimia, wana kufa, kwenye hayo unayoita mabonanza alafu bado unataka yaendelee!!!!. Simba ni wauwaji, we bado unaomba mashindano kama hayo, Kuwa mzalendo.
 
Wewe siomtanzania?, mbona huna uruma kwa watanzania ,yani watu wanazimia, wana kufa, kwenye hayo unayoita mabonanza alafu bado unataka yaendelee!!!!. Simba ni wauwaji, we bado unaomba mashindano kama hayo, Kuwa mzalendo.

Yeah, Simba wazee wa ndumba. Musoma walikufawangapi? Subirini kubebwa kwenye mabonanza ya kina Musonye tu!!
 
Hivi yule mshabiki namba 1 wa yeboyebo nini kilimfanya ahamie lambalamba.

Nasikia mwaka huu tena mmepewa shavu la kushiriki bonanza la Musonye!!! Kweli ngoma ya watoto haikeshi
 
Naskia eti mmechoka na safari ndio maana mtafungwa na lambalamba. Chonde chonde mabingwa tunaomba mcheze mchezo wenu.
 
Na mechi inayofuata tukifungwa na Azam mshangilie hivyo hivyo
 
Yanga wemenunua mech ndo maana wanamwachia azam😕😱😡🙄:beer:

leo simba atalamba matapishi yake kwa kumshangilia bingwa akimchapa azam ,hatutaki mtushangilie kwa sababu tunataka nyie mbaki nafasi ya tatu mpaka mwakani.
 
Unanipa mimi pole kwani mimi ndiyo niliyetunguliwa jana ???😂😂😂
1666991623564.png
 
Mmebaki kung'ang'ana na historia tu wengine tulikuwa hatujazaliwa
Toka nianze kuwa mshabiki sijaiona simba ikipanda ndege ni boti na
magari tu.
Kweli wakati si milele
 
Back
Top Bottom