Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Zipi ni Fikira hai? ......kuishi ulaya for 18yrs? kutangaza sera za kujipendekeza kutoa laptop kama hongo.... wakati suala la kuboresha miundo mbinu ni la serikali?

Fikra mfu za kwamba yoyote atakayekwenda kugombea na Slaa lazima atakuwa ametumwa na RA na Lowasa,yani huu ni upuuzi uliopitiliza.

kama yeye katangaza sera hiyo ya laptop basi na mwakyembe naye ana sera zake hizo sera ndizo zitakazoamuwa.Mbona mnahangaika sana??? na mtu mwenyewe mnasema hana sera??

Hata hivyo naamini Mwakalinga hajatangaza sera zozote ila hao wa upande wa mwakyembe ndio wanamtengenezea sera mwakalinga na kujaribu kumuuzia mara eti kaletwa na RA mara Lowasa .huu ni upuuzi kabisa unaojengwa ktk jamii ya watanzania ya kuwaondolea uhuru na kuwa na hofu kila wakati.
Nisiende kuangalia ngorongoro eti kwa sababu ni mkoa anakotoka lowasa huu upuuzi kiasi gani.?
 
Jimbo la Kyela lina kata 21 za CCM na Mpaka sasa hivi Mwakalinga ana uhakika na Kata 12 ,Mwakyembe 6 na 3 hazijulikani,Haba.. haba...ndo hiyo.Kambi ya mwakyembe matumbo moto,muulizeni mama clinton naye alikuwa anasemaga hivyohivyo Obama kafanya nini,hizi ni siasa zina wakati mbalimbali
 

Kungine kote umeandika PUMBA hadi napata raha. Nilianza kufikiri wee ni MWEUPE wa kutisha. Ila mara ghafla naona hayo maneno kwenye BOLD. oa

YES, si wewe wala si mimi. Ni jukumu la Kyela kuamua nani ashinde. Sasa haya ya kaka Ulaya, katoa laptop, katembea na mama zenu, kajenga kihotel, fisadi nk yanatoka wapi?

Eti kasema "sifa yake kubwa ni kula anaishi Ulaya", umemsikia akisema hayo maneno? Manafyale alikuja hapa na maneno kibao, tukamtoa baru. Kesho yake ikaonekana alipika. Sasa na wee endekeza maneno ya kusemwa na watu. Utaaibika hadi ujicheke mwenyewe.
 

Kweli kabisa NL,

Yaani pamoja na kukaa ulaya miaka kumi na nane bado anakuja sera mbovu kama kutoa laptop kwa kila mtu? Kweli kabisa, mafisadi wanaomfadhili Mwakalinga (Lowasa, ROstam na wengine) wana uwezo kabisa wa kununua hizo laptop na kuzigawa bure kwa kutumia pesa za wizi walizokwapua toka hazina.

Ufisadi unapumbaza na katika hili Mwakalinga anapumbazwa na mafisadi wanaomfadhili.
 
Nimesema Nsesi aka mwakyembe kwanini anamlaumu mwezake kupiga siasa jf ilihiali yeye anapiga hapa siasa.?

Kwa sababu ni makosa na kinyume cha sheria za JF kutangaza ID za watu. Au kwa vile George Mwakalinga ni mwanzilishi wa JF basi unadhani kuwa una haki ya kutaja ID za watu hapa?
 
Nimesema Nsesi aka mwakyembe kwanini anamlaumu mwezake kupiga siasa jf ilihiali yeye anapiga hapa siasa.?

Sasa mbona haujafutwa?
Toa ushahidi kama huyu Nsesi ndo Mwaky lasivyo unastahili adhabu kali.
 
Sasa mbona haujafutwa?
Toa ushahidi kama huyu Nsesi ndo Mwaky lasivyo unastahili adhabu kali.

Sidhani kama atafanya hivyo kwa vile anajiona kama yeye ni mwanzilishi wa JF kwa hiyo sheria hazifanyi kazi kwake.
 
Sasa mbona haujafutwa?
Toa ushahidi kama huyu Nsesi ndo Mwaky lasivyo unastahili adhabu kali.

Toa ushahidi kama Mtanzania ndiye Mwakalinga.Nilikuwa nawasubiri nilijuwa mkiguswa lazima muungukie huko
 

Kwani Mwakalinga sio Mkristu?
waache wana KYELA wenyewe wameamua kuwa Mwakalinga ndio chaguo lao.mtu mwenye uoni wa kimataifa,sera ni kila Mwanakyela analamba LAPTOP yake.
kajinyonge ndugu yangu.
 
Toa ushahidi kama Mtanzania ndiye Mwakalinga.Nilikuwa nawasubiri nilijuwa mkiguswa lazima muungukie huko

Mi wala simjui huyo Mwakalinga wewe umesema Nsesi ni Mwaky tuomba uthibitisho wake lasivyo sheria ichukue mkondo wake.
 

Ulimuona akitokea kwa Mamvi? alishindwa kuja kumuona Ujeruman na akasubiri hadi aje Tanzania ili ajipake tope kwa kwenda kuonana na EL?
Yaani hata akili zako hazikutumi kidogo ufikiri? Yaani watu siku zote wanaona kile wanachotaka kukiona. Kweli Miafrika ndivyo tulivyo.

Kwa Taarifa yako, kaka yake Mwakalinga (Marehemu) alikuwa akiishi Monduli miaka ya 80 na akaolea huko mama wa Kimasai na wakawa na watoto. Sasa Mwakalinga kama Ambwene, na family man, ni wajibu wake (amejipa yeye) kuwahudumia mama na watoto. Kumbuka kuwa kwa kimila, Mmasai akiolewa nje ya kabila ni kuwa wanakutoa kwenye familia.
Kama MTU mwenye moyo mzuri, ningelitegemea UMSIFIE kwa hili. Badala yake watu mnapiga hadi masumbwi chini ya mkanda. Loo, utafikiri jamaa alitaka kaka yake afariki.

Mkuu, hili linasikitisha sana. Na kama hujui kufiwa na nduguyo, Mungu siku moja atakuonyesha. Na hapo utakumbuka haya maneno. Tushambuliane kwa yote ila si kwenye majanga. Nina imani na wewe utakuja kuwa na moyo wa kuwakumbuka watoto wa marehemu, hata kama watakuwa wanaishi Monduli au Igunga.

Hii ndiyo inasemwa "Hata adui yako usimuombee yamkute".
 
Ninayo na je wewe unao umeme wa upepo?

Ni zile Mtanzania atakazogawa? Mimi natumia solar kaka.....si hitaji umewe wa upepo wala mvua za kutengeneza alizotuambia Lowassa
 
Mi wala simjui huyo Mwakalinga wewe umesema Nsesi ni Mwaky tuomba uthibitisho wake lasivyo sheria ichukue mkondo wake.

Teh teh teh kawaida ktk mchezo anayeanza kupinga gwara ndiye anachukuliwa hatuwa.Sina wasi wasi na hatuwa zozote
 
Ni zile Mtanzania atakazogawa? Mimi natumia solar kaka.....si hitaji umewe wa upepo wala mvua za kutengeneza alizotuambia Lowassa

na ule mradi wa Nsesi wa singida kwani umekosa wawakezaji ama mtaji umekata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…