Toa ushahidi kama Mtanzania ndiye Mwakalinga.Nilikuwa nawasubiri nilijuwa mkiguswa lazima muungukie huko
Kwa hiyo umeamua kujitaja kuwa wewe MkamaP ndiye mtanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa ushahidi kama Mtanzania ndiye Mwakalinga.Nilikuwa nawasubiri nilijuwa mkiguswa lazima muungukie huko
Ni zile Mtanzania atakazogawa? Mimi natumia solar kaka.....si hitaji umewe wa upepo wala mvua za kutengeneza alizotuambia Lowassa
Kwa hiyo umeamua kujitaja kuwa wewe MkamaP ndiye mtanzania?
Kwa hiyo umeamua kujitaja kuwa wewe MkamaP ndiye mtanzania?
Ulimuona akitokea kwa Mamvi? alishindwa kuja kumuona Ujeruman na akasubiri hadi aje Tanzania ili ajipake tope kwa kwenda kuonana na EL?
Yaani hata akili zako hazikutumi kidogo ufikiri? Yaani watu siku zote wanaona kile wanachotaka kukiona. Kweli Miafrika ndivyo tulivyo.
Kwa Taarifa yako, kaka yake Mwakalinga (Marehemu) alikuwa akiishi Monduli miaka ya 80 na akaolea huko mama wa Kimasai na wakawa na watoto. Sasa Mwakalinga kama Ambwene, na family man, ni wajibu wake (amejipa yeye) kuwahudumia mama na watoto. Kumbuka kuwa kwa kimila, Mmasai akiolewa nje ya kabila ni kuwa wanakutoa kwenye familia.
Kama MTU mwenye moyo mzuri, ningelitegemea UMSIFIE kwa hili. Badala yake watu mnapiga hadi masumbwi chini ya mkanda. Loo, utafikiri jamaa alitaka kaka yake afariki.
Mkuu, hili linasikitisha sana. Na kama hujui kufiwa na nduguyo, Mungu siku moja atakuonyesha. Na hapo utakumbuka haya maneno. Tushambuliane kwa yote ila si kwenye majanga. Nina imani na wewe utakuja kuwa na moyo wa kuwakumbuka watoto wa marehemu, hata kama watakuwa wanaishi Monduli au Igunga.
Hii ndiyo inasemwa "Hata adui yako usimuombee yamkute".
Ni zile Mtanzania atakazogawa? Mimi natumia solar kaka.....si hitaji umewe wa upepo wala mvua za kutengeneza alizotuambia Lowassa
Hahahaha kazi kweli kweli kwa mtindo huu watu wana majina mengi humu.
Hahahaha kazi kweli kweli kwa mtindo huu watu wana majina mengi humu.
Mi wala simjui huyo Mwakalinga wewe umesema Nsesi ni Mwaky tuomba uthibitisho wake lasivyo sheria ichukue mkondo wake.
wewe acha ku fanya mambo marahisi namna hiyo
Swali lako la pili ndio jibu lakini pili tayari kuna mtaji wa kundi la Mwakipesile ndani ya CCM Kyela ambalo automatically kuelekea 2010 litakuwa la Mwakalinga. japo hiyo advantage pia inabeba risk kubwa sana kisiasa, ambapo itamlazimu kuelekea kwa wananchi wa kawaida kwanza kupambana na nguvu ya Mwakyembe lakini pia kupambana na kivuli cha Mwakipesile(na kisiasa ataunganishwa na RA& EL kutokana na mapambano ya Mwakyembe Bungeni) na hii ni hatari kubwa sana kwake kwenye mahakama za umma zisizohitaji ushahidi wa maandishi na hii inaweza ikamharibia kabisa image yake na kupoteza kabisa future yake ktk siasa za Mbeya.Kwani lazima agombee Kyela tu hakuna majimbo mengine Mbeya? Au huko hauziki?
Nsesi ndo huyo huyo kwani wewe unajifanya hujuhi?
Kwani lazima agombee Kyela tu hakuna majimbo mengine Mbeya? Au huko hauziki?
Laptop za kutumia umeme wa mvua ya Thailand zitaanza kazi lini?
Kwa sababu ni makosa na kinyume cha sheria za JF kutangaza ID za watu. Au kwa vile George Mwakalinga ni mwanzilishi wa JF basi unadhani kuwa una haki ya kutaja ID za watu hapa?
Swali lako la pili ndio jibu lakini pili tayari kuna mtaji wa kundi la Mwakipesile ndani ya CCM Kyela ambalo automatically kuelekea 2010 litakuwa la Mwakalinga. japo hiyo advantage pia inabeba risk kubwa sana kisiasa, ambapo itamlazimu kuelekea kwa wananchi wa kawaida kwanza kupambana na nguvu ya Mwakyembe lakini pia kupambana na kivuli cha Mwakipesile(na kisiasa ataunganishwa na RA& EL kutokana na mapambano ya Mwakyembe Bungeni) na hii ni hatari kubwa sana kwake kwenye mahakama za umma zisizohitaji ushahidi wa maandishi na hii inaweza ikamharibia kabisa image yake na kupoteza kabisa future yake ktk siasa za Mbeya.
Ulimuona akitokea kwa Mamvi? alishindwa kuja kumuona Ujerumani na akasubiri hadi aje Tanzania ili ajipake tope kwa kwenda kuonana na EL?
Yaani hata akili zako hazikutumi kidogo ufikiri? Yaani watu siku zote wanaona kile wanachotaka kukiona. Kweli Miafrika ndivyo tulivyo.
Kwa Taarifa yako, kaka yake Mwakalinga (Marehemu) alikuwa akiishi Monduli miaka ya 80 na akaolea huko mama wa Kimasai na wakawa na watoto. Sasa Mwakalinga kama Ambwene, na family man, ni wajibu wake (amejipa yeye) kuwahudumia mama na watoto. Kumbuka kuwa kwa kimila, Mmasai akiolewa nje ya kabila ni kuwa wanakutoa kwenye familia.
Kama MTU mwenye moyo mzuri, ningelitegemea UMSIFIE kwa hili. Badala yake watu mnapiga hadi masumbwi chini ya mkanda. Loo, utafikiri jamaa alitaka kaka yake afariki.
Mkuu, hili linasikitisha sana. Na kama hujui kufiwa na nduguyo, Mungu siku moja atakuonyesha. Na hapo utakumbuka haya maneno. Tushambuliane kwa yote ila si kwenye majanga. Nina imani na wewe utakuja kuwa na moyo wa kuwakumbuka watoto wa marehemu, hata kama watakuwa wanaishi Monduli au Igunga.
Hii ndiyo inasemwa "Hata adui yako usimuombee yamkute".
umemaliza kila kitu haswa hii ya SINGIDA.zimefeli hizo mvua ,maana saizi tunategemea umeme wa upepo kutoka singida na wawekezaji nao wame buma balaa tupu
sio mwanzilishi tu bali pia ni mdhamini.mfuko wake uko wazi kuichangia JF ili wewe uje kutumia huduma ya bure.elimu yake ya Computer ndio iliyotuletea starehe hii JF.
akitajwa Mwakyembe mnakuja juu nyinyi nani aliyewapa authority ya kumtaja mh.Mwakalinga kwa ID yake?
ama kweli binadamu hatuna shukrani tuko kwenye jamvi la Mwakalinga na kupitia jamvi lake tunamtukana. unafikiri JF mwanzilishi wake ni Mwakyembe? ama kweli wewe huna adabu kabisa unakula matunda ya Mheshimiwa Mwakalinga na unatumia platform aliyoiasisi kwa manufaa ya watanzania kumtukana. ingekuwa JF tunalipa membership fee wewe usingekuwepo hapa.
Hongera Mheshimiwa Mwakalinga kazi ulizotufanyia JF na ulizowafanyia wana Kyela tunalazimika kukuita Mheshimiwa Mbunge hata kabla ya 2010 kutinga rasmi Dodoma.
ni fahari kwetu sisi wa
na Jamii Forums kuona mwenzetu anatuwakilisha bungeni wenye wivu mnaweza kula sumu maana kamba inachelewesha kifo.
Sikonge
Wakati mwingine waniacha hoi sana, ama ni Laptop kutoka kwa mweka hazina wa Tanzanet na mtaalamu wa IT? Aliyeishi miaka 18 ughaibuni. Hata basics unasahau mkubwa wangu? Hivi hujui kutoka UK kama yeye hana passport ya GB anahitaji visa kwenda Deutchland? Kule Monduli hahitaji taratibu za uhamiaji kuonana na Mamvi. Naona hili linawakera sana mara kaenda kuona mke wa marehemu shemejie mara sijui nini bla bla bla tu...anafadhiliwa na RA, EL na Mwakipesile full stop.
Ndugu yangu waachie wanaKyela wewe njoo tule asali ,matobolwa, na masangu ila nasikia umegele mwaka huu haukuwa mwingi.