Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Chenge anabrag sana kuwa kasoma Havard. Ufisadi haujali elimu wala uzoefu wa kuishi nje ya nchi. Kama kambi ya Mwakalinga inataka kutumia haya kama kigezo cha kushinda ubunge basi inabidi wajipange upya.
Wanatambo za kale elimu ya Masters ni ya kawaida kabisa ndani ya bunge letu, isitoshe kukaa miaka 18 ughaibuni sioni kama ni hoja hiyo aonekane ni bora hata kama ni mchemfu. Mtanzania amekuwa akitumia JF kwa kampeni muda mrefu sana sasa ngoja ibackfire kwake! wanaJF si mabwege...