Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Chenge anabrag sana kuwa kasoma Havard. Ufisadi haujali elimu wala uzoefu wa kuishi nje ya nchi. Kama kambi ya Mwakalinga inataka kutumia haya kama kigezo cha kushinda ubunge basi inabidi wajipange upya.

Wanatambo za kale elimu ya Masters ni ya kawaida kabisa ndani ya bunge letu, isitoshe kukaa miaka 18 ughaibuni sioni kama ni hoja hiyo aonekane ni bora hata kama ni mchemfu. Mtanzania amekuwa akitumia JF kwa kampeni muda mrefu sana sasa ngoja ibackfire kwake! wanaJF si mabwege...
 
Hivi Mwakyembe ule mradi wake wa UMEME umefikia wapi?

Hivi ilikuwaje aanze USHIRIKA na Rostam Aziz? Hadi RA alipowazidi kete ndiyo akaanza kulalama. Mwakyembe hawezi kuukataa huu mradi milele. Na huu mradi milele ukiuchimba, unakwenda moja kwa moja Igunga.

Hivyo maneno yako ya MKONO wa RA ni mrefu kweli ni mrefu. Hadi Mwakyembe ameshaukamata. Duu, eti umeme wa UPEPO.
 
sikonge mbunge wako fisadi 6 umeshamkana? naona sasa umeamia nyanda za juu kusini
 
Si ndio hapo sasa,

Matisho mengi, mara kaanzisha JF (uongo mtupu), mara ni mwanachama mahiri sana JF (debatable), mara story ndefu kuwa ni mtalaam mahiri wa IT (who knows ... who cares) na mara kuwa kaishi ulaya miaka 18 (so what)!
 
Ha ha ha ha,

Hapa ndipo watetezi wa fisadi George Mwakalinga mnapokosea. Mnadhani kuwa mimi niko kambi ya Mwakyembe. Mimi nimeweka wazi hapa kuwa sina penzi lolote na chama cha mafisadi cha CCM. Huwa ninapongeza juhudi binafsi za Mwakyembe but as longer as yuko CCM mimi na yeye hata hatukaribiiani. Hizo kampeni zako chafu dhidi yake zitapata tu watu wa kuzijibu soon ila kwa sasa ngoma iko kwa fisadi George Mwakalinga.

Ukaribu wa Mwakalinga na mafisadi hatari wa nchi yetu Lowasa, Rostam na Mwakipesile ndiyo issue kubwa kwangu hapa. Sikonge, tafuta angle nyingine mkuu kwani hii nayo ishavuja tayari.
 
sikonge mbunge wako fisadi 6 umeshamkana? naona sasa umeamia nyanda za juu kusini

Wewe umemshtukia leo? Mimi nilimshtukia kipindi kile alivyokuwa akichambua sana maswala ya mbeya - ya mwandosya na wenzie ndio nikaunganisha nukta.
 
Wanatambo za kale elimu ya Masters ni ya kawaida kabisa ndani ya bunge letu, isitoshe kukaa miaka 18 ughaibuni sioni kama ni hoja hiyo aonekane ni bora hata kama ni mchemfu. Mtanzania amekuwa akitumia JF kwa kampeni muda mrefu sana sasa ngoja ibackfire kwake! wanaJF si mabwege...

Masa,

Ni kweli elimu ya Masters ya IT kwenye bunge letu la Tanzania ni kitu cha kawaida? Au unasema zile masters za Abushiri na Tipu Tipu?
Wengine hao akina Nchimbi wa PhD za kununua au kusomea ONLINE?

Mwisho tatizo siyo kusomea wapi, tatizo ni NINI UMESOMA na kuweka kichwani na zaidi zaidi ni mtu mwenyewe. Kumbuka kwetu twasema siku ya harusi "Kulanga kilangile, uli-kyume na ulangi" yaani "Kufunda mtoto aliyefundika, basi utajisifia ufundaji". Sasa awe alisoma Poland, Ukraine, Hungury, Russia, nk kama kichwani mzuri, basi LUCENT technology hawakuwa na shida ya kumpatia kazi na hadi wakamuhamisha toka nchi moja kwenda nyingine.

Mfano mdogo hebu linganisha huyu jamaa na Mkapa wetu au Muungwana.

Alpha Oumar Konaré fourth son of a Bambara teacher and a Fula homemaker was born in Kayes, Mali, where he went to primary school. He went on to attend Bamako's Lycée Terrasson des Fougères, the Collège de Maristes of Dakar, Senegal, the Collège Moderne of Kayes and, between 1962 and 1964, the École Normale Secondaire of Katibougou. He completed his advanced studies in history at the École Normale Supérieure in Bamako (1965–1969) and at the University of Warsaw between 1971 and 1975. (THE EX-President of Mali).

Hebu nipe WAHANDISI wangapi wako bunge la Tanzania?
1. John Pombe Magufuli
2. .............
 
sikonge mbunge wako fisadi 6 umeshamkana? naona sasa umeamia nyanda za juu kusini

We Yo Yo (nasikia wee ni shemeji yetu), sasa mbona unatania UKWELI? Shem hujui ukweli UNAUMA SAAAAAANA??

BTW: Mie ni wa Sikonge na si URAMBO. Na kibaya zaidi ni kuwa SIKONGE hakuna cha kuongea. Nimebaki KUSHABIKIA BRAZIL.......
 
Si ndio hapo sasa,

Matisho mengi, mara kaanzisha JF (uongo mtupu), mara ni mwanachama mahiri sana JF (debatable), mara story ndefu kuwa ni mtalaam mahiri wa IT (who knows ... who cares) na mara kuwa kaishi ulaya miaka 18 (so what)!
kaishi majuu(poland) miaka 18 ni exposure tosha kwa wana kyela nasikia wanafagilia sana watu wa majuu...
...ni IT expert atatoa laptop za bure wapambe wake washa ahidi...
 
Wewe umemshtukia leo? Mimi nilimshtukia kipindi kile alivyokuwa akichambua sana maswala ya mbeya - ya mwandosya na wenzie ndio nikaunganisha nukta.

Acha ushamba wa kudandia train la TGV kwa mbele??
 
Masa,

Ni kweli elimu ya Masters ya IT kwenye bunge letu la Tanzania ni kitu cha kawaida? Au unasema zile masters za Abushiri na Tipu Tipu?
Wengine hao akina Nchimbi wa PhD za kununua au kusomea ONLINE?

Mwisho tatizo siyo kusomea wapi, tatizo ni NINI UMESOMA na kuweka kichwani na zaidi zaidi ni mtu mwenyewe. Kumbuka kwetu twasema siku ya harusi "Kulanga kilangile, uli-kyume na ulangi" yaani "Kufunda mtoto aliyefundika, basi utajisifia ufundaji". Sasa awe alisoma Poland, Ukraine, Hungury, Russia, nk kama kichwani mzuri, basi LUCENT technology hawakuwa na shida ya kumpatia kazi na hadi wakamuhamisha toka nchi moja kwenda nyingine.

Mfano mdogo hebu linganisha huyu jamaa na Mkapa wetu au Muungwana.

Hebu nipe WAHANDISI wangapi wako bunge la Tanzania?
1. John Pombe Magufuli
2. .............

1. John Pombe Magufuli
2. James Msekela
3. Stella Manyanya (?)
4. Mark Mwandosya
5. Binilith (?) Mahenge
6. ...........
 
Masa,

Ni kweli elimu ya Masters ya IT kwenye bunge letu la Tanzania ni kitu cha kawaida? Au unasema zile masters za Abushiri na Tipu Tipu?
Wengine hao akina Nchimbi wa PhD za kununua au kusomea ONLINE?

Mwisho tatizo siyo kusomea wapi, tatizo ni NINI UMESOMA na kuweka kichwani na zaidi zaidi ni mtu mwenyewe. Kumbuka kwetu twasema siku ya harusi "Kulanga kilangile, uli-kyume na ulangi" yaani "Kufunda mtoto aliyefundika, basi utajisifia ufundaji". Sasa awe alisoma Poland, Ukraine, Hungury, Russia, nk kama kichwani mzuri, basi LUCENT technology hawakuwa na shida ya kumpatia kazi na hadi wakamuhamisha toka nchi moja kwenda nyingine.

Mfano mdogo hebu linganisha huyu jamaa na Mkapa wetu au Muungwana.

Hebu nipe WAHANDISI wangapi wako bunge la Tanzania?
1. John Pombe Magufuli
2. .............

Na hii ndiyo inaweza kuwa sababu kubwa kwa mafisadi hatari kama Lowasa na Rostam kutaka kumtumia mtu aliyefanya kazi LUCENT tech. Ukishakuwa na mtaalamu kama George Mwakalinga basi huna sababu tena ya kuwatumia kina Balali kuiba benki, unatumia tech kuiba na kufunika wizi wako kirahisi sana.

Sasa umeweka wazi sababu nyingine iliyomfanya Mwakalinga apitie kwa fisadi mamvi wa monduli kabla ya Kyela. ........ kupanga mipango ya EPA nyingine kwa ajili ya 2010
 
Baada ya kuisoma hii thread naweza kusema kuwa Watanzania tunapenda sana siasa za kuzodoana, kusutana na kuchimbana, na kinachonipa hofu zaidi ni kuwa baadhi ya wachangiaji ni current au future policy makers wa nchi hii. I shudder to think
 
kaishi majuu(poland) miaka 18 ni exposure tosha kwa wana kyela nasikia wanafagilia sana watu wa majuu...
...ni IT expert atatoa laptop za bure wapambe wake washa ahidi...

ha ha haha ... na laptop zenyewe za kutumia umeme wa mvua za Thailand! nakwambia Kyela yote itageuka kuwa San Diego
 
Masa,

Ni kweli elimu ya Masters ya IT kwenye bunge letu la Tanzania ni kitu cha kawaida? Au unasema zile masters za Abushiri na Tipu Tipu?
Wengine hao akina Nchimbi wa PhD za kununua au kusomea ONLINE?

Hebu nipe WAHANDISI wangapi wako bunge la Tanzania?
1. John Pombe Magufuli
2. .............

Naanza kupata wasi wasi na uelewa wako wa mambo kaka yangu ndugu yangu na jamaa yangu..rafiki yangu Sikonge. Masters ya IT tena ya Poland wewe unaona si kitu cha kawaida? Do properly your home work

Unaendelea kuspill beans tu hapa

Unataka Engineers sasa ndani ya bunge unafikiri Mtanzania atakuwa peke yake tena?

Nakutajia watano tu

  • Shukuru Kwambwa MP Bagamoyo
  • Stella Manyanya Special seat CCM
  • Christopher Chiza MP Kasulu West
  • Prof Mark Mwandosya MP
  • Damas Paschal Nakei - MP Babati Magharibi
 
Naanza kupata wasi wasi na uelewa wako wa mambo kaka yangu ndugu yangu na jamaa yangu..rafiki yangu Sikonge. Masters ya IT tena ya Poland wewe unaona si kitu cha kawaida? Do properly your home work

Unaendelea kuspill beans tu hapa

Unataka Engineers sasa ndani ya bunge unafikiri Mtanzania atakuwa peke yake tena?

Nakutajia wanne tu

  • Shukuru Kwambwa MP Bagamoyo
  • Stella Manyanya Special seat CCM
  • Christopher Chiza MP Kasulu West
  • Prof Mark Mwandosya MP
shem achana na wapambe wa mwakalinga......kajipakulie meremeta mwanakijiji amei release kwa ambao hamkununua.....
 
Nina hasira sana na hawa watu....Shem mimi nilinunua ilipotoka tu...kumbe subira huvuta heri....nimejifunza...
 
hata mie shem nilinunua mwanzoni kabisa.......nasikia huyo kakako sikonge ndio atakuwa producer kwenye redio ya boss wake wmakalinga?
 
Back
Top Bottom