Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

hata mie shem nilinunua mwanzoni kabisa.......nasikia huyo kakako sikonge ndio atakuwa producer kwenye redio ya boss wake wmakalinga?

Nakuaminia Shem....nina wasi wasi sana na ndugu yangu Sikonge...nilikuwa namsoma vizuri sasa naanza kujua rangi yake halisi, wee mpe laptop tu hata kama ni second hand pentium II atakulamba miguu....LoL
 
hata mie shem nilinunua mwanzoni kabisa.......nasikia huyo kakako sikonge ndio atakuwa producer kwenye redio ya boss wake wmakalinga?

Mbona niliona umeandika kuwa unaisubiria kudownload kwa Torrent?basi nikajua huna, ningejua unatania ningekuomba unitumie..Mimi ukweli ni kuwa nimeipata leo hivyo nameremeta!
 
kaishi majuu(poland) miaka 18 ni exposure tosha kwa wana kyela nasikia wanafagilia sana watu wa majuu...
...ni IT expert atatoa laptop za bure wapambe wake washa ahidi...

nusu kaishi Poland na nusu kaishi UK. Kama una shida na hilo, pole.
 
hata mie shem nilinunua mwanzoni kabisa.......nasikia huyo kakako sikonge ndio atakuwa producer kwenye redio ya boss wake wmakalinga?

Nakuaminia Shem....nina wasi wasi sana na ndugu yangu Sikonge...nilikuwa namsoma vizuri sasa naanza kujua rangi yake halisi, wee mpe laptop tu hata kama ni second hand pentium II atakulamba miguu....LoL

Ha ha haaaaaa. Huu ndiyo unaitwa utani. Safi sana. Pentium II? Njoo Skype uone mtambo wangu.
 
Ha ha haaaaaa. Huu ndiyo unaitwa utani. Safi sana. Pentium II? Njoo Skype uone mtambo wangu.

Hahahaha haya bwana kuwa na wakati mzuri wacha mimi nikapige box mida hii am out and over, nikifikisha miaka 18 hivi ughaibuni narudi Nzega kuchukua jimbo!
 
Mbona niliona umeandika kuwa unaisubiria kudownload kwa Torrent?basi nikajua huna, ningejua unatania ningekuomba unitumie..Mimi ukweli ni kuwa nimeipata leo hivyo nameremeta!

kumbe Yo Yo ni mtumiaji wa vitu pirats? Sasa Masa ona shemeji kaaibika.

Wamemsasambua SAMBU!!
 
Kugombea Ubunge ni haki ya kila Mtanzania anayetimiza masharti ya kuwa Mbunge. Sasa akitokea mtu kuonesha nia yake ya kugombea halafu tukaanza kusema katumwa na mafisadi, nadhani wanaosema hivyo wao ndio mafisadi. Manake hakuna mtu ambaye ni Mbunge wa maisha. Hata kama utateta Wananchi vipi, baada ya miaka 5 ni haki ya yeyote kugombea bila kujali ulifanya nini katika hiyo miaka 5 uliyokuwa Mbunge.

Hongera Mwakalinga kwa kuweka wazi mapema kuwa utagombea Ubunge jimbo la Kyela. Sasa mambo yatakuwa hapo wakati wa kura za maoni mwakani, ndio tutajua nani kinara wa CCM katika mbio za Ubunge Kyela.
 
Mwakalinga are you in the Jimbo to stay hadi mwakani ama ume enda kupasha moto na kuondoka then urudi baadaye ? Lakini kwa kuwa nawe ni CCM na wale utakao umana nao ni wana CCM wenzako basi hakuna maneno ,lakini twakuomba uje hapa mzee tanzanet useme haya yasemwayo ila mie nimeukata uzoefu wako wa tanzania kutunza dola 200 zao.Njoo usailiwe hapa .JF kyela wanao kufa njaa na hata malaria hawaijuisasa ukisema ndiyo sehemu ya uzoefu wako haya .
 
kumbe Yo Yo ni mtumiaji wa vitu pirats? Sasa Masa ona shemeji kaaibika.

Wamemsasambua SAMBU!!

Kazi kweli kweli hao ndo mtu na shemejie, huoni pia wamevalia njuga suala la mtu mwenye nia ya kugombea ubunge kwa maswala ya elimu yake ya Poland..

Kuhusu Mwakalinga
Huyo Mwakalinga kutaka kugombea ubunge siyo kitu kibaya, eti kuhusu qualification kwani kuna qualifications gani za kugombea ubunge za kutisha bongo?! Hata kama Mwakyembe kafanya vitu vizuri kimaendeleo jimboni na kwa taifa haina maana asiwe na mpinzani..Hawezi kutawala Kyela milele na kupewa changamoto ni muhimu, sema inatakiwa uwe na kifua cha kupambana kiukweli tena kwenye hizi siasa..
 
Kugombea Ubunge ni haki ya kila Mtanzania anayetimiza masharti ya kuwa Mbunge. Sasa akitokea mtu kuonesha nia yake ya kugombea halafu tukaanza kusema katumwa na mafisadi, nadhani wanaosema hivyo wao ndio mafisadi. Manake hakuna mtu ambaye ni Mbunge wa maisha. Hata kama utateta Wananchi vipi, baada ya miaka 5 ni haki ya yeyote kugombea bila kujali ulifanya nini katika hiyo miaka 5 uliyokuwa Mbunge.

Naomba ifahamike wazi hapa kwako mkuu Mfumwa na kwa wengine hapa kuwa mimi Mwafrika sina tatizo na uamuzi wa Mwakalinga kugombea huo ubunge. Kila mtu Tanzania (hata kina Chenge na Lowasa) ana haki kwa mujibu wa sheria za nchi kugombea ubunge wa kokote wanakotaka na kwa muda wowote ule wanaotaka.

Kinachojadiliwa hapa ni siasa ambazo zinazunguka uamuzi na kugombea. Kumbuka pia kuwa hili ni jukwaa la siasa. Kama Mwakalinga kapita Monduli kabla ya kwenda kutangaza rasmi huko Kyela, then ni fair game kujadili hapa yote yaliyotokea Monduli.

Kama Mwakalinga kamwita RIdhiwani Kikwete aje kumpigia kampeni Kyela, then matokeo ya uamuzi huo lazima yajadiliwe hapa. Hakuna kosa lolote lile la kuchambua maisha ya kisiasa ya Mwakalinga. Kama lipo, naomba uliseme hapa.

Hongera Mwakalinga kwa kuweka wazi mapema kuwa utagombea Ubunge jimbo la Kyela. Sasa mambo yatakuwa hapo wakati wa kura za maoni mwakani, ndio tutajua nani kinara wa CCM katika mbio za Ubunge Kyela.

Kama vile ulivyo na haki ya kumpa hongera Mwakalinga, basi kuna wengine wana haki sawa ya kumchambua Mwakalinga na mahusiano yake na watu wanaotuhumiwa kwa ufisadi mkubwa kabisa Tanzania. Wewe unasemaje?
 
Hahahaha haya bwana kuwa na wakati mzuri wacha mimi nikapige box mida hii am out and over, nikifikisha miaka 18 hivi ughaibuni narudi Nzega kuchukua jimbo!

Ha ha ha ha ... angalia lakini usiende Poland kusomea utaalamu wa kompyuta usije ukaishia kuleta laptop za kutumia umeme wa mvua za wathailand kama ndugu yetu Mwakalinga.
 
Mwakyembe anatosha maana anawafanyia kazi watanzania wote na si wa Kyela peke yake.Huyo aliyetoka UK katumwa na mafisadi maana Mwakyembe amekuwa mwiba kwao.Yeye aanzishe shule ya IT itawasaidia ila siasa za bongo aachane nazo maana sasa hivi ukiwa mgeni na siasa hizi hutafanya kitu zaidi ya kuwa yes man kwa mafisadi.
 
... kwetu twasema siku ya harusi "Kulanga kilangile, uli-kyume na ulangi" yaani "Kufunda mtoto aliyefundika, basi utajisifia ufundaji".

Sasa kwa nini umfunde aliyefundika? Na kama alishafundika utajisifiaje ufundaji? Provebu yako hai meki sensi!

Atakayeendelea kukiuka atapata Server ban and that will be a permanent one.

Kuna Mbunge kaiuliza serikali, Sheria ya Economic Sabotage, 1983 imewahi kutumika? And in that spirit, let me pose this, Umewahi kuadhibu wangapi na hiyo permanent server ban? Wacha mukwara bana mukubwa!
 
Sasa kwa nini umfunde aliyefundika? Na kama alishafundika utajisifiaje ufundaji? Provebu yako hai meki sensi!

Kuna Mbunge kaiuliza serikali, Sheria ya Economic Sabotage, 1983 imewahi kutumika? And in that spirit, let me pose this, Umewahi kuadhibu wangapi na hiyo permanent server ban? Wacha mukwara bana mukubwa!

Invisible...make an example out of this guy...
 
Back
Top Bottom