Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kila siku unadai yeye ni kiboko yangu...mimi nadhani wewe unamegwa na Ndjabu...maana umezidi kumfagilia
not me.....you.....
Ndjabu alifeli la 7 lakini akapasua olevel mpaka university huwezi kushindana na kile kichwa......
 
Sasa kwa nini umfunde aliyefundika? Na kama alishafundika utajisifiaje ufundaji? Provebu yako hai meki sensi!

Dilunga,
Hapa naona wazi kabisa kuwa huo msemo wa Kinyamwezi "hukuona ndani" na ndiyo maana unaona haumake sensi.

Ni Mila za Kinyamwezi siku ya Harusi kutoa maneno kwa binti wao au kijana wao. Mwanangu hiki mwanangu kile. Baadaye mtoto akienda huko na kufanya mambo mazuri, basi utawasikia hao wazazi (baba, mama, shangazi, mjomba, babu, bibi, kaka, dada nk) wakitamba kuwa maneno yao siku ya harusi yalikuwa mazito sana na binti kayashika milele. Ukweli ni kuwa hiyo kazi wameifanya wale waliomlea hadi anaowa au kuolewa na pia akili za mtu mwenyewe. Sasa kama muda umekwenda na watu wanataka kuwahi, huwa wanafanya short-cut. Jamaa anakuja na kusema "sintasema chochote kwa binti maana kama shule alishapata. Sanasana ntabwabwaja hapa na baadaye nije nijisifu kuwa nilimfunda vizuri siku ya harusi". Sasa hayo maneno yote juu, huwa tunasema "Kulanga kilangile, ulikumye na na ulangi". Hapo kila mtu anakuwa amemuelewa na anaweza malizia hapohapo na akakaa.

Hapa maana yangu ilikuwa kwamba, "Bila kujali Mwakalinga kasomea IT nchini Poland (nafikiri MkamaP anaweza kutuelezea zaidi juu ya shule za IT Poland ingawa kwa fahamu yangu, wako juu sana kulinganisha na shule za IT kwa Tanzania) ubora wake au udhaifu wake kwenye IT hautokani na shule aliyosomea. Angeweza kusomea Tanzania, Poland, Ukraine, China, USA, Canada, UK nk na uwezo wake ungelikuwa vilevile. Sasa kesho akija kuwa "mtu mkubwa sana", utasikia Poland wakijisifu kuwa "Product yetu hii". Ukali wake kwenye IT unatokana kwa asilimia kubwa na mtu mwenyewe (alivyozaliwa na kukuzwa) na elimu inayotolewa pale huwa ni kama asilimia 40 hivi. Mengine ni mtu kujitafutia mwenyewe kuongeza hizo asilimia. Sasa ubaya au Uzuri wa kusoma shule Poland kwa kweli unachangia chini ya nusu. Mengine haya inakuwa ni kama ule msemo nimeandika hapo juu.

Ona Masha kasoma sheria Tanzania, akaenda USA, na kukaa kwake nje mambo yake hayoo. Akalewa kwenye ma-bar na kuanza kuropoka hadi wanamrekodi. Sasa hapa ulaumu shule za USA na Tanzania kwa kutengeneza WAZIRI mbovu namna hii au Masha mwenye we?

By the way, hebu ngoja niangalie wikipedia ya Tanzania na Poland ili nije na GDP.
 
Kuna Mbunge kaiuliza serikali, Sheria ya Economic Sabotage, 1983 imewahi kutumika? And in that spirit, let me pose this, Umewahi kuadhibu wangapi na hiyo permanent server ban? Wacha mukwara bana mukubwa!

hakuna sheria kama hiyo. Na hakuna mbunge aliyeulizia sheria hiyo unayoitaja.
 
Kugombea Ubunge ni haki ya kila Mtanzania anayetimiza masharti ya kuwa Mbunge. Sasa akitokea mtu kuonesha nia yake ya kugombea halafu tukaanza kusema katumwa na mafisadi, nadhani wanaosema hivyo wao ndio mafisadi. Manake hakuna mtu ambaye ni Mbunge wa maisha. Hata kama utateta Wananchi vipi, baada ya miaka 5 ni haki ya yeyote kugombea bila kujali ulifanya nini katika hiyo miaka 5 uliyokuwa Mbunge.

Hongera Mwakalinga kwa kuweka wazi mapema kuwa utagombea Ubunge jimbo la Kyela. Sasa mambo yatakuwa hapo wakati wa kura za maoni mwakani, ndio tutajua nani kinara wa CCM katika mbio za Ubunge Kyela.

Mkuu Mfumwa ahsante sana kwa mchango wako mzuri sana. Ni ukweli usiofichika kwamba kila Mtanzania ana haki ya kugombea ubunge katika jimbo lolote lile ili mrafi tu katimiza miaka 18 na ni mwenye akili timamu.

Pamoja na kwamba Mwakalinga ana haki ya kugombea huko Kyela lakini pia ni lazima tutilie maanani mazingira yote yaliyokuwepo yanayohusiana na kugombea kwa Mwakalinga na kina nani ambao wanampigia debe Mwakalinga katika kinyang'anyiro hicho.

Tukumbuke pia kundi la mtandao ambalo ni la watu hao hao wanaompigia debe ndiyo hao hao walitumia mabilioini ya pesa kuhonga na kumchafua SAS katika kinyang'anyiro cha kumpata mgombea wa CCM katika uchaguzi wa 2010.

Kwa maoni yangu hawa mafisadi wote akina Lowassa, RA na wengineo wote ambao inasemekana wanamuunga mkono Mwakalinga ili amuondoe Mwakyembe nadhani wanafanya hivyo kutokana na kumuona Mwakyembe kama mbaya wao wa aliyevimwagia mchanga vitumbua vyao, na hili siyo siri hasa ukitilia maanani kwamba Mkuu wa TAKUKURU alipopewa kazi ya kuchunguza mkataba wa Richmond/Dowans ripoti yake pamoja na Mwanasheria Mkuu ilidai kwamba hakukuwa na matatizo yoyote katika mkataba ule ukiondoa hitilafu ndogo ndogo ambazo hazikuwa na athari yoyote ile kwa Taifa lakini tume iliyoongozwa na Mwakyembe ikatoa ripoti yenye tofauti kubwa iliyoonyesha ufisadi wa hali ya juu ambao huyo papa fisadi RA na kampuni yake ya Richmond/Dowans ambao walikuwa wanalipwa shilingi milioni 152 kwa siku bila ya kuzalisha hata tone moja la umeme na huku wakiwa wamepata mkataba huo kwa kusema uwongo kwamba wao ni wataalam wa kufua umeme na wana HQ yao Houston, TX kumbe ilikuwa ni briefcase company ya kariakoo ambayo haina utaalam wowote wa kufua umeme bali ni mafisadi tu. Matokeo ya ripoti hiyo wote tunayajua na hadi leo hii bado mengine hayajatekelezwa.

Miaka ya nyuma ilikuwa si rahisi Mtu mwenye hadhi ya Mwakyembe hasa ukitilia maanani ripoti nzuri iliyoandikwa na kamati yake kuhusu Richmond/Dowans kuletewa mgombea mwingine toka chama chake, huyu Mwakalinga angeweza kupewa hata Ubunge wa viti maalum, lakini mafisadi wameona kuna opportunity ya kuonyesha ubabe na uwezo wao ndani ya CCM hivyo wanataka kumpararura Mwakyembe ili kulipiza yaliyoandikwa katika ripoti ya timu yake.

Kwa hiyo kama tunaona ni vizuri kuwanyamazia hawa mafisadi wawatarget wabunge wote wale ambao wanawaona tishio basi na tunyamaze lakini nawahakikishia hali hii si nzuri hata kidogo kwa nchi yetu tena ukitilia maanani kwamba inasemekana mtoto wa Rais anaenda kumpigia debe mgombea mwingine badala ya kuwa neutral, kwanini huyu asiwe neutral kati ya wagombea hawa wawili?
 
Last edited:
Ha ha ha ha ... angalia lakini usiende Poland kusomea utaalamu wa kompyuta usije ukaishia kuleta laptop za kutumia umeme wa mvua za wathailand kama ndugu yetu Mwakalinga.

Haya, ngoja tuangalia Tanzania iko wapi na Poland(Madongo kwinama wako wapi).

Data kutoka wikipedia:

Tanzania: [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Gross_domestic_product"]GDP[/ame] ([ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Purchasing_power_parity"]PPP[/ame])2008 estimateTotal$53.716 billion[2] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Per_capita"]Per capita[/ame]$1,351[2] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Gross_domestic_product"]GDP[/ame] (nominal)2008 estimateTotal$20.721 billion[2] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Per_capita"]Per capita[/ame]$521[2]

Poland:
[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Gross_domestic_product"]GDP[/ame] ([ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Purchasing_power_parity"]PPP[/ame])2008 estimateTotal$666.052 billion[3] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Per_capita"]Per capita[/ame]$17,482[3] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Gross_domestic_product"]GDP[/ame] (nominal)2008 estimateTotal$525.735 billion[3] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Per_capita"]Per capita[/ame]$13,799[3]

Halafu unaona JITU linacheka Poland, sijui Ukraine.
Nchi kama Ukraine, kuna tajiri mmoja kwa kufanya maandalizi ya EURO2012, kashamaliza kujenga uwanja wa Mpira kwa mashindano hayo. Jamaa alijenga kwa speed kubwa sana. Angalia hata matajiri wengi wa Europe, wako pia Russia, Ukraine, Czech, Poland.

Hata nchi kama Albania, nchi masikini sanaa au hata Kosovo, mwenyewe utakuta kwamba Per capita wanatuzidi mara mbili. Watu msisome news za WEST a mnafikiri kweli jamaa wako hoi na nyie mkisifiwa, basi mnajiona mko juu.

Mwafrika, wee mtu wa makamo. Angalia vitu unavyoandika. Wakati mwingine unaweza kuwa unaandika Pumba hadi unatia aibu na hapo unaonyesha jinsi ulivyo mweupe. Data ziko open kwa kila mtu kusoma. Usifyonze habari za zamani wakati wa cold war. Tembea uone, usingoje kuambiwa eti Ukraine choo, Kosovo waya mkali, Albania njaa kali na blaa blaa nyingine. Na eti Tanzania, tuko juu sana. Wee huu waya wa hapa Sikonge, heri hata Albania. So, kijana, next time unapocheka nchi fulani, angalia kwanza data zao kabla HUJAJIAIBISHA. Yaani sasa nimeshajua UELEWA wako unaishia wapi......
 
Last edited:
Mwakalinga are you in the Jimbo to stay hadi mwakani ama ume enda kupasha moto na kuondoka then urudi baadaye ? Lakini kwa kuwa nawe ni CCM na wale utakao umana nao ni wana CCM wenzako basi hakuna maneno ,lakini twakuomba uje hapa mzee tanzanet useme haya yasemwayo ila mie nimeukata uzoefu wako wa tanzania kutunza dola 200 zao.Njoo usailiwe hapa .JF kyela wanao kufa njaa na hata malaria hawaijuisasa ukisema ndiyo sehemu ya uzoefu wako haya .

Ahsante sana nilikuwa nahisi huyu ni yule Mwakalinga wa TANZANET lakini sikuwa na uhakika, ahsante sana kwa uthibitisho.
 
Mkuu Mfumwa ahsante sana kwa mchango wako mzuri sana. Ni ukweli usiofichika kwamba kila Mtanzania ana haki ya kugombea ubunge katika jimbo lolote lile ili mrafi tu katimiza miaka 18 na ni mwenye akili timamu.

Pamoja na kwamba Mwakalinga ana haki ya kugombea huko Kyela lakini pia ni lazima tutilie maanani mazingira yote yaliyokuwepo yanayohusiana na kugombea kwa Mwakalinga na kina nani ambao wanampigia debe Mwakalinga katika kinyang'anyiro hicho.

Tukumbuke pia kundi la mtandao ambalo ni la watu hao hao wanaompigia debe ndiyo hao hao walitumia mabilioini ya pesa kuhonga na kumchafua SAS katika kinyang'anyiro cha kumpata mgombea wa CCM katika uchaguzi wa 2010.

Kwa maoni yangu hawa mafisadi wote akina Lowassa, RA na wengineo wote ambao inasemekana wanamuunga mkono Mwakalinga ili amuondoe Mwakyembe nadhani wanafanya hivyo kutokana na kumuona Mwakyembe kama mbaya wao wa aliyevimwagia mchanga vitumbua vyao, na hili siyo siri hasa ukitilia maanani kwamba Mkuu wa TAKUKURU alipopewa kazi ya kuchunguza mkataba wa Richmond/Dowans ripoti yake pamoja na Mwanasheria Mkuu ilidai kwamba hakukuwa na matatizo yoyote katika mkataba ule ukiondoa hitilafu ndogo ndogo ambazo hazikuwa na athari yoyote ile kwa Taifa lakini tume iliyoongozwa na Mwakyembe ikatoa ripoti yenye tofauti kubwa iliyoonyesha ufisadi wa hali ya juu ambao huyo papa fisadi RA na kampuni yake ya Richmond/Dowans ambao walikuwa wanalipwa shilingi milioni 152 kwa siku bila ya kuzalisha hata tone moja la umeme na huku wakiwa wamepata mkataba huo kwa kusema uwongo kwamba wao ni wataalam wa kufua umeme na wana HQ yao Houston, TX kumbe ilikuwa ni briefcase company ya kariakoo ambayo haina utaalam wowote wa kufua umeme bali ni mafisadi tu. Matokeo ya ripoti hiyo wote tunayajua na hadi leo hii bado mengine hayajatekelezwa.

Miaka ya nyuma ilikuwa si rahisi Mtu mwenye hadhi ya Mwakyembe hasa ukitilia maanani ripoti nzuri iliyoandikwa na kamati yake kuhusu Richmond/Dowans kuletewa mgombea mwingine toka chama chake, huyu Mwakalinga angeweza kupewa hata Ubunge wa viti maalum, lakini mafisadi wameona kuna opportunity ya kuonyesha ubabe na uwezo wao ndani ya CCM hivyo wanataka kumpararura Mwakyembe ili kulipiza yaliyoandikwa katika ripoti ya timu yake.

Kwa hiyo kama tunaona ni vizuri kuwanyamazia hawa mafisadi wawatarget wabunge wote wale ambao wanawaona tishio basi na tunyamaze lakini nawahakikishia hali hii si nzuri hata kidogo kwa nchi yetu tena ukitilia maanani kwamba inasemekana mtoto wa Rais anaenda kumpigia debe mgombea mwingine badala ya kuwa neutral, kwanini huyu asiwe neutral kati ya wagombea hawa wawili?
Mkuu
achana na maneno ya upambe unauhakika upi kwamba mafisadi wanampigia debe mwakalinga? mbona tunakuwa watumwa wa mawazo ??

Na uhakika 100% hao akina RA sijui Lowasa mnaojaribu kumchafua nao hata hawamfahamu upande wa mwakyembe ndio umeona hii ndio njia pekee ya kumhusisha na mafisadi ??

Tujadili hoja pale mda utakapowadia kwa vigezo vya sera na si hadithi za abunuasi.
Kwanini tunashindwa kujadili kwa kuzingatia hoja ya kila mmoja alichokifanya na anachotegemea kuwafanyia wana kelya tunabaki kukimbilia eti fisadi.Jadilini hoja ondokeni na mawazo potofu
 
Simpambi yoyote hapa nasema kama Mtanzania kwa maslahi ya nchi yangu. Na hii tabia yako ya kuita mawazo ya wenzako ni "mawazo potofu" achana nayo kama una mawazo tofauti na ya kwangu basi yaweke hapa badala ya kuanza kutumia lugha ambazo hazijengi bali zinabomoa.
 
Shida ilianzia vacation yake Monduli na kufanya vikao vya faragha na mzee wa mvua za Thailand na ndege ya uchumi inayopaa.....na baadhi ya wapambe wake hapa akina Kanda2 walipokuja na laptop atakazo nunua Rostam. Sisi watu makini tumefatilia michango ya Mtanzania hapa JF moja kwa moja yuko na Mwakipesile, kwa maana hiyo Mwakalinga hawezi kuwa nje ya mduara wa RA, EL na Mwakipesa (Mwakipesile) kuendeleza siasa za chuki Kyela. Simple arithmatic mkuu....
 
Mkuu Mfumwa ahsante sana kwa mchango wako mzuri sana. Ni ukweli usiofichika kwamba kila Mtanzania ana haki ya kugombea ubunge katika jimbo lolote lile ili mrafi tu katimiza miaka 18 na ni mwenye akili timamu.

Pamoja na kwamba Mwakalinga ana haki ya kugombea huko Kyela lakini pia ni lazima tutilie maanani mazingira yote yaliyokuwepo yanayohusiana na kugombea kwa Mwakalinga na kina nani ambao wanampigia debe Mwakalinga katika kinyang'anyiro hicho.

Tukumbuke pia kundi la mtandao ambalo ni la watu hao hao wanaompigia debe ndiyo hao hao walitumia mabilioini ya pesa kuhonga na kumchafua SAS katika kinyang'anyiro cha kumpata mgombea wa CCM katika uchaguzi wa 2010.

Kwa maoni yangu hawa mafisadi wote akina Lowassa, RA na wengineo wote ambao inasemekana wanamuunga mkono Mwakalinga ili amuondoe Mwakyembe nadhani wanafanya hivyo kutokana na kumuona Mwakyembe kama mbaya wao wa aliyevimwagia mchanga vitumbua vyao, na hili siyo siri hasa ukitilia maanani kwamba Mkuu wa TAKUKURU alipopewa kazi ya kuchunguza mkataba wa Richmond/Dowans ripoti yake pamoja na Mwanasheria Mkuu ilidai kwamba hakukuwa na matatizo yoyote katika mkataba ule ukiondoa hitilafu ndogo ndogo ambazo hazikuwa na athari yoyote ile kwa Taifa lakini tume iliyoongozwa na Mwakyembe ikatoa ripoti yenye tofauti kubwa iliyoonyesha ufisadi wa hali ya juu ambao huyo papa fisadi RA na kampuni yake ya Richmond/Dowans ambao walikuwa wanalipwa shilingi milioni 152 kwa siku bila ya kuzalisha hata tone moja la umeme na huku wakiwa wamepata mkataba huo kwa kusema uwongo kwamba wao ni wataalam wa kufua umeme na wana HQ yao Houston, TX kumbe ilikuwa ni briefcase company ya kariakoo ambayo haina utaalam wowote wa kufua umeme bali ni mafisadi tu. Matokeo ya ripoti hiyo wote tunayajua na hadi leo hii bado mengine hayajatekelezwa.

Miaka ya nyuma ilikuwa si rahisi Mtu mwenye hadhi ya Mwakyembe hasa ukitilia maanani ripoti nzuri iliyoandikwa na kamati yake kuhusu Richmond/Dowans kuletewa mgombea mwingine toka chama chake, huyu Mwakalinga angeweza kupewa hata Ubunge wa viti maalum, lakini mafisadi wameona kuna opportunity ya kuonyesha ubabe na uwezo wao ndani ya CCM hivyo wanataka kumpararura Mwakyembe ili kulipiza yaliyoandikwa katika ripoti ya timu yake.

Kwa hiyo kama tunaona ni vizuri kuwanyamazia hawa mafisadi wawatarget wabunge wote wale ambao wanawaona tishio basi na tunyamaze lakini nawahakikishia hali hii si nzuri hata kidogo kwa nchi yetu tena ukitilia maanani kwamba inasemekana mtoto wa Rais anaenda kumpigia debe mgombea mwingine badala ya kuwa neutral, kwanini huyu asiwe neutral kati ya wagombea hawa wawili?

BAK,

Naweza kusema kuwa "naona uchungu wako kwa Mwakyembe". Naona kama unaelewa kuwa Mwakyembe atashindwa. Mwaka 2000 nilitegemea George agombee, hakugombea. Mwaka 2005 tukam-pump sana lakini akaona heri apeleke nguvu zake kwa Mwakyembe ambaye alikuwa amewaunganisha wana-kyela wote na hii ilipelekea kumbwaga vibaya sana Mwakyembe. Sasa kilichotokea baada ya hapo, nafikiri ulisoma huko nyuma hadi sijui nani huko Kyela akatandikwa mangumi na vijana wanne.

Mwakyembe aliombwa mapema sana afanye suluhu mara baada ya uchaguzi na akashindwa kufanya hivyo. Matokeo yake, kila aliyeenda kwa Mwakipesile (at the end of the day jamaa ni RC sasa) Dr. akawa anamuona ni adui yake. Vijana wa KBS ndiyo wakawa maadui wake namba 1.

Ninaamini kama angelifanya kama alivyofanya Obama juu ya Clinton, pamoja na matusi yote, uchaguzi ulipoisha wakawa timu moja hadi wakachukua nchi. Walipochukua nchi akamuingiza mama kwenye timu na kumfanya kuwa msemaji wake nje ya nchi.

Hata ikitokea Mwakalinga ashinde, basi ntakuwa wa kwanza kumlaani humu ndani kama hatafanya suluhu na kambi zote za upinzani wa ndani na nje wa CCM.
Kwa upande mwingine naweza kusema kuwa "Mwakyembe kapata bahati mbaya kuwa Mbunge wa Kyela, na Mwakalinga kapata bahati mbaya kuwa anatokea Kyela na huko kaelekeza nguvu zake kwa miaka mingi". I wish mmoja wao angelikuwa anatoka Sikonge, haya wala yasingelikuwepo.

Kumsingizia Mwakalinga unayemfahamu kumbe tangu Tanzanet kuwa kapewa Pesa na Lowasa au mafisadi mkuu unaenda sana chini saana. Nilifikiri watu mtatumia akili zenu kupima mabaya na mazuri. Kumbe mtu akija na SPIN yoyote watu wananunua. Kama angelikuwa kaenda kwa Lowasa, basi wala asingelisema kuwa yuko Arusha.
Na Hivi ili kukutana na Lowasa ni lazima uende Arusha? Kama ni hivyo si angelienda moja kwa moja kwa King Maker RA? Tungelisikia alipitia pia Igunga. Siwezi amini watu wanaitikia kama ngoma kwa urahisi namna hiyo.

na hawa ni WASOMI wa JF, sasa huko vijijini? Wakipata tu Tshirt za njano na Green Vest za Kijani basi wao ni Cheche emu tu.
 
Haya, ngoja tuangalia Tanzania iko wapi na Poland(Madongo kwinama wako wapi).

Data kutoka wikipedia:

Tanzania: GDP (PPP)2008 estimateTotal$53.716 billion[2] Per capita$1,351[2] GDP (nominal)2008 estimateTotal$20.721 billion[2] Per capita$521[2]

Poland:
GDP (PPP)2008 estimateTotal$666.052 billion[3] Per capita$17,482[3] GDP (nominal)2008 estimateTotal$525.735 billion[3] Per capita$13,799[3]

Ha ha ha ha .. sasa yameanza malinganisho ya Tanzania vs Poland. Ama kweli kuishi kwingi kuona mengi. Yaani kama haya ndiyo mtapeleka Kyela basi mtaishia morogoro au Tabora (ndio maana Ridhiwani amechomoa juzi ili mjipange vizuri).

Halafu unaona JITU linacheka Poland, sijui Ukraine.

breaaaathhhhhhh ... mbona una hasira sana leo?

Nchi kama Ukraine, kuna tajiri mmoja kwa kufanya maandalizi ya EURO2012, kashamaliza kujenga uwanja wa Mpira kwa mashindano hayo. Jamaa alijenga kwa speed kubwa sana. Angalia hata matajiri wengi wa Europe, wako pia Russia, Ukraine, Czech, Poland.

So what.... hata Tanzania kuna "matajiri" wanaita pesa zao vijisenti? Hii ndiyo strategy ya kukaa ulaya miaka 18? kuja kusikifia matajiri wanaojenga viwanja? Ama kweli Mwakalinga kadanganywa na mafisadi.

Hata nchi kama Albania, nchi masikini sanaa au hata Kosovo, mwenyewe utakuta kwamba Per capita wanatuzidi mara mbili. Watu msisome news za WEST a mnafikiri kweli jamaa wako hoi na nyie mkisifiwa, basi mnajiona mko juu.

So what ... mwisho utaishia kusema kuwa Thailand pia wanatuzidi ili kupigia debe wale waganga wa mvua!!! ha ha haha. Hizo laptop zitabuma hadi ushangae.

Mwafrika, wee mtu wa makamo. Angalia vitu unavyoandika. Wakati mwingine unaweza kuwa unaandika Pumba hadi unatia aibu na hapo unaonyesha jinsi ulivyo mweupe. Data ziko open kwa kila mtu kusoma. Usifyonze habari za zamani wakati wa cold war. Tembea uone, usingoje kuambiwa eti Ukraine choo, Kosovo waya mkali, Albania njaa kali na blaa blaa nyingine. Na eti Tanzania, tuko juu sana. Wee huu waya wa hapa Sikonge, heri hata Albania. So, kijana, next time unapocheka nchi fulani, angalia kwanza data zao kabla HUJAJIAIBISHA. Yaani sasa nimeshajua UELEWA wako unaishia wapi......

Yaani Sikonge umeanza lini ushehe yahya? Umeshajua tayari uelewa wangu na kukamilisha kuwa naandika pumba?!

Usijekulauumu kuwa wana JF hawakukupatieni ushauri. Haya mambo ya kushirikiana na fisadi Lowasa, RIdhiwani, Rostam na Mwakipesile yatawaangusha. Tafuteni gia nyingine. ohhhh hooooooo
 
Simpambi yoyote hapa nasema kama Mtanzania kwa maslahi ya nchi yangu. Na hii tabia yako ya kuita mawazo ya wenzako ni "mawazo potofu" achana nayo kama una mawazo tofauti na ya kwangu basi yaweke hapa badala ya kuanza kutumia lugha ambazo hazijengi bali zinabomoa.

kwa hiyo na wewe unatumiwa na mafisadi wa upande wa upepo wa singida ?

Mawazo potofu ni potofu tu!! argue za namna hii ni potofu ,na ku argue kinamna hii ni kipotofu potofu tu.

wewe sema kwanini asingombee
 
Mkuu
achana na maneno ya upambe unauhakika upi kwamba mafisadi wanampigia debe mwakalinga? mbona tunakuwa watumwa wa mawazo ??

Na uhakika 100% hao akina RA sijui Lowasa mnaojaribu kumchafua nao hata hawamfahamu upande wa mwakyembe ndio umeona hii ndio njia pekee ya kumhusisha na mafisadi ??

Tujadili hoja pale mda utakapowadia kwa vigezo vya sera na si hadithi za abunuasi.
Kwanini tunashindwa kujadili kwa kuzingatia hoja ya kila mmoja alichokifanya na anachotegemea kuwafanyia wana kelya tunabaki kukimbilia eti fisadi.Jadilini hoja ondokeni na mawazo potofu

Wewe nilidhani umefungiwa na wenzako? au kwa vile Mwakalinga ni mwanzilishi wa JF? ha ha ha ha.

Ukishirikiana na Lowasa, Ridhiwani, ROstam na Mwakipesil, basi wewe ni fisadi tu. Hiyo ndiyo label pekee inayomfaa Mwakalinga hivi sasa.
 
kwa hiyo na wewe unatumiwa na mafisadi wa upande wa upepo wa singida ?

Mawazo potofu ni potofu tu!! argue za namna hii ni potofu ,na ku argue kinamna hii ni kipotofu potofu tu.

wewe sema kwanini asingombee

Punguza hasira mkuu. Hii ni JF - watu wanaongea openly na kumkoma nyani giladi mchana kweupeeeeee mpaka Monduli.
 
BAK,

Naweza kusema kuwa "naona uchungu wako kwa Mwakyembe". Naona kama unaelewa kuwa Mwakyembe atashindwa. Mwaka 2000 nilitegemea George agombee, hakugombea. Mwaka 2005 tukam-pump sana lakini akaona heri apeleke nguvu zake kwa Mwakyembe ambaye alikuwa amewaunganisha wana-kyela wote na hii ilipelekea kumbwaga vibaya sana Mwakyembe. Sasa kilichotokea baada ya hapo, nafikiri ulisoma huko nyuma hadi sijui nani huko Kyela akatandikwa mangumi na vijana wanne.

Mwakyembe aliombwa mapema sana afanye suluhu mara baada ya uchaguzi na akashindwa kufanya hivyo. Matokeo yake, kila aliyeenda kwa Mwakipesile (at the end of the day jamaa ni RC sasa) Dr. akawa anamuona ni adui yake. Vijana wa KBS ndiyo wakawa maadui wake namba 1.

Ninaamini kama angelifanya kama alivyofanya Obama juu ya Clinton, pamoja na matusi yote, uchaguzi ulipoisha wakawa timu moja hadi wakachukua nchi. Walipochukua nchi akamuingiza mama kwenye timu na kumfanya kuwa msemaji wake nje ya nchi.

Hata ikitokea Mwakalinga ashinde, basi ntakuwa wa kwanza kumlaani humu ndani kama hatafanya suluhu na kambi zote za upinzani wa ndani na nje wa CCM.
Kwa upande mwingine naweza kusema kuwa "Mwakyembe kapata bahati mbaya kuwa Mbunge wa Kyela, na Mwakalinga kapata bahati mbaya kuwa anatokea Kyela na huko kaelekeza nguvu zake kwa miaka mingi". I wish mmoja wao angelikuwa anatoka Sikonge, haya wala yasingelikuwepo.

Kumsingizia Mwakalinga unayemfahamu kumbe tangu Tanzanet kuwa kapewa Pesa na Lowasa au mafisadi mkuu unaenda sana chini saana. Nilifikiri watu mtatumia akili zenu kupima mabaya na mazuri. Kumbe mtu akija na SPIN yoyote watu wananunua. Kama angelikuwa kaenda kwa Lowasa, basi wala asingelisema kuwa yuko Arusha.
Na Hivi ili kukutana na Lowasa ni lazima uende Arusha? Kama ni hivyo si angelienda moja kwa moja kwa King Maker RA? Tungelisikia alipitia pia Igunga. Siwezi amini watu wanaitikia kama ngoma kwa urahisi namna hiyo.

na hawa ni WASOMI wa JF, sasa huko vijijini? Wakipata tu Tshirt za njano na Green Vest za Kijani basi wao ni Cheche emu tu.

Sikonge hebu lete uthibitisho wa mimi kuandika kwamba Mwakalinga kachukua pesa za Lowassa au za mafisadi.
 
Back
Top Bottom