Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM


NL,

Sikutegemea utakuwa mtu wa kununua habari za Kanda2. Maelezo ya Kanda2 anayemaliza na Mwakalinga Oyeeeee!!!!! yanatosha kabisa kujua UPUPU ulioko ndani. Na bado mtu unasoma na kujichanganya humo?

Mbona mie nimeandika kuwa Mwakalinga ndiyo mie na sijakuchanganya?

Juu ya kwenda Monduli/Arusha. Je unafikiri Mwakalinga alipokuwa Arusha aliishia kutembelea mbuga za wanyama tu? Hakula, hakulala, hakununua ticket? Hakuongea na watu? Mbona hapa imeandikwa kuwa alienda hadi Karatu na hakuna mtu aliyelifuatilia hilo? Ila hilo haulioni?

Kama alikuwa na gari (siku hizi yakukodisha mengi tu) si angeliweza kwa siku moja kutembelea sehemu kibao? Kupitia kuiona familia, kwenda mbuga za wanyama, kwenda Karatu nk. What's the big deal.

Kwani wee unapokuwa kwenu kuwatembelea wazee huwa unaishia hapo tu? Si unaanza kupepesa macho vibinti vya majirani? Nasikia kamoja huwa ukifika tu, lazima ukatafute, si ukaowe tu?
 
Keep ur eyes and ears open, time will tell. tell me ur friends and i will tell ur character. do u get that.


Sasa Kinepi_nepi,

Mbona na mimi Mwakalinga ni rafiki yangu?, kwahiyo na mimi ni FISADI?.

Mwakalinga amekuwa nje muda kidogo sasa huo ufisadi kamfanyia nani? Kamuibiaje Mtanzania?

Kawaibia watanzania kwa kuwapa AJIRA ktk Hotel, Supermarket (duka kubwa) au Radio?

Kuchuma nje na kuja kuwekeza nchini ndo UFISADI?.

Jamani mnyonge mnyongeni ila sifa zake mpeni, ni wachache sana waliochumia nje na wakaja kula na sisi walalahoi hapa Tanzania!!

Big up JOJI, na lazima nije Kyela kukusapoti.
 

FP,
Achana na Mbeba Mabox huyo. Kwanza hata hamfahamu Mwakalinga. Jamaa kaondoka Tanzania hata kazi hajafanya. Mali zote kachuma nje na kuleta Tanzania. Leo Kinepi-nepi anakuja na maneno kuwa jamaa ni FISADI.

Kinepi-nepi, unafikiri wee hakutukufahamu? Mtu umechoka na waya mkali. Piga miayo tu hapo na njaa yako. Kitumbua mwakani ndiyo kinaishia.. Boss wenu akirudi kushika chaki, nyie ni waya mkali.

Mtapaka mnavyoweza. Mtamsingizia jamaa mambo kibao ila utake usitake, jamaa mwakani ni mbunge wa Kyela. Una tatizo na hilo? Ukitaka unaweza kuikimbia wilaya, Mkoa, Nchi, bara la Africa na hata Dunia ili uwe mbalimbali na Mwakalinga atapokuwa Mbunge wa Kyela.

Mama Miyaaaaaa!!!!!!! Kinepi-nepi kwa kwaa kwaaaa e-bwana weeee hahahaa haaaa.....
 

Kwani wee unawajua? Kama unawajua HONGERA. Wengine twawafahamu. Haya weee unayejua jua wanaume.
Jibu la swali lako la mwanzo: FISADI ni KUMJUA.

Najua wee una jibu la FISADI NI TABIA YAKE.

Haya Maswali mengine bana. Sijui watu wanawaza kilugha wakati wanaandika?
 
Washikaji nipo Uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere kumsindikiza mwana JF mwenzetu, George Ambwene Mwakalinga, ambaye alikuwa Kyela kufanya vitu vyake vya kisiasa. Anaondoka sasa hivi na ndege ya Shirika la Ndege la Qatar kwenda London kupitia Doha. Ndege inaondoka sasa hivi(yaani saa saba na nusu).
Hivi majuzi jina la Mwakalinga lilitawala vyombo vya habari nchini kwa kuwania kiti cha ubunge cha Kyela kinachoshikiliwa na Mbunge maarufu nchini, Dk. Harrison Mwakyembe. Anatarajiwa kufika Doha jioni na boarding pass yake inasema ataondoka Doha saa sita usiku hadi Heathrow, London ambapo mshikaji ataingia mapema alfajiri kesho.
Mimi nilimpokea Mwakalinga alipoingia nchini wiki mbili zilizopita na nilikuwa miongoni mwa wale waliomsindikiza katika kujinadi kwa viongozi na wananchi wa Kyela. Ni wajibu wangu vilevile kuwaeleza kuwa anaondoka!
Kalengama
 
kalengamab Junior Member
Join Date: Fri May 2009
Posts: 3
Thanks: 1
Thanked 2 Times in 2 Posts

Haya mkuu tuwekee na picha basi ....!
 
kalengamab
Junior Member
Join Date: Fri May 2009
Posts: 3
Thanks: 1
Thanked 2 Times in 2 Posts

Maajabu ya Mussa wasalimie Doha waambie watakula paund zako buuuree
 
lol sasa mbona mwanatuchanganya? si alikataa kuwa hakuwa huko kyela kwa ajili ya kuanza kampeni za chini chini? SteveD nafikiri atakuwepo eapoti...steveD say some dude...
 

Nimeuliza UFISADI wa Mwakalinga naona jamaa nimewakimbiza.

Leteni jipya.
 
Subiri tu mara utasikia presha imepanda presha imeshuka

Chombo kipi cha habari tuweke wazi
 
Tunashukuru kwa taarifa wanakyela na tukushukuru kwa kuja na kuonyesha dhamira yako ya kugombea ubunge na tunakuombea kila la kheri katika harakati zako hizo.
 
Naaam....!
 
Msiwe na wasiwasi,

Mwakalinga ni mie hapa. Kama kuna mtu ana ubavu na aje tuzichape. Kama huna basi nakugambira kufront ya Ru-pabiliki lwa watu - shatapu!!

Niko huru kufanya nilipendalo, so longer sijavunja katiba wala sheria ya UK au Tanzania. Nitaamua lini na wapi niseme nagombea ubunge na si kijitu fulani kianze kunisemea. Nitagawa misaada na kitu chochote kwa wananchi wenye kuhitaji. Wengine wanashangaa mie kugawa Laptop, khaa, Laptop? Unafikiri uwezo wangu uko chini namna hiyo? Mie nitagawa hadi Mbuzi za kukunia NAZI. Eeeee, any problem with this one?
Nitaenda popote pale Tanzania na duniani na kukutana na mtu wa aina yoyote, hata kama ni Yo Yo. Kwani Yo Yo chi Ntu? Kama chi ntu ni ......... tete teteeeteee.

Nawasalimia kutoka kwenye PIPA la QATAR AIR, 10 km from dunia ya MAJUNGU na UFISADI. Tutaonana kesho jioni nikishafika London.

Boss la IT na Telecominications (Mbunge wa Kyela Mtarajiwa)- Ms Eng. Computer Science.
 
lol sasa mbona mwanatuchanganya? si alikataa kuwa hakuwa huko kyela kwa ajili ya kuanza kampeni za chini chini? SteveD nafikiri atakuwepo eapoti...steveD say some dude...

Mkuu, kinachokatazwa ni kufanya kampeni. Tulichokifanya sisi ni kujitambuisha tu kwa wananchi wa Kyela na tumepita kila kata. Kalengama
 
Mkuu, kinachokatazwa ni kufanya kampeni. Tulichokifanya sisi ni kujitambuisha tu kwa wananchi wa Kyela na tumepita kila kata. Kalengama
mbona yeye alikiri wazi kuwa hakuwepo kyela kwa ajili ya huo utambuzi(kampeni ya chini chini)......alafu mkulu wenu msanii sanii eeh? na yale aliosema kwenye gazeti la majira ina waje tena?
 
Subiri tu mara utasikia presha imepanda presha imeshuka

Chombo kipi cha habari tuweke wazi

Pressure ndani ya PIPA la QATAR haipandi wala kushuka. Marubani wake mahiri sana. Pipa linakula kwa sasa 1000km/hrs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…