Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
BWT: Haya meneno ya Kanda2 (quoted below) yanatoka wapi?.....i.e Mwakalinga, Mwanzilishi, Mdhamini, Mmiliki, IT expert wa JF ......and lots of bla blas yanatoka wapi sasa!
Kama Robot yupo sahihi (which I believe he is) we Kanda2 unaimong'onyoa sana credibility ya Mwakalinga coz unamsemea uwongo hapa....vinginevyo bishana na Robot!
Mbona hii habari inauchanganya sana.....mara oooh alienda Arusha kutalii mbugani....tena we unakuja na mambo ya kuona mjane Monduli.......?????? what a coincidence?
NL,
Sikutegemea utakuwa mtu wa kununua habari za Kanda2. Maelezo ya Kanda2 anayemaliza na Mwakalinga Oyeeeee!!!!! yanatosha kabisa kujua UPUPU ulioko ndani. Na bado mtu unasoma na kujichanganya humo?
Mbona mie nimeandika kuwa Mwakalinga ndiyo mie na sijakuchanganya?
Juu ya kwenda Monduli/Arusha. Je unafikiri Mwakalinga alipokuwa Arusha aliishia kutembelea mbuga za wanyama tu? Hakula, hakulala, hakununua ticket? Hakuongea na watu? Mbona hapa imeandikwa kuwa alienda hadi Karatu na hakuna mtu aliyelifuatilia hilo? Ila hilo haulioni?
Kama alikuwa na gari (siku hizi yakukodisha mengi tu) si angeliweza kwa siku moja kutembelea sehemu kibao? Kupitia kuiona familia, kwenda mbuga za wanyama, kwenda Karatu nk. What's the big deal.
Kwani wee unapokuwa kwenu kuwatembelea wazee huwa unaishia hapo tu? Si unaanza kupepesa macho vibinti vya majirani? Nasikia kamoja huwa ukifika tu, lazima ukatafute, si ukaowe tu?