Masa
Mwakalinga alisoma agricultural engineering..tafuta utaratibu wakati huo ilkuwaje,alimaliza UDSM na akaenda sokoine badaye akatimkia Poland
Yalijengwa Mwakyembe kwa kushirikiana na JWTZ(Gen. Mwamunyange)
Na ndio sababu ya Mwakipesile kususia kwenda kwenye ufunguzi wa madaraja hayo.
MWAKYEMBE KUCHINJA NG'OMBE KILA KATA.
Mbunge wa Kyela Harison Mwakyembe kwa kushirikiana na jamaa zake wenye ufinyu wa mawazo Ally Kinanasi(Shemeji wa wilaya) na Emmanuel Mwamulinge(Kinundu) watapita kila kata huku wakichinja ng'ombe na kula na wananchi kwa lengo la kuubadili upepo mkali unaomkabili
Habari zilizotapatikana sasa hivi hapa mjini kyela zinasema, upepo sio mzuri tena kwa mheshimiwa huyo baada ya kukimbiwa na madiwani na watendaji wa kata karibia wote wakimtuhumu kwa tabia yake ya kusabisha migongano ndani ya chama na wilaya nzima ya kyela na hivyo maendeleo ya wilaya ya kyela kuzidi kushuka.
Mwakyembe kwa kushirikiana na Ally Kinanasi na Emanuel kinundu,watakuwa wanapita kila kata na kuchinja ng'ombe na huku mwakyembe akisimikwa upya kama chief wa kinyakyusa kwa kisingizio cha kwamba watu wanampa pole na ajali
Habari zinasema mwakyembe ameona upepo sio mzuri kwake na ameona aitumie nafsi ya ajali aliyopata kama kisingizio cha kusafisha jina lake.
Wapambe wa mwakyembe wamekuwa wakikutana kila siku usiku na kukaa kwa muda mrefu huku wakijipanga jinsi ya kununua hizo ngo'mbe kila kata.
Katika mkutano mkuu wa Halmashauri ya ccm wilayani kyela uliofanyika mapema mwaka huu kujadili vurugu,zilizopelekea kupigwa kwa Katibu wa ccm wilaya, Mwakyembe aliambiwa wazi wazi na madiwani kuwa hawamtaki na kama kunauwezakano ajuzuru.Ni mbunge wa kwanza kuambiwa na madiwani kwa kipindi kidogo alichoongoza.
Mwakyembe ana jina kubwa sana kitaifa,lakini hapa wilayani kapoteza dira na mwelekeo.Kikubwa sana ni ile tabia yake ya dharau na kusababisha migongano mingi sana ndani ya jamii ya kyela.
Nadhani kabla ya kutoa jibu soma uelewe, nafahamu Ag Eng waanzia UD na mwaka wa tatu huamia SUA kwa miaka miwili. Sawa alimaliza miaka ile miwili UD na kuja SUA, je alimaliza SUA? ama alinyakwa ? Maana shule ya SUA miaka hiyo ilikuwa silele mama....nitajie mwaka aliograduate SUA, maana kumbu kumbu zipo, hii unaiita kutimkia Poland mimi naona imekaa kama alitimuliwa baada ya kufail na kuwahi Poland.
Mkuu yako wapi hayo saba?.
Mbona lile la ipyana haulisemi lilijenjwa na nani kwa sababu nalo ni la jeshi.
Kwanza inabidi ukumbuke kuwa safari hii kura za maoni zitapigwa na wanachama wote, sio kikundi kidogo cha watu kama zamani, ambacho wenye fedha waliweza kukitumia vizuri kutoa rushwa na hatimaye kushinda.
Mwakyembe hakuchaguliwa na madiwani bali wanancchi wa kyela kwahiyo madiwani hawana ubavu wa kumuamuru Mwakyembe ajiuzulu.
Mwisho wa yote baada ya shutuma, malalamiko, majungu, fitna na kila aina ya mbinu ya kumng'oa mjengoni bw.Mwakyembe, kama hatang'oka sitashangaa kusikia mmehamia kwa masangoma. Maana inaonekana mnajaribu kufanya kila lililo ndani ya uwezo wenu na hata kukodisha mamluki ili kuhakikisha Mwakyembe harudi mjengoni.
Hata huyo Mwakalinga akishinda ubunge mtamgeuka tena na kuanza kumshambulia baada ya muda mfupi tu, kwakuwa inaonekana watu wa kyela ndio zenu hizo.
MWAKYEMBE KUCHINJA NG'OMBE KILA KATA.
Mbunge wa Kyela Harison Mwakyembe kwa kushirikiana na jamaa zake wenye ufinyu wa mawazo Ally Kinanasi(Shemeji wa wilaya) na Emmanuel Mwamulinge(Kinundu) watapita kila kata huku wakichinja ng'ombe na kula na wananchi kwa lengo la kuubadili upepo mkali unaomkabili
Habari zilizotapatikana sasa hivi hapa mjini kyela zinasema, upepo sio mzuri tena kwa mheshimiwa huyo baada ya kukimbiwa na madiwani na watendaji wa kata karibia wote wakimtuhumu kwa tabia yake ya kusabisha migongano ndani ya chama na wilaya nzima ya kyela na hivyo maendeleo ya wilaya ya kyela kuzidi kushuka.
Mwakyembe kwa kushirikiana na Ally Kinanasi na Emanuel kinundu,watakuwa wanapita kila kata na kuchinja ng'ombe na huku mwakyembe akisimikwa upya kama chief wa kinyakyusa kwa kisingizio cha kwamba watu wanampa pole na ajali
Habari zinasema mwakyembe ameona upepo sio mzuri kwake na ameona aitumie nafsi ya ajali aliyopata kama kisingizio cha kusafisha jina lake.
Wapambe wa mwakyembe wamekuwa wakikutana kila siku usiku na kukaa kwa muda mrefu huku wakijipanga jinsi ya kununua hizo ngo'mbe kila kata.
Katika mkutano mkuu wa Halmashauri ya ccm wilayani kyela uliofanyika mapema mwaka huu kujadili vurugu,zilizopelekea kupigwa kwa Katibu wa ccm wilaya, Mwakyembe aliambiwa wazi wazi na madiwani kuwa hawamtaki na kama kunauwezakano ajuzuru.Ni mbunge wa kwanza kuambiwa na madiwani kwa kipindi kidogo alichoongoza.
Mwakyembe ana jina kubwa sana kitaifa,lakini hapa wilayani kapoteza dira na mwelekeo.Kikubwa sana ni ile tabia yake ya dharau na kusababisha migongano mingi sana ndani ya jamii ya kyela.
Samwel unayoongea sidhani kama yana ukweli wowote,kwa haraka haraka kati ya madiwani wote Kyela sidhani kuna anayempinga Mwakyembe ukiondoa tu diwani wa hapa Kyela mjini;asiyejua kusoma wala kuandika Mzee Makete na yule wa Katumba-songwe ambako ndiyo nyumbani kwa GAM ndiye wanaoleta matata kwa Mwakyembe!
Ni kweli Mwakyembe hapendwi na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya mzee Mwakasumi na mkuu wa Mkoa Mzee Mwakipesile lkn ana mtaji mkubwa sana wa wananchi walio nyuma yake,na itakuwa ndoto za abunawasi kwa Mwakalinga bila kuwa na strategies pana za kumuondoa Chief!
Ushauri wa Bure kwa Mwakalinga,afanye kampeni za kisasa,haya mambo ya kufuata mwongozo wa Mzee Mwakipesile na hata kuongozana na wapambe wa zamani wa Mwakipesile akina Andy Mwakang'ata na akina Biso hayawezi mfanya amuangushe Mwakyembe,na ataanguka vibaya mno asiporekebisha hali hii!
Mwakalinga kwa sasa anapaswa "awakamate wazee "kama akina Arthur Mwaitenda,Mzee Mwamunyange,General Mwamunyage,Shehe Mwafilango,Mzee Mwaikambo,Mzee Mwanjala,Mzee Ngalawa,askofu wa KKKT-Ipyana,Mzee Mwambogoja,Mzee Mwakalukwa,Mzee Mwakigonja na wazee wengine kote wilayani Kyela ambao wana nguvu sana kimaamuzi kwa vijana wao!
Halafu,Mwakalinga asipoteze muda kwenye kata na vijiji ambavyo hata afanye nini hawezi kumuangusha Mwakyembe,asiende kwenye kata ya Kajunjumele,kata ya Ngonga,vijiji vya Ikolo,kapwili,Ndandalo,na vijiji vya kando ya Matema,maana akienda huko ni kupoteza muda tu ambao anauhitaji kujiimarisha zaidi sehemu anayoungwa mkono au wanayochuana kwa karibu na Mwakyembe!
Na sidhani kama Mwakyembe atamkumbatia Kinanasi eti ndiye awe mpambe wake,kumbuka Samwel huyu Kinanasi hana mvuto wala nguvu ya yeyote kisiasa hapa Kyela,na elewa kuwa Mwakyembe ni hodari sana kwenye kupanga mashambulizi ya kushtukiza,au umesahahu mabomu aliyokuwa anamchapa nayo Mzee Mwakipesile mwaka 2005?
Mwita,Hao madiwani walichaguliwa nanani?
Madiwani si ndiyo wenye watu au unafikiri wao wanateuliwa.
Mheshiwa amebaki na Kisungujila tu.
Mkuu Malafyale,
Kuna hawa madiwani wote hawamtaki huyu mheshimiwa
1.Diwani wa Ipinda, mh Bwana Chris
2.Diwani wa Kajunjumbel Mh Kwa Mjuni
3.Diwani wa Ktumba songwe
4.Diwani wa Lusungo Mh Mwaipaja
5.Diwani wa mjini-Mh maheng
6.Diwani wa Mwakibing- Ikama.
7.Diwani wa Ipande
wote hawamtaki.
Kuna wale viti maalum
1.Mh Mama mwakalukwa
2.Mh Zuhura
3.Mh mama Ipopo
4.Mh mama mapunda
5.Mh mama kanyanyila
Hizo ndizo dataz bwana malafyale.
Sisi tupo kinya tukisikilizia.Hiyo kinanasi ndiye anayemtumia sana.Ata mheshimiwa alipopta ajali yeye ndiye alikuwa getiman
Mwakalinga kafulia, inakuaje anajiunga na mafisadi? Tatizo la siasa za kudandia gari kwa mbele bila kuuliza wenyeji. Mwakipesile kapoteza kabisa kukubalika kyela,yeye anaungana nae.
Ataaibika vibaya sana kama ataendelea na tactics zake za ukibaraka. Kama hajui amuulize yaliyomkuta Thom Apson mwang'onda alipogombea uNEC pale Mbeya na Mwandosya akiwa amepandikizwa na wana mtandao.
Kilichotokea ni kwamba watu walikuwa wanampa consideration ya ubunge mbeya mjini lakini after tha incidence watu hawataki hata kumsikia.
Mkuu Malafyale,
Kuna hawa madiwani wote hawamtaki huyu mheshimiwa
1.Diwani wa Ipinda, mh Bwana Chris
2.Diwani wa Kajunjumbel Mh Kwa Mjuni
3.Diwani wa Ktumba songwe
4.Diwani wa Lusungo Mh Mwaipaja
5.Diwani wa mjini-Mh maheng
6.Diwani wa Mwakibing- Ikama.
7.Diwani wa Ipande
wote hawamtaki.
Kuna wale viti maalum
1.Mh Mama mwakalukwa
2.Mh Zuhura
3.Mh mama Ipopo
4.Mh mama mapunda
5.Mh mama kanyanyila
Hizo ndizo dataz bwana malafyale.
Sisi tupo kinya tukisikilizia.Hiyo kinanasi ndiye anayemtumia sana.Ata mheshimiwa alipopta ajali yeye ndiye alikuwa getiman
Huyu ni mhadisi Kilimo....amegeuka kuwa wa IT baada ya kwenda Poland? Degree BSc Agr Eng vipi wapiga debe?
Masa,
Unaweza kupiga simu au kuandika email kwenye chuo chake na watakuambia alimaliza nini: http://www.pwr.wroc.pl/en_main.xml
Wakuu,
Mimi ndio nimerejea leo kwenye makazi yangu baada ya kuwa kwenye safari nikiongozana na ndugu George Mwakalinga ambaye alienda kujitambulisha kule Kyela na kutangaza nia yake ya kuwania ubunge mwakani.