Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Masanilo;

Naomba nikwambie kuwa Mwakalinga hajanituma nimsemee, Kwanza kumsapoti kwangu ni sawa na wewe unavyomsapoti/kumchukia OBAMA au MUGABE. It is for politics only.

Kama una nia nzuri ungetoa ushauri muafaka. Mimi ninamharibia vipi Mwakalinga?, wewe unanifahamu kweli?

Umesema HUMFAGILII halafu unaji contradict na kuwa akiachana na EL na RA utamsupport...wewe ndo ulimpeleka kwa RA na EL?

Yaani mtu mzima unashindwa hata kuchambua ukweli na uwongo kwenye internet halafu unajifanya utam support!!. Hufai hata kwa support ya mawazo!. Wewe ni opportunist tu kama hao wazee wa Kyela, unachotaka ni kuganga njaa yako tu. PERIOD


Mnataka muwe mnasifiwa tu? Hiyo ndiyo siasa,kambi ya mwakalinga acheni hasira.
 
mi nadhani hapa tatizo sio Mwakyembe kupata mpinzani, tatizo ni nature ya mpinzani, kama ni kweli Mwakalinga katumwa na RA at el bac hapa tutakuwa hatuna budi kumuurumia bwana Mwakyembe, kwa maana hata kama wananchi wanamtaka tatizo lipo ndani ya CCM katika kula za maoni
 
Kamanda unamatatizo ya akili am so soooorry! sihitaji kukujua mazee, najua ni laptop uwezo wa kufikiri wewe huna unataka kuweka ligi uporomoshe matusi. Sihitaji chochote kwenu hapa JF tunashindana kwa hoja, wewe na timu yenu hamjajibu hoja sasa mmekuja ooohh nakujua wewe mzee bla bla bla period....


Kweli sijakutukana mkuu nimesema hufai hata kwa support ya mawazo. Sio tusi. Pia mimi sipo "kambi" ya Mwakalinga. Nimekuelezea ni politics tu, mie ninamuona anafaa kuliko Mwakyembe baadhi ya sababu mmeshapewa huko nyuma.

Turudi kwenye mada bila kuitana fisadi wakati ushahidi huna. Elimu mmejibiwa, kuhusika kwake na EL na RA mmejibiwa na kupewa timing and geographical differences za walipokuwa EL na Mwakalinga.

Mnataka mjibiwe nini tena wakuu?
 
Sijui ni kwanini inakuwa ngumu hivi kujifunza.........

Mtanzania,

Inajua mara nyingi unajichanganya sana. Lakini siyo mbaya,unaweza kuwa mpambe wa mgombea. Mwakalinga ana haki ya kikatiba ya kugombea,ila alete hoja ya maendeleo otherwise wana kyela watamuaibisha.

Hatimaye Mtanzania akiri kuwa ndiye George Mwakalinga


Jamaa tangu aje kaandika habari tatu tu. Moja naona imefutwa au alirudia.

https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=1498837

Hawa ndiyo watu wa Msomi. Hawajui hata kudanganya. Eti kaja leo tu na kuanza kubwabwaja. Mhhh, ile kambi ya pili kwa kweli wanaweweseka sana. Wee ndugu yake Msomi, kama mnataka mshinde, fanyeni kazi sana kwa Wanakyela. Kuja hapa na kubadili majina na kuandika propaganda, hamtafika mbali. Tumewaambia tangu zamani ila nyie kila kukicha mnachojua ni kumshambulia Mwakalinga. Yatakushindeni.

Mwaihojo
user_offline.gif

Mwaihojo has no status.
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Wed Aug 2009
Posts: 4
Thanks: 4
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
 
Duu,
Kweli wabeba Mabox ni kiboko. Wamechonga hapa utafikiri wanamfahamu George Mwakalinga. Wengine hadi wakatuletea George Mwakalinga aliyeowa Mzungu na anaishi USA. Huyu tunaambiwa alipata makaratasi Sweden. Sisi twaongelea mtu anayeishi UK.

Huyu Mwakalinga wa USA, pia ni member hapa. Amekuwa anakuja kila siku kuchungulia hapa na anatoka kimya kimya. Sintashangaa kuwa huyo jamaa ndiyo Mponjoli. Masikini ya Mungu wee.... Wee George Mwakalinga, muone na kikofia chake utafikiri alinunua kwa kuinama pale Manzese. Tumeshakufahamu mkuu, na tutakula na wewe sahani moja. Naomba mlioko USA, mtuletee zaidi data za huyu George Mwakalinga ili hawa watu wasio na AIBU na kushinda siku nzima wanachafua wenzao bila aibu na wao TUWAANIKE. Wao watasema UONGO, ila sisi tutasema UKWELI. Mwisho wa siku ukweli ukijulikana, mtu atakuwa kalala chali kama Mende.
 
Sikonge

Ndugu yangu acha munkari, sasa tutoke nje ya mada usije sema oooh Masa hakuniambia....umeona nafasi za kazi majuu Kamanda FMES ameweka tangazo unatakiwa utangulize dolla 300 za kimarekani (maana wewe ungewezatuma za Mugabe) hahahahaha upate kazi na ticketi ya ndege

Kama hujaliona ndugu yangu nakupa link

https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogomadogo/35559-tangazo-maalum-mradi-wa-kazi-majuu.html

Nimeziona tangu jana. Ila hizi kazi za ULIPE kwanza ndiyo form zako zichukuliwe, INALETA UTATA. Inakuwa kama unaomba VIZA ya USA. Ukipata bahati yako, ukikosa, dola zimeenda.

Nimeshasikia kesi nyingi sana za watu kutapeliwa au watoto wa kike kwenda nchi za Ulaya na kutumikishwa kwenye madangulo. Na huko hudungwa madawa ya kulevya na ku-badilwa mashinuno hata na wanaume sita kwa siku. Jamaa yangu mmoja alitaka kupeleka mtoto wake wa kike kichwa kichwa. Ukimuuliza anasema "itajijua hukohuko". Ikabidi niwaambie jinsi watoto wa kike wanavyoishia hasa pale wanapokwenda sehemu kwa gia ya "itajijua". Binti hadi leo mzima kabisa na yupo Dar na zaidi mwaka huu kimenunua hadi gari.
Sijui ukweli na uongo wa hiyo kampuni. Ila inabidi WATU WAHAKIKISHE na ikibidi wapate habari za uhakika kutoka UBALOZI wa nchi watakazokwenda na wizara ya mambo ya ndani ya nchi husika.
 
Nimeziona tangu jana. Ila hizi kazi za ULIPE kwanza ndiyo form zako zichukuliwe, INALETA UTATA. Inakuwa kama unaomba VIZA ya USA. Ukipata bahati yako, ukikosa, dola zimeenda

FMES atarudishia pesa yake kila atakayetapeliwa this is hilarious, Long Live FMES! Uchumi wa dunia umekuwa mgumu kila sehemu ndo maana matapeli wamebuni njia mbadala kulaghai hata kile kidogo tulicho nacho wakichukue. Usijaribu vitu vya namna hii utajuta mbeleni!

Back to Mbunge Mtarajiwa! Sera zake nini zaidi huyu Mtanzania zaidi ya usanii, haoni jamani Dr Mwakyembe (PhD) alilofanyia taifa? Mwakalinga aendelee kusaidia wanaKyela kwa vitega uchumi vyake maisha yaende. Yeye anasukumwa na watu walio nyuma yake asimame mwenyewe ataeleweka....jana hakunijibu zaidi ya bla bla bla za kisiasa na kuanza kuchukia na name calling ikaanza kutoka kwa mwenyewe na wapambe wake!

Shime wanakyela hatutaki ahadi za uwongo na kampeni chafu za kifisadi, Maendeleo kwanza maandamano baadaye....slogan imetulia hii

Masa
 
Samwel unayoongea sidhani kama yana ukweli wowote,kwa haraka haraka kati ya madiwani wote Kyela sidhani kuna anayempinga Mwakyembe ukiondoa tu diwani wa hapa Kyela mjini;asiyejua kusoma wala kuandika Mzee Makete na yule wa Katumba-songwe ambako ndiyo nyumbani kwa GAM ndiye wanaoleta matata kwa Mwakyembe!

Ni kweli Mwakyembe hapendwi na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya mzee Mwakasumi na mkuu wa Mkoa Mzee Mwakipesile lkn ana mtaji mkubwa sana wa wananchi walio nyuma yake,na itakuwa ndoto za abunawasi kwa Mwakalinga bila kuwa na strategies pana za kumuondoa Chief!

Ushauri wa Bure kwa Mwakalinga,afanye kampeni za kisasa,haya mambo ya kufuata mwongozo wa Mzee Mwakipesile na hata kuongozana na wapambe wa zamani wa Mwakipesile akina Andy Mwakang'ata na akina Biso hayawezi mfanya amuangushe Mwakyembe,na ataanguka vibaya mno asiporekebisha hali hii!

Mwakalinga kwa sasa anapaswa "awakamate wazee "kama akina Arthur Mwaitenda,Mzee Mwamunyange,General Mwamunyage,Shehe Mwafilango,Mzee Mwaikambo,Mzee Mwanjala,Mzee Ngalawa,askofu wa KKKT-Ipyana,Mzee Mwambogoja,Mzee Mwakalukwa,Mzee Mwakigonja na wazee wengine kote wilayani Kyela ambao wana nguvu sana kimaamuzi kwa vijana wao!

Halafu,Mwakalinga asipoteze muda kwenye kata na vijiji ambavyo hata afanye nini hawezi kumuangusha Mwakyembe,asiende kwenye kata ya Kajunjumele,kata ya Ngonga,vijiji vya Ikolo,kapwili,Ndandalo,na vijiji vya kando ya Matema,maana akienda huko ni kupoteza muda tu ambao anauhitaji kujiimarisha zaidi sehemu anayoungwa mkono au wanayochuana kwa karibu na Mwakyembe!

Na sidhani kama Mwakyembe atamkumbatia Kinanasi eti ndiye awe mpambe wake,kumbuka Samwel huyu Kinanasi hana mvuto wala nguvu ya yeyote kisiasa hapa Kyela,na elewa kuwa Mwakyembe ni hodari sana kwenye kupanga mashambulizi ya kushtukiza,au umesahahu mabomu aliyokuwa anamchapa nayo Mzee Mwakipesile mwaka 2005?
Mkuu Malafyale,
Kweli nimeamini ni mtupu wa siasa za Kyela; huyo Mwenyekiti Mwakasumi ni mtu wa Mwakyembe na mpaka kapewa na pikipiki.

Kwa taarifa yako kati ya madiwani 21 ni wanne tu wanaomuunga mkono.

Kajunjumele kwa askari Majuni ambaye hata salaam tu hawapeani?

Matema kwa mam Mwampiki ambaye alidanganya kamwachia pesa za ujenzi kumbe uwongo?

Hata Ngonga kwenyewe tambarare tu.
 
Mkuu Malafyale,
Kweli nimeamini ni mtupu wa siasa za Kyela; huyo Mwenyekiti Mwakasumi ni mtu wa Mwakyembe na mpaka kapewa na pikipiki.

Kwa taarifa yako kati ya madiwani 21 ni wanne tu wanaomuunga mkono.

Kajunjumele kwa askari Majuni ambaye hata salaam tu hawapeani?

Matema kwa mam Mwampiki ambaye alidanganya kamwachia pesa za ujenzi kumbe uwongo?

Hata Ngonga kwenyewe tambarare tu.


Mwakalinga!

Basi hakuna sababu ya uchaguzi kufanyika wewe umeisha kuwa Mbunge! Hongera sana sasa anza kutekeleza ahadi zako ...Laputopu, madaraja, open university all sorts of ahadi.

Masa
 
Mwakalinga!

Basi hakuna sababu ya uchanguzi kufanyika wewe umeisha kuwa Mbunge! Hongera sana sasa anza kutekeleza ahadi zako ...Laputopu, madaraja, open university all sorts of ahadi.

Masa

Sasa Masa vipi tena?

Yaani unataka tuondoe Dictator na tulete Dictator mwingine? Huyu naye aje na ikipita miaka 10, ntakuwa wa kwanza KUMPINGA na yeye aachie wengine. Kama akiwa kwa miaka 10 na kujenga misingi mizuri ya maendeleo basi inatosha sana. Kama umeshaotesha mizizi, ni kuwa bila kujali atakayekuja, jamaa wataendelea KUKUA wenyewe.
Hata kama itakuwa KIVULI, lazima achaguliwe.

Ila ningelitamani sana tuwe na RAIS kama PUTIN hata kama hachaguliwi. So longer that maisha ya watu na huduma zao zianze kuwa NZURI. Haya ya uchaguzi huwa ni kama kibali cha ACHA NIIBE na sanasana miaka 5 ikipita basi hawatanichagua.
 
Turudi kwenye mada bila kuitana fisadi wakati ushahidi huna. Elimu mmejibiwa, kuhusika kwake na EL na RA mmejibiwa na kupewa timing and geographical differences za walipokuwa EL na Mwakalinga.

Mnataka mjibiwe nini tena wakuu?

suala la elimu hatujajibiwa, kwani hatujaambiwa aligraduate lini SUA, na hatujaelezwa kwanini kwenye CV yake hazungumzii shahada yake ya uhandisi kilimo.

mkiweka sawa hilo tutaendelea vizuri na mjadala bila kuupotosha.
 
suala la elimu hatujajibiwa, kwani hatujaambiwa aligraduate lini SUA, na hatujaelezwa kwanini kwenye CV yake hazungumzii shahada yake ya uhandisi kilimo.

mkiweka sawa hilo tutaendelea vizuri na mjadala bila kuupotosha.


Asante sana ! wanaruka ruka tu hawa....
 
suala la elimu hatujajibiwa, kwani hatujaambiwa aligraduate lini SUA, na hatujaelezwa kwanini kwenye CV yake hazungumzii shahada yake ya uhandisi kilimo.

mkiweka sawa hilo tutaendelea vizuri na mjadala bila kuupotosha.


Ukinionyesha wapi pameandikwa kuwa huyu bwana ali graduate SUA Agricultural Engineering nitakujibu swali lako.

Uliza kitu sahihi mkuu wangu
 
Mtanzania upo? Pole kaka kwa yanayoendelea kukusibu. Usidhani umepata umaarufu kwa kupitia mgongo wa mwakyembe ila umechafuliwa kwa kundi ulilochagua.
 
Ukinionyesha wapi pameandikwa kuwa huyu bwana ali graduate SUA Agrucultural Engineering nitakujibu swali lako.
Uliza kitu sahihi mkuu wangu

Nyie wapambe tuambieni kitu gani kilitokea SUA kwenye shule alokuwa anapiga Mh Mwakalinga pale Agriculture Engineering enzi za Dr Hatibu na Prof Dihenga?
 
Back
Top Bottom