Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Huu ujumbe umeandikwa na :-
LazarusMtindi, Shalom, Malafyake, Nsensi, Mwaihojo, Mwafrika, Jile79, Mponjoli, Omega PS Phi na Kalengamab. Mwandishi ni mie Mtani wao Ngosha wa Sikonge. (Hii ni tume ya kufahamu CV ya Mwakalinga).

Nimeingiaje hapa?
 
Ilikuwa course moja ya Agricultural Engineering miaka miwili UDSM na miaka miwili SUA.
Niliuliza kwanini hakumaliza hapo SUA?

Hata kama ange disco yeye atakuwa sio wa kwanza wala sio wa mwisho ila mimi sijui.

100% Agreed but lazima tujue ukweli ni upi?

Hivi kwa CV kama hiyo huyo ni mtu wa ku disco kweli? Labda kama alizembea tu shule.

He!he!he!he Mkuu huna experience na elimu ya bongo nini? elimu ya bongo wakati mwingine ni ya kukomoana vile wakati mwingine vitendea kazi (mazingira) ya mwanafunzi yanaweza mfanya akadisco vibaya mno....nina mifano hai hapa!

So si ajabu mtu akafeli bongo akienda majuu kafanya wonders mkuu...it has happened before mkuu!
 
Jamani ngoja niwakimbie kidogo. Mnajua tena weekend na leo mama yenu wanzuki imeiva kwa hiyo inabidi nikamsaidia kusimamia wasije wakamzidi speed au WAKANIZIDI SPEED maana mama ni mama kweli, akipita mtaani watu "shingo feni, macho balbu". Haya msicheke sana maana hayo maneno ni zilipenda.

Hii ina maana WEEKEND HIYOOO inaanza na dagaa wa MWAIPOJO.

Mtanzania kesho basi au kesho kutwa. Ila iwe jioni maana naenda kulala almost asubuhi. Ntakuwa na yule Muha wa Ulaya mliyekuwa naye huko Lucent maana kaja huku Sikonge kusalimia wakwe zake.
 
Niliuliza kwanini hakumaliza hapo SUA?

100% Agreed but lazima tujue ukweli ni upi?

He!he!he!he Mkuu huna experience na elimu ya bongo nini? elimu ya bongo wakati mwingine ni ya kukomoana vile wakati mwingine vitendea kazi (mazingira) ya mwanafunzi yanaweza mfanya akadisco vibaya mno....nina mifano hai hapa!

So si ajabu mtu akafeli bongo akienda majuu kafanya wonders mkuu...it has happened before mkuu!

Hilo swala tumeshasema. Soma page mbili au tatu za nyuma. Hatuwezi kuliongelea hapa maana itakuwa kama vile tunataka HURUMA kwa watu. Ukitaka jibu basi nenda SUA. Mtafute Masanilo muungano kupata jibu. Ukishapata leta hapa na uandike ila ninavyokufahamuni, mtauchuna ili msipandishie jamaa chart. Tafuta tafuta kijana, utapata jibu.

Ila mwataka KUJUA wewe na nani? Mie mwenzio nafahamu siku nyingi, heheeeeeeee... Nafahamu hata ka-Inzi hakajasikia juu ya Mwakalinga. Ukitaka jibu ya hilo swali, NITUMIE $300/- na ntakutumia jibu na password ili uone. Ukisoma tu, ninaamni utainamisha kichwa chako na kuona haya mbele ya "Wacongo".

Huu ujumbe umeandikwa na :-
Mwita Maranya, Semilong, LazarusMtindi, Shalom, Malafyake, Nsensi, Mwaihojo, Mwafrika, Jile79, Mponjoli,Jekyll+Hyde, Omega PS Phi na Kalengamab. Mwandishi ni mie Mtani wao Ngosha wa Sikonge. (Hii ni tume ya kufahamu CV ya Mwakalinga).
.
 
Umeshai QUOTE hata nikirekebisha haina maana tena. Asante kwa hilo

Ila niliuliza swali tu mzee, nahisi Mkapa alisema hivyo![/QUOTE]

Mkapa yeye alisema Watanzania ni "WAVIVU WA KUFIKIRI"...Kama sikosei aliyesema kuhusu "WIVU WA KIKE" ni Pius Msekwa alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya VodaCom Tanzania(akiwa Spika wa Bunge la JMT)na watu kuhoji uteuzi huo
 
Last edited:
6. Wroclaw Technical university 1991 mpaka 1997 for M.Sc (Computer Science na kupata first class with distinction degree.
7. 1997 alipewa full scholarship ya Ph.D hapo hapo chuoni ikiwa ni kawaida kwa wanafunzi waliokuwa wanapata distinctions kwenye masomo yao.
8. 1997 kabla tu ya kumaliza shule alipata kazi kama telecom Engineer kwenye kampuni ya Wamarekani ya Lucent Technologies.

9. 1999 Akahamishiwa Lucent Technology UK, akaamua kuacha masomo ya Ph.D na kuendelea na kazi yake nchini UK.

10. 2006 Akahamia Huawei Technologies kampuni ya Wachina kama mshauri mwandamizi wa mambo ya ufundi wa British Telecom (BT) akiwakilisha Huawei Technologies.
11. 2006 akapata Post graduate diploma in Business administration kutoka Open University (OU)
12. 2008 akafanikiwa kutunikiwa MBA kwenye Technology Management kutoka Open University (OU).

13. Pia ana professional certificates mbalimbali za Cisco na Microsoft.
kumbe kijamaa ki inshomile kwanini anajiingiza kwenye siasa? hawa ndio wanatafutaha kurogwa bure....sasa ona na bado utasikia ajali zaanza kumwandama.....
 
Hilo swala tumeshasema. Soma page mbili au tatu za nyuma. Hatuwezi kuliongelea hapa maana itakuwa kama vile tunataka HURUMA kwa watu. Ukitaka jibu basi nenda SUA. Mtafute Masanilo muungano kupata jibu. Ukishapata leta hapa na uandike ila ninavyokufahamuni, mtauchuna ili msipandishie jamaa chart. Tafuta tafuta kijana, utapata jibu.

Ila mwataka KUJUA wewe na nani? Mie mwenzio nafahamu siku nyingi, heheeeeeeee... Nafahamu hata ka-Inzi hakajasikia juu ya Mwakalinga. Ukitaka jibu ya hilo swali, NITUMIE $300/- na ntakutumia jibu na password ili uone. Ukisoma tu, ninaamni utainamisha kichwa chako na kuona haya mbele ya "Wacongo".

WEEK END OYEEEEEE, HURRAAAAAAA!!!!!!!!!! IJUMAA NJEMA WOTE, Kesho.

Sikonge, kwikwi!kwi!kwi!

Unampango wa kuanzisha ze comedy yako?au mambo ya weekend mkuu?
 
kumbe kijamaa ki inshomile kwanini anajiingiza kwenye siasa? hawa ndio wanatafutaha kurogwa bure....sasa ona na bado utasikia ajali zaanza kumwandama.....

Unajua nini wewe kuhusu elimu...
 
Unajua nini wewe kuhusu elimu...
hatuwezi kukaa pamoja......mawazo yatapishana.....unawaza mambo madogo sana.....anyway.....mwakalinga ana mimastazi tena ya majuu why nae haridhiki anataka kwenda mjengoni?
na majuu hamna juju.....lazima apigwe juju tu akija mwakani kwenye uchaguzi.....ajaali aaajali
 
Huna akili...watu wenye akili hawaamini mambo ya ndumba nangai. Mwambie bibi yako anijaribu aone...
 
Kama hujaona mkuu, huu mjadala unaendelea kama kawaida bila tatizo lolote. Sijaona mtu yeyote aliyezuiwa kuleta maneno ya DK hapa jamvini. Au wewe umeona tofauti.

Mimi bado naamini kuwa ushirikiano wa Mwakalinga na mafisadi (nawataja tena kina Lowasa, ROstam, RIdhiwani na Mwakipesile) unamfanya yeye awe pia fisadi. Sidhani kama una tatizo la mimi kutoa maoni yangu hapa.

Kazi kweli kweli, hata wewe mkuu unakuja na tuhuma zote hizo bila hata roho yako kukusuta kwamba ushahidi uko wapi?

Kutumia username tofauti hakuondoi kwamba wewe ni yule yule wa siku zote ambaye ulitakiwa uwe fair kwenye maandishi yako.

Wana Kyela ndio waamuzi na mwaka 2010 mtapata jibu lao.
 
Dawa ni kukaa kimya na kujipanga kusubiri hiyo 2010...Tatizo George kaanza mapema sana na kaingia kwa spidi kali mno,awe tayari kukabiliana na yote yatakayoongewa juu yake(zikiwemo hizi tuhuma za kwamba katumwa na mafisadi),,,,,,,
 
Shule ya SUA si mchezo kumbe watu wanasingizia FAMILY problems nondo zinaposhindwa kupanda! Ukifail SUA wewe wahi Poland ukamake wonders! Hili ni zao la UFISADI dalili zote zipo wazi kabisa....
 
Shule ya SUA si mchezo kumbe watu wanasingizia FAMILY problems nondo zinaposhindwa kupanda! Ukifail SUA wewe wahi Poland ukamake wonders!

Hii mijitu iliyosoma kwenye nchi za kikomunisti ni mitupu sana. Utakuta jitu limesoma masters na phd Bulgaria au Yugoslavia lakini linajiona li intellectual flani...aaah yanaboa sana haya majitu
 
Hii mijitu iliyosoma kwenye nchi za kikomunisti ni mitupu sana. Utakuta jitu limesoma masters na phd Bulgaria au Yugoslavia lakini linajiona li intellectual flani...aaah yanaboa sana haya majitu
kwa mara ya kwanza umenena pwenti.....ukute jamaa limetoka kasamwa karudia la 7 mara 3 kafaulu kaenda sengerema kisha Tosamaganga......BA,MA na PhD zoote USSR huyo kakata aka 8 anarudi home umkute wizarani weeee utamkoma....

this mwakalinga bana ni kasoma lakini bado tu anaonahajatambulika......baridi la Warsaw anataka alipizie kyela.....anasema alipeleka walimu sijui kyela wanasiasa bana...kesho nakuambia utamsikia anasema ameisaidia sana kyela kuipigia debe JF.....
 
Back
Top Bottom