Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Huu ujumbe umeandikwa na :-
LazarusMtindi, Shalom, Malafyake, Nsensi, Mwaihojo, Mwafrika, Jile79, Mponjoli, Omega PS Phi na Kalengamab. Mwandishi ni mie Mtani wao Ngosha wa Sikonge. (Hii ni tume ya kufahamu CV ya Mwakalinga).


Nimeingiaje hapa?
 
 
Jamani ngoja niwakimbie kidogo. Mnajua tena weekend na leo mama yenu wanzuki imeiva kwa hiyo inabidi nikamsaidia kusimamia wasije wakamzidi speed au WAKANIZIDI SPEED maana mama ni mama kweli, akipita mtaani watu "shingo feni, macho balbu". Haya msicheke sana maana hayo maneno ni zilipenda.

Hii ina maana WEEKEND HIYOOO inaanza na dagaa wa MWAIPOJO.


Mtanzania kesho basi au kesho kutwa. Ila iwe jioni maana naenda kulala almost asubuhi. Ntakuwa na yule Muha wa Ulaya mliyekuwa naye huko Lucent maana kaja huku Sikonge kusalimia wakwe zake.
 
 
 
Last edited:
kumbe kijamaa ki inshomile kwanini anajiingiza kwenye siasa? hawa ndio wanatafutaha kurogwa bure....sasa ona na bado utasikia ajali zaanza kumwandama.....
 
 
kumbe kijamaa ki inshomile kwanini anajiingiza kwenye siasa? hawa ndio wanatafutaha kurogwa bure....sasa ona na bado utasikia ajali zaanza kumwandama.....

Unajua nini wewe kuhusu elimu...
 
Unajua nini wewe kuhusu elimu...
hatuwezi kukaa pamoja......mawazo yatapishana.....unawaza mambo madogo sana.....anyway.....mwakalinga ana mimastazi tena ya majuu why nae haridhiki anataka kwenda mjengoni?
na majuu hamna juju.....lazima apigwe juju tu akija mwakani kwenye uchaguzi.....ajaali aaajali
 

Huna akili...watu wenye akili hawaamini mambo ya ndumba nangai. Mwambie bibi yako anijaribu aone...
 

Kazi kweli kweli, hata wewe mkuu unakuja na tuhuma zote hizo bila hata roho yako kukusuta kwamba ushahidi uko wapi?

Kutumia username tofauti hakuondoi kwamba wewe ni yule yule wa siku zote ambaye ulitakiwa uwe fair kwenye maandishi yako.

Wana Kyela ndio waamuzi na mwaka 2010 mtapata jibu lao.
 
Dawa ni kukaa kimya na kujipanga kusubiri hiyo 2010...Tatizo George kaanza mapema sana na kaingia kwa spidi kali mno,awe tayari kukabiliana na yote yatakayoongewa juu yake(zikiwemo hizi tuhuma za kwamba katumwa na mafisadi),,,,,,,
 
Shule ya SUA si mchezo kumbe watu wanasingizia FAMILY problems nondo zinaposhindwa kupanda! Ukifail SUA wewe wahi Poland ukamake wonders! Hili ni zao la UFISADI dalili zote zipo wazi kabisa....
 
Shule ya SUA si mchezo kumbe watu wanasingizia FAMILY problems nondo zinaposhindwa kupanda! Ukifail SUA wewe wahi Poland ukamake wonders!

Hii mijitu iliyosoma kwenye nchi za kikomunisti ni mitupu sana. Utakuta jitu limesoma masters na phd Bulgaria au Yugoslavia lakini linajiona li intellectual flani...aaah yanaboa sana haya majitu
 
Hii mijitu iliyosoma kwenye nchi za kikomunisti ni mitupu sana. Utakuta jitu limesoma masters na phd Bulgaria au Yugoslavia lakini linajiona li intellectual flani...aaah yanaboa sana haya majitu
kwa mara ya kwanza umenena pwenti.....ukute jamaa limetoka kasamwa karudia la 7 mara 3 kafaulu kaenda sengerema kisha Tosamaganga......BA,MA na PhD zoote USSR huyo kakata aka 8 anarudi home umkute wizarani weeee utamkoma....

this mwakalinga bana ni kasoma lakini bado tu anaonahajatambulika......baridi la Warsaw anataka alipizie kyela.....anasema alipeleka walimu sijui kyela wanasiasa bana...kesho nakuambia utamsikia anasema ameisaidia sana kyela kuipigia debe JF.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…