I am smelling a rat here. Kama mgombea mtarajiwa kwa kauli hii unaharibu. Wanaosema Kyela mna siasa za chuki hawajakosea hata kidogo.Mwawado,
Mkuu umenena yote hapo juu. Tunasubiri wakati ufike na kama mungu atatupa uhai basi kazi ianze ki kweli kweli.
Binafsi naona hii thread imekuwa na manufaa makubwa, strategy ya mashambulizi iko wazi, sasa ni kuandaa majibu!
Cpt Hadock,I am smelling a rat here. Kama mgombea mtarajiwa kwa kauli hii unaharibu. Wanaosema Kyela mna siasa za chuki hawajakosea hata kidogo.
Dr. Mwakyembe ni professor na rafiki yangu, na nina uhakika kwamba atashinda kura za maoni jimboni kwake na kuwakilisha constituency yake bungeni kwa term nyingine ... Competency v. "UK & Hotel" - wapi na wapi!
Sungi
Dr. Mwakyembe ni professor na rafiki yangu, na nina uhakika kwamba atashinda kura za maoni jimboni kwake na kuwakilisha constituency yake bungeni kwa term nyingine ... Competency v. "UK & Hotel" - wapi na wapi!
Sungi
I am smelling a rat here. Kama mgombea mtarajiwa kwa kauli hii unaharibu. Wanaosema Kyela mna siasa za chuki hawajakosea hata kidogo.
Port huyu atakuharibia kabisa kampeni yako afadhali hata childish sikonge!
Hiyo laptop dell refurbished inakufanya uchanganyikiwe? Nitakupatia LENOVO Thinkpad W seriesMkuu,
Naona hizo nyota za U-kapitani ulizipata baada ya kupandishwa cheo.
Heri ungelibaki kuwa Korokoro, tungeelewa kuwa uelewa wako uko chini.
Mwakalinga,Cpt Hadock,
Hapo nimeharibu nini? Strategy yao ya mashambulizi ni kwamba Mwakalinga ni fisadi, ametumwa na mafisadi nk. Sasa unataka asiandae majibu? Hiyo statement ina chuki gani? Naona labda wewe ndio umeipeleka kusiko kwenyewe kwa kuwa umeisoma haraka haraka au tayari kichwani ulishajenga opinion ya aina fulani.