Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Kyela 2010: Mwakyembe Vs Mwakalinga kupitia CCM

Mwawado,

Mkuu umenena yote hapo juu. Tunasubiri wakati ufike na kama mungu atatupa uhai basi kazi ianze ki kweli kweli.

Binafsi naona hii thread imekuwa na manufaa makubwa, strategy ya mashambulizi iko wazi, sasa ni kuandaa majibu!
I am smelling a rat here. Kama mgombea mtarajiwa kwa kauli hii unaharibu. Wanaosema Kyela mna siasa za chuki hawajakosea hata kidogo.
 
I am smelling a rat here. Kama mgombea mtarajiwa kwa kauli hii unaharibu. Wanaosema Kyela mna siasa za chuki hawajakosea hata kidogo.
Cpt Hadock,

Hapo nimeharibu nini? Strategy yao ya mashambulizi ni kwamba Mwakalinga ni fisadi, ametumwa na mafisadi nk. Sasa unataka asiandae majibu? Hiyo statement ina chuki gani? Naona labda wewe ndio umeipeleka kusiko kwenyewe kwa kuwa umeisoma haraka haraka au tayari kichwani ulishajenga opinion ya aina fulani.
 
Dr. Mwakyembe ni professor na rafiki yangu, na nina uhakika kwamba atashinda kura za maoni jimboni kwake na kuwakilisha constituency yake bungeni kwa term nyingine ... Competency v. "UK & Hotel" - wapi na wapi!

Sungi
 
Sungi, weee kweli ni Sungi.

Dr. Mwakyembe ni Dr. au Professor? Au kwako wewe hivyo vyote ni sawa.

Nadhani hata urafiki wenu ni wa wewe kujipendekeza kwake.

Kama unauhakika atashinda, wasiwasi wa nini? Mweeeeee!!!!!!!!!
 
Dr. Mwakyembe ni professor na rafiki yangu, na nina uhakika kwamba atashinda kura za maoni jimboni kwake na kuwakilisha constituency yake bungeni kwa term nyingine ... Competency v. "UK & Hotel" - wapi na wapi!

Sungi

Hiyo hapo niliyoitilia nyeusi sijakuelewa.Nimejaribu kufikiri wenda bongo kila mkufunzi ni profesa ,labda wenda alijiita profesa alipokuwa anafundisha nini? ama una maana nyingine tofauti? kama profesa J ,profesa maji marefu nk
 
I am smelling a rat here. Kama mgombea mtarajiwa kwa kauli hii unaharibu. Wanaosema Kyela mna siasa za chuki hawajakosea hata kidogo.

Mkuu,

Naona hizo nyota za U-kapitani ulizipata baada ya kupandishwa cheo.

Heri ungelibaki kuwa Korokoro, tungeelewa kuwa uelewa wako uko chini.
 
Port huyu atakuharibia kabisa kampeni yako afadhali hata childish sikonge!

Hi hii hiii, Shalom wajameni. (Ahhh, mama Lishe wa kizungu mzima lakini?)

Yaani ni mchemshaji na mpenda vya mteremko hadi analeta raha.

Kali zaidi ni hii alifanya alipokuwa Secondary.

Kaenda kwenye danguro na alipopewa bei kubwa akaanza kulia kwa dada "Muuza" wa hilo dangulo. Na dada mwenyewe aliyechukua alikuwa ni yule wa bei chafu.

Shalom alisikika akilia "dada nipunguzie bei maana mie ni MWANAFUNZI".

MFFFFFFFFFFFFFFFFFFFFYU.
 
Mkuu,

Naona hizo nyota za U-kapitani ulizipata baada ya kupandishwa cheo.

Heri ungelibaki kuwa Korokoro, tungeelewa kuwa uelewa wako uko chini.
Hiyo laptop dell refurbished inakufanya uchanganyikiwe? Nitakupatia LENOVO Thinkpad W series
33559220-2-200-0.gif
mpya kabisaaaa bila hata kuhitaji upambe wako. Ama kweli wapambe nuksi. Umekariri mtu kuwa Cpt lazima awe mwanajeshi!! I am refraining from calling you an 'Idiot'. Wapambe kama wewe ndio mnamharibia Mtanzania.
aangalia mwenyewe alivyojibu hapo chini ulinganishe na post yako utumbo.

Cpt Hadock,

Hapo nimeharibu nini? Strategy yao ya mashambulizi ni kwamba Mwakalinga ni fisadi, ametumwa na mafisadi nk. Sasa unataka asiandae majibu? Hiyo statement ina chuki gani? Naona labda wewe ndio umeipeleka kusiko kwenyewe kwa kuwa umeisoma haraka haraka au tayari kichwani ulishajenga opinion ya aina fulani.
Mwakalinga,
nimeisoma mara nyingi tu na kutafakari na naheshimu mtazamo wako. wangu ulikuwa ushauri wa bure kabisa. Kuhusu kujenga opinion ya aina fulani kichwani to be honest ipo na umepatia kabisa japo hukuweka alama ya kuuliza. Kwangu mtu yeyote anayegombea kupitia Chama Cha Majambazi ni Jambazi tu kama hao wengineo. Kwani ndege wa ubawa mmoja si huruka pamoja? Huwezi kuwa msafi ukiwa katika kundi la wachafu.
 
Back
Top Bottom