Monsignor
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 523
- 14
I am smelling a rat here. Kama mgombea mtarajiwa kwa kauli hii unaharibu. Wanaosema Kyela mna siasa za chuki hawajakosea hata kidogo.Mwawado,
Mkuu umenena yote hapo juu. Tunasubiri wakati ufike na kama mungu atatupa uhai basi kazi ianze ki kweli kweli.
Binafsi naona hii thread imekuwa na manufaa makubwa, strategy ya mashambulizi iko wazi, sasa ni kuandaa majibu!