Uchaguzi 2020 Kyela: CCM yazindua kampeni zake kwa nuksi, hospitali ya wilaya yaungua wakiwa mkutanoni, wazee waitabiria anguko kubwa sana

Kinanasi amepigwa kipapai
 
Wilaya na jimbo la Kyela lililokuwa
chini ya Mwakyembe zaidi ya miaka 15 halina hata gari ya zimamoto.

kweli CCM Haina maendeleo.

Maendeleo hayana chama.... Usichague upinzani hatutoleta maendeleo mkichagua upinzani... Alisikika kiongozi mmoja akiongea..

Ukweli ht ktk hayo majimbo ya CCM maendeleo hakuna.. CCM hawana jipya..
 

CCM Hali sio shwari wajumbe bado Wana hasira kwa kuchaguliwa Wagombea kinyume na maamuzi yao... Na Wagombea walioshindwa kihalali na wale walikatwa kwa figisu nao hasira zimejaa moyoni...
 
Fanya uchunguzi ujiridhishe mwenyewe , inasemakana hata cheti cha darasa la 7 hana , kingine unachopaswa kujua ni kwamba Mwakyembe haitwi msomi tu , bali anaitwa msomi mwenye digrii 4
Digrii 4 alafu tulia 3
 
Tunasubiri repoti ya uchunguzi juu ya chanzo cha moto huo!
 
Chama cha Mapinduzi ni wazi kuwa kimejawa ama na ushirikina uliopitiliza au ni dharau kwa Wapiga kura. Jimboni Karatu kuna mwingine aitwae "Awakii" naye vivyo hivyo inasemekana hajui kusoma wala kuandika. Cha ajabu form yake eti kujua kujaza vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeichoma moto nyie wahuni
 
Hivi mgombea ubunge wa Kyela Chadema ni nani ?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Moto kuunguza hospitali ni ajali ambayo inaathiri sana wagonjwa na wanachi ambao hupata huduma hospitalini hapo; nashindwa kuelewa mtu mwenye akili timamu kufurahia tukio hilo na kulifanya la kisisa. Ni kama CHADEMNA inafurahia sana hospitali zetu kuungua tubaki hatuna hospitali ili tuanze zile trip za kwenda India tena
 
Aliyesema amefurahi ni yupi ? uliwezaje kuwa Platnum member kwa akili zako duni hivyo ?
 
Ccm INA gundu gani?



CCM ina gundu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…