Unaposema moto huo ni nuksi kwa kampeini za CCM una maana gani? Inawezekana unahitaji vichwa vingi vya aina yako kutoa kilo moja ya ubongo iwapo hayo ndiyo majibu yako.Aliyesema amefurahi ni yupi ? uliwezaje kuwa Platnum member kwa akili zako duni hivyo ?
Kusitisha mbio za mwenge mwaka huu: Je, zindiko limekiukwa? Hili linaweza kuigharimu CCM pakubwaMkuu Mshana Jr nakuona online , ukichungulia vibuyu hii imekaaje ?
Uchunguzi ukifanyika inawezekana chama cha vurugu kikawa kimehusika na hii unayoiita nuksi...Kwa mujibu wa ratiba ya CCM Wilaya ya Kyela , Leo tarehe 11/9/2020 ndio siku iliyopangwa kuzindua kampeni za uchaguzi, ambapo Mgombea ubunge wake aitwaye Kinanasi ambaye inasemekana miezi 6 iliyopita alikuwa hajui kusoma wala kuandika angetambulishwa rasmi akiwa pamoja na wagombea udiwani wa kata zote.
Hata hivyo, wakiwa katikati ya uzinduzi wao zikaletwa habari za kuungua moto kwa hospitali ya Wilaya hiyo, ambapo baadhi ya wagonjwa walikimbia wakiwa na dripu zao mikononi huku wakiwa wamevaa mashuka ya hospitali, jambo hili halijashangaza sana maana ni wazi kwamba ajali haina kinga, lakini wazee wengi wa Kyela wanatafsiri hali hii kama Mkosi mkubwa kwa chama hicho na wengi wamekitabiria kuangukia pua kwenye uchaguzi huu, wanaamini kwamba safari ya CCM imeanza kwa mguu wa kushoto kitu ambacho si ishara nzuri.
Sisi wengine tunayachukulia kwa umakini mkubwa uliojaa tahadhari sana maono ya Wazee, maana iko wazi kwamba Wazee ni hazina na wameona mengi sana.
Moto kwenye ulimwengu wa roho si kitu chema sana...Unaposema moto huo ni nuksi kwa kampeini za CCM una maana gani? Inawezekana unahitaji vichwa vingi vya aina yako kutoa kilo moja ya ubongo iwapo hayo ndiyo majibu yako.
Umepewa nafasi uitumie vizuri sasa siyo uishie kura saba kama MwakyembeMwanyamaki yuko kwenye majukumu mengine
Habari ya kusoma na kuandika iliibuliwa kwenye kura zenu za maoni , mbona huko hamkusema alisoma Ujerumani ?Kinanasi Amesoma Tanzania mpaka kidato Cha sita na masomo yake ya Elimu ya juu amefanyia nchini ujerumani, huo uongo unao andika mnufaika ni Nani?
Swali lako ni la kijinga sanaKwani hiyo hospital iliyoungua inawahudumia wana ccm peke yao?
Mbona haukumuwekea pingamiziHabari ya kusoma na kuandika iliibuliwa kwenye kura zenu za maoni , mbona huko hamkusema alisoma Ujerumani ?
Jf hatulei uozo mkuu , umri wako humu hauna msaada wowoteHapo ndio unapoonekana mtu uliyekosa busara unapoanza kutoa lugha zisizofaa kwa mtu usiyemfahamu wala umri wake, jifunze kuwa busara inaonesha taswira ya mtu.
kumpinga mtu utakayemuangusha kwenye uchaguzi ni sawa na kupoteza mudaMbona haukumuwekea pingamizi
Hivi mnandoto ya kumuangusha Kinanasi? Tusubiri tuonekumpinga mtu utakayemuangusha kwenye uchaguzi ni sawa na kupoteza muda
Fichama Mkuu, Kichuguu kakusaula!Aliyesema amefurahi ni yupi ? uliwezaje kuwa Platnum member kwa akili zako duni hivyo ?
Digrii 4 alafu tulia 3
CCM imeidhalilisha Kyela kwa miaka yote , wananchi wamechoka mno ! Hospitali inaungua gari ya zima moto inaagizwa Mbeya Mjini ! uliona wapi umasikini kama huu ?Hivi mnandoto ya kumuangusha Kinanasi? Tusubiri tuone