Uchaguzi 2020 Kyela: CCM yazindua kampeni zake kwa nuksi, hospitali ya wilaya yaungua wakiwa mkutanoni, wazee waitabiria anguko kubwa sana

Uchaguzi 2020 Kyela: CCM yazindua kampeni zake kwa nuksi, hospitali ya wilaya yaungua wakiwa mkutanoni, wazee waitabiria anguko kubwa sana

Aliyesema amefurahi ni yupi ? uliwezaje kuwa Platnum member kwa akili zako duni hivyo ?
Unaposema moto huo ni nuksi kwa kampeini za CCM una maana gani? Inawezekana unahitaji vichwa vingi vya aina yako kutoa kilo moja ya ubongo iwapo hayo ndiyo majibu yako.
 
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM Wilaya ya Kyela , Leo tarehe 11/9/2020 ndio siku iliyopangwa kuzindua kampeni za uchaguzi, ambapo Mgombea ubunge wake aitwaye Kinanasi ambaye inasemekana miezi 6 iliyopita alikuwa hajui kusoma wala kuandika angetambulishwa rasmi akiwa pamoja na wagombea udiwani wa kata zote.

Hata hivyo, wakiwa katikati ya uzinduzi wao zikaletwa habari za kuungua moto kwa hospitali ya Wilaya hiyo, ambapo baadhi ya wagonjwa walikimbia wakiwa na dripu zao mikononi huku wakiwa wamevaa mashuka ya hospitali, jambo hili halijashangaza sana maana ni wazi kwamba ajali haina kinga, lakini wazee wengi wa Kyela wanatafsiri hali hii kama Mkosi mkubwa kwa chama hicho na wengi wamekitabiria kuangukia pua kwenye uchaguzi huu, wanaamini kwamba safari ya CCM imeanza kwa mguu wa kushoto kitu ambacho si ishara nzuri.

Sisi wengine tunayachukulia kwa umakini mkubwa uliojaa tahadhari sana maono ya Wazee, maana iko wazi kwamba Wazee ni hazina na wameona mengi sana.
Uchunguzi ukifanyika inawezekana chama cha vurugu kikawa kimehusika na hii unayoiita nuksi...
 
Nipo kyela aisee hao wazee anao wasemea ametype kwenye keyboard tuu na Kinanasi Ali anyigulile Jumbe Mlagila ndie mwamba wa ukanda huu hakuna wa kumuangusha
 
Kinanasi Amesoma Tanzania mpaka kidato Cha sita na masomo yake ya Elimu ya juu amefanyia nchini ujerumani, huo uongo unao andika mnufaika ni Nani?
 
Kinanasi Amesoma Tanzania mpaka kidato Cha sita na masomo yake ya Elimu ya juu amefanyia nchini ujerumani, huo uongo unao andika mnufaika ni Nani?
Habari ya kusoma na kuandika iliibuliwa kwenye kura zenu za maoni , mbona huko hamkusema alisoma Ujerumani ?
 
Hapo ndio unapoonekana mtu uliyekosa busara unapoanza kutoa lugha zisizofaa kwa mtu usiyemfahamu wala umri wake, jifunze kuwa busara inaonesha taswira ya mtu.
 
Hapo ndio unapoonekana mtu uliyekosa busara unapoanza kutoa lugha zisizofaa kwa mtu usiyemfahamu wala umri wake, jifunze kuwa busara inaonesha taswira ya mtu.
Jf hatulei uozo mkuu , umri wako humu hauna msaada wowote
 
Digrii 4 alafu tulia 3

Hizo digrii zinafaa kuzitundika ukutani; digrii 4 zilikuwa Kyela kwa zaidi ya miaka kumi lakini bado wananchi hawana huduma muhimu!!! Elimu isiyosaidia jamii haina faida yoyote.
 
Hivi mnandoto ya kumuangusha Kinanasi? Tusubiri tuone
CCM imeidhalilisha Kyela kwa miaka yote , wananchi wamechoka mno ! Hospitali inaungua gari ya zima moto inaagizwa Mbeya Mjini ! uliona wapi umasikini kama huu ?
 
Mgombea aliyeletwa na Chadema kyela this tyme hana mvuto wa kumzidi kinanasi kabisa.
 
Back
Top Bottom