Uchaguzi 2020 Kyela: CCM yazindua kampeni zake kwa nuksi, hospitali ya wilaya yaungua wakiwa mkutanoni, wazee waitabiria anguko kubwa sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM Wilaya ya Kyela , Leo tarehe 11/9/2020 ndio siku iliyopangwa kuzindua kampeni za uchaguzi, ambapo Mgombea ubunge wake aitwaye Kinanasi ambaye inasemekana miezi 6 iliyopita alikuwa hajui kusoma wala kuandika angetambulishwa rasmi akiwa pamoja na wagombea udiwani wa kata zote.

Hata hivyo, wakiwa katikati ya uzinduzi wao zikaletwa habari za kuungua moto kwa hospitali ya Wilaya hiyo, ambapo baadhi ya wagonjwa walikimbia wakiwa na dripu zao mikononi huku wakiwa wamevaa mashuka ya hospitali, jambo hili halijashangaza sana maana ni wazi kwamba ajali haina kinga, lakini wazee wengi wa Kyela wanatafsiri hali hii kama Mkosi mkubwa kwa chama hicho na wengi wamekitabiria kuangukia pua kwenye uchaguzi huu, wanaamini kwamba safari ya CCM imeanza kwa mguu wa kushoto kitu ambacho si ishara nzuri.

Sisi wengine tunayachukulia kwa umakini mkubwa uliojaa tahadhari sana maono ya Wazee, maana iko wazi kwamba Wazee ni hazina na wameona mengi sana.
 
Mkuu Ni Habari Nzuri Ila Ina Ushabiki Uliopitiliza...

Kwa Hiyo Huyo "Kinanasi" Aliyemwangusha Msomi Dr.Mwakyembe ana Wiki Moja tu baada ya KUJUA kusoma na Kuandika?!!!

Loooh Unajua Kuna Wakati Hatuchangii Hata Post Za UVCCM wenzangu Kwa kule kujaa "UWEPESI NA USHABIKI KOKO"....

Hayaa Banaa😁😁😁
 
Fanya uchunguzi ujiridhishe mwenyewe , inasemakana hata cheti cha darasa la 7 hana , kingine unachopaswa kujua ni kwamba Mwakyembe haitwi msomi tu , bali anaitwa msomi mwenye digrii 4
 
Hizo figisu figisu huko Kyela zinafanywa na huyo aliyepigwa spana na madigri yake manne!!! Je alikuwepo wakati kampeni inazinduliwa? Kama hakuwepo vyombo vya dola vimfuatilie wajue alikuwa wapi yeye au wapambe wake wakati hospitali inaungua!!! Ni mnafiki hamtakii mema "KINANASI"!!
 
Hizo figisu figisu huyo Kyela zinafanywa na huyo aliyepigwa spana na madigri yake manne!!! Je alikuwepo vacati Kampeni inazinduliwa? Kama hakuwepo vyombo vya dola vimfuatilie wajue alikuwa wapi yeye au wapambe wake wakati hospitali inaungua!!!
Ohooooooo !!!
 
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM Wilaya ya Kyela , Leo tarehe 11/9/2020 ndio siku iliyopangwa kuzindua kampeni za uchaguzi, ambapo Mgombea ubunge wake aitwaye Kinanasi ambaye inasemekana miezi 6 iliyopita alikuwa hajui kusoma wala kuandika angetambulishwa rasmi akiwa pamoja na wagombea udiwani wa kata zote.

Hata hivyo, wakiwa katikati ya uzinduzi wao zikaletwa habari za kuungua moto kwa hospitali ya Wilaya hiyo, ambapo baadhi ya wagonjwa walikimbia wakiwa na dripu zao mikononi huku wakiwa wamevaa mashuka ya hospitali, jambo hili halijashangaza sana maana ni wazi kwamba ajali haina kinga, lakini wazee wengi wa Kyela wanatafsiri hali hii kama Mkosi mkubwa kwa chama hicho na wengi wamekitabiria kuangukia pua kwenye uchaguzi huu, wanaamini kwamba safari ya CCM imeanza kwa mguu wa kushoto kitu ambacho si ishara nzuri.

Sisi wengine tunayachukulia kwa umakini mkubwa uliojaa tahadhari sana maono ya Wazee, maana iko wazi kwamba Wazee ni hazina na wameona mengi sana.

mzee Mtei mmemtelekeza alafu unaenda kuskiliza wazee wapi hao
 
Ni uzushi mkubwa kwamba eti Ali kinanasi ni std 7 na kajifunza kusoma na kuandika miezi 6 iliyopita, kwa taarifa yako jamaa ana Bachelor of Science in Civil engeneering tena kaisomea Ujeruman huko, na alienda direct ujeruman baada tu ya kuhitimu kidato 6, sio kama wale amabao waliopata degree nne kwa kuungaunga kuanzia kwenye diploma, na amekaa baada ya kuhitamu alifanya kazi zaidi ya miaka mitano huko huko ujerumani, Amerudi nchini mwaka 2014, hiyo ya kwamba nibstd 7 ni uzushi wa kambi ya madegree manne
 
Back
Top Bottom