Uchaguzi 2020 Kyela: CCM yazindua kampeni zake kwa nuksi, hospitali ya wilaya yaungua wakiwa mkutanoni, wazee waitabiria anguko kubwa sana

CCM fungu la kukosa!! Kila wafanyalo nuksi zinawaandama!!
Hii roho ya kukataliwa si bure kuna jambo wamemkosema muumba wao!!
 
CCM imeidhalilisha Kyela kwa miaka yote , wananchi wamechoka mno ! Hospitali inaungua gari ya zima moto inaagizwa Mbeya Mjini ! uliona wapi umasikini kama huu ?
Mkuu hakukuwa na wagonjwa ndani??
 
Mgombea aliyeletwa na Chadema kyela this tyme hana mvuto wa kumzidi kinanasi kabisa.
Kama unampenda mtu kutokana na sura yake , basi nenda kanywe naye chai - JK NYERERE
 
Mkuu mtu akiongelea mvuto sio uzuri wa sura acha ushamba malafyale
Sasa Kinanasi ana mvuto gani ? huyu sisi tunampiga kwa hoja , huyu akishirikiana na Hunter Mwakifuna ndio waliopora soko la halmashauri na kulimilikisha kwa ccm , kumbuka pia kwamba chanzo kikuu cha mapato ya halmashauri ya kyela ni hili soko lililoporwa .
 
Ila kwa hunter yule jamaa hapaswi kuishi hata kyela kwa ubinafsi
Sasa Kinanasi ana mvuto gani ? huyu sisi tunampiga kwa hoja , huyu akishirikiana na Hunter Mwakifuna ndio waliopora soko la halmashauri na kulimilikisha kwa ccm , kumbuka pia kwamba chanzo kikuu cha mapato ya halmashauri ya kyela ni hili soko lililoporwa .
 
Mkuu Ni Habari Nzuri Ila Ina Ushabiki Uliopitiliza...

Kwa Hiyo Huyo "Kinanasi" Aliyemwangusha Msomi Dr.Mwakyembe ana Wiki Moja tu baada ya KUJUA kusoma na Kuandika?!!!

Loooh Unajua Kuna Wakati Hatuchangii Hata Post Za UVCCM wenzangu Kwa kule kujaa "UWEPESI NA USHABIKI KOKO"....

Hayaa Banaa😁😁😁
Sema tuu CCM wanapenda vigobole pale Kyela kuna mCCM moja anaitwa Gabriel Mwakalinga(Kipija) wa KEIFO very smart but ling'ang'ania kikongwe Harrison sijuwi maana ake nini??
 
CCM imeidhalilisha Kyela kwa miaka yote , wananchi wamechoka mno ! Hospitali inaungua gari ya zima moto inaagizwa Mbeya Mjini ! uliona wapi umasikini kama huu ?
Samahani sie tuliagiza tukuyu ilo la mbeya jiji mliaagiza CHADEMA?
 
Sasa Kinanasi ana mvuto gani ? huyu sisi tunampiga kwa hoja , huyu akishirikiana na Hunter Mwakifuna ndio waliopora soko la halmashauri na kulimilikisha kwa ccm , kumbuka pia kwamba chanzo kikuu cha mapato ya halmashauri ya kyela ni hili soko lililoporwa .
Samahani Hii unayo zungumzia ni Kyerwa au Kyela?

Chanzo kikuu Cha mapato huku Kyela ni Kokoa soko kuu si kitu kabisa
 
Pole nyingi kwa wahanga yaani wagonjwa waliopatwa na madhira hayo mwenyezi mungu awape wepesi...!!
 
Wilaya na jimbo la Kyela lililokuwa
chini ya Mwakyembe zaidi ya miaka 15 halina hata gari ya zimamoto.

kweli CCM Haina maendeleo.

Usiwe na khofu, Wagonjwa watabebwa na ndege walizonunua, (dreamliners).
 
Mgombea ubunge wa CDM anaishi kwenye hoteri ya kifahari hapa mjini ya king Solomon, kwa siku zote za kampeni hata firisika?

Akichaguliwa tutaishi nae kitaa kweli?

Kwanini asije ishi na sisi Masebe huku, Mpunguti, kabanga, lupembe, ilondo, lugombo ngonga huku maana tunampenda
 
unaumia roho !
 
Back
Top Bottom