Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Si unaona yameanza kuonekana matunda ya anguko la ccm , haya magoti wanayopiga ni ishara tosha kuwa wako taabani wameelekea kibra wanasubiria kuchinjwa oktoba 28 .We ona Jiwe , Ummy Mwalimu , Jenister Mhagama , Ndalichako wanasalimia sakafu wenyewe bila kupenda ndio tayari hao anguko lao limeanza .
Attachments
-
Screenshot_20201001-014422.png86.5 KB · Views: 2 -
IMG_20201002_000058.jpg20.1 KB · Views: 2 -
IMG_20200930_190219.jpg85.7 KB · Views: 2 -
IMG_20200930_083838.jpg46.4 KB · Views: 2 -
IMG_20200930_083824.jpg45.9 KB · Views: 2 -
IMG_20200930_083832.jpg47.4 KB · Views: 2 -
Screenshot_20200930-082754.png97.9 KB · Views: 2