YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Umekuja na ID nyingineWewe umemtaja kenge hapo mod Kwani mumelala piga bani wenye midomo michafu bila hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekuja na ID nyingineWewe umemtaja kenge hapo mod Kwani mumelala piga bani wenye midomo michafu bila hoja
Mbeya mjini walipora shule iliyojulikana N A na baadae L A miaka ya sitini ikiwa Mali ya serikali na sasa inaitwa TAPA Meta Sekondari pamoja na uwanja wa mpira, nalikumbuka soko hilo liko katikati ya mji na enzi hizo lilikuwa karibu na kituo cha mabasi ya Shirika la Reli.Wakuu natanguliza salamu , baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja ,
Soko Kuu la Wilaya ya Kyela kwa miaka yote ya Uhai wake lilikuwa mali ya Halmashauri , lilikuwa ni mali ya umma , Halmashauri ilitoa ramani ya muongozo kwa wananchi waliokuwa na uwezo wa kujenga vibanda vya biashara na kujenga meza ndani ya soko hilo , huku gharama zikiainishwa na baadaye kuingia mikataba ya upangaji na Halmashauri , kwa kukata gharama zao taratibu kwenye kodi , TAARIFA ZA SASA NI KWAMBA HALMASHAURI IMEAMUA KUGAWA SOKO HILO KWA CCM bila kufuata utaratibu wowote ule , Hakuna kikao chochote cha Madiwani kilichowahi kuidhinisha jambo hili , watendaji wa Halmashauri waliojaribu kulivalia njuga jambo hili wametishwa kufukuzwa kazi na kutekwa .
Viongozi Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM , Hunter Mwakifuna na Mkurugenzi wa Wilaya bila kufuata sheria yoyote wala utaratibu wowote ule wa kisheria wameamua kuligawa soko la Kyela kwa ccm , ambalo ndio Chanzo Kikuu cha mapato ya halmashauri , ndani yake kuna maduka zaidi ya 200 huku meza za soko la samaki wabichi na wakavu na meza za kuuzia nafaka zikiwa lukuki , Hili wananchi wa Kyela hatutakubali na tuko tayari kujaza makaburi mapya ya Kapamisya kwa siku moja.
Ili kufupisha habari tunaiamrisha Halmashauri ya Wilaya ya Kyela kurejesha mara moja umiliki wa Uwanja wa Mwakangale kwa umma , kuirejesha timu ya mpira wa miguu ya Boma na nyaraka zake zote mikononi mwa wananchi haraka sana , hatuna ugomvi na " mwekezaji " Kipija ambaye ni diwani wa ccm , akitaka kuwekeza afuate taratibu , lakini hatutakubali achukue tu timu ya wananchi kama vile kaokota embe mfipo , ni lazima taratibu za nchi zifuatwe .
Suleiman Jaffo Waziri wa Tamisemi hakikisha ccm inarejesha vyanzo vikuu vya mapato vya Halmashauri ya Kyela bila masharti yoyote na ahakikishe Mbunge wa Kyela anahojiwa na TAKUKURU kuhusiana na jambo hili , maana haiwezekani dhuluma hii kufanyika bila Mh Mbunge kufahamu .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .
........ Itaendelea ..........
Mungu ibariki Kyela
Hatutakubali huu ujingaMbeya mjini walipora shule iliyojulikana N A na baadae L A miaka ya sitini ikiwa Mali ya serikali na sasa inaitwa TAPA Meta Sekondari pamoja na uwanja wa mpira, nalikumbuka soko hilo liko katikati ya mji na enzi hizo lilikuwa karibu na kituo cha mabasi ya Shirika la Reli.
MAPITO MWANZA ni mmoja habadiliki mjomba Huyu ni KAMANDA Hana utoto huoUmekuja na ID nyingine
kweli shemeji.... safi sana!
JF yote inatambua hivyoMAPITO MWANZA ni mmoja habadiliki mjomba Huyu ni KAMANDA Hana utoto huo
Hii taarifa unaiandika kishabiki sana hadi inakosa uhalisiaWakuu natanguliza salamu , baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja ,
Soko Kuu la Wilaya ya Kyela kwa miaka yote ya Uhai wake lilikuwa mali ya Halmashauri , lilikuwa ni mali ya umma , Halmashauri ilitoa ramani ya muongozo kwa wananchi waliokuwa na uwezo wa kujenga vibanda vya biashara na kujenga meza ndani ya soko hilo , huku gharama zikiainishwa na baadaye kuingia mikataba ya upangaji na Halmashauri , kwa kukata gharama zao taratibu kwenye kodi , TAARIFA ZA SASA NI KWAMBA HALMASHAURI IMEAMUA KUGAWA SOKO HILO KWA CCM bila kufuata utaratibu wowote ule , Hakuna kikao chochote cha Madiwani kilichowahi kuidhinisha jambo hili , watendaji wa Halmashauri waliojaribu kulivalia njuga jambo hili wametishwa kufukuzwa kazi na kutekwa .
Viongozi Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM , Hunter Mwakifuna na Mkurugenzi wa Wilaya bila kufuata sheria yoyote wala utaratibu wowote ule wa kisheria wameamua kuligawa soko la Kyela kwa ccm , ambalo ndio Chanzo Kikuu cha mapato ya halmashauri , ndani yake kuna maduka zaidi ya 200 huku meza za soko la samaki wabichi na wakavu na meza za kuuzia nafaka zikiwa lukuki , Hili wananchi wa Kyela hatutakubali na tuko tayari kujaza makaburi mapya ya Kapamisya kwa siku moja.
Ili kufupisha habari tunaiamrisha Halmashauri ya Wilaya ya Kyela kurejesha mara moja umiliki wa Uwanja wa Mwakangale kwa umma , kuirejesha timu ya mpira wa miguu ya Boma na nyaraka zake zote mikononi mwa wananchi haraka sana , hatuna ugomvi na " mwekezaji " Kipija ambaye ni diwani wa ccm , akitaka kuwekeza afuate taratibu , lakini hatutakubali achukue tu timu ya wananchi kama vile kaokota embe mfipo , ni lazima taratibu za nchi zifuatwe .
Suleiman Jaffo Waziri wa Tamisemi hakikisha ccm inarejesha vyanzo vikuu vya mapato vya Halmashauri ya Kyela bila masharti yoyote na ahakikishe Mbunge wa Kyela anahojiwa na TAKUKURU kuhusiana na jambo hili , maana haiwezekani dhuluma hii kufanyika bila Mh Mbunge kufahamu .
NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO .
........ Itaendelea ..........
Mungu ibariki Kyela
je ni taarifa ya uongo ?Hii taarifa unaiandika kishabiki sana hadi inakosa uhalisia
Wanaogopa kurest inpcWananchi mliozaliwa Kyela popote mlipo duniani hakikisheni mnapambana mali za umma zirejeshwe
Tutakomboa kila mali ya WananchiHata huku sumbawanga,wamefanya ivyoivyo