Kyela: Wananchi wachachamaa , wataka Meya na Mkurugenzi wakamatwe , yumo pia diwani mmoja , Mwakyembe naye atakiwa kuhojiwa

Mbeya mjini walipora shule iliyojulikana N A na baadae L A miaka ya sitini ikiwa Mali ya serikali na sasa inaitwa TAPA Meta Sekondari pamoja na uwanja wa mpira, nalikumbuka soko hilo liko katikati ya mji na enzi hizo lilikuwa karibu na kituo cha mabasi ya Shirika la Reli.
 
Hatutakubali huu ujinga
 
Hii taarifa unaiandika kishabiki sana hadi inakosa uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…