Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Nawaombea msamaha wote waliokubeza, nimeifatilia hiyo habari ni kweli Ines sio Girlfriend wa Mbappe isipokua mwanamke aliyeonekana nae kwenye boti watu wakamfananisha na Ines lakini ukiangalia miili yao na sura ni tofauti sababu Ines ni mwembamba sana na ana maziwa madogo na huyo mwingine maziwa yake makubwa na anatunyama angalau,

Lakini zaidi Bibie Ines ana partner wake walianzana mwaka 2015 hadi sasa wapo pamoja,

Tusamehe sisi tusiopenda kutafuta right infos badala yake tunaanza kusambaza uzushi na kuushupalia uwe kweli

 
Wanakua na papuchi ila inakua Ni ya dukani, sio orijino.
Hamna mkuu, hakuna kitu kinachochomekwa ni sehemu za siri za kiume zinachongwa na kuchambuliwa. Kuna mishipa inatumika kuunda vaginal areas na kuna sehemu ya nyama za uume zinaondolewa. Inatokea K ila haiwi na mwisho eneo la kizazi.
 
Sasa kama sio wote mnawezaje kumjaji au kumlaum mbape, mlijuaje kama anamla mwenye papuchi au asiye nayo? Au alishawaonesha mkashuhudia Kwa macho yenu kwamba anayeliwa Hana papuchi?
Sasa mtu si anakuwa anajulikana. Mfano wewe utake kuoa mwanamke hivi inawezekana kweli usijue personal details zake kama alishawahi kuwa na nani, alishatoa ujauzito, alishafanya scandals ipi na ipi.

Sasa huyu aliyedate nae ni mwanamitindo na inajulikana kuwa alifanya gender transformation yaani kujibadili jinsia. Na inajulikana hata ukienda mitandaoni inajulikana so its a choice haikuwa bahati mbaya.

Na kilichofanya wazinguane ni kwasababu jamaa baada ya kufanya vizuri kombe la Dunia wadada wengi wakawa interested kumjua ndio personal details zake zikaanza kusambaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah umeruka nae kidiplomasia yaani.
 
Hakuna gender transformation ya female to male iliyofanikiwa kuweka penis. Kuna ujinga ujinga huwa wanafanya wa kukata nyama za upaja na mikono na kutengeneza likitu la ajabu kama soseji ambalo huwa wanalishonea katika sehemu za siri za mwanamke ili kuweka muonekano wa uume but huwa hauna kazi zaidi ya kupitisha mkojo.

Ukiona picha unaweza kutapika na kujiuliza hivi hawa wazungu vichaa vyao vinawapeleka wapi.
 
Duuh hatari 🙌
 
Hawezi kuwa mwanamke Kamili hata iwaje. Huyo ni biologically male hadi anazeeka. Kwasababu vinasaba vyake ni vya kiume ingawa ameshatoa sehemu ya via vya uzazi kama korodani na misuli na nyama za uume lakini DNA yake inamsoma kama XY chromosome being.

Huyu ni mwanaume na yoyote anaelala nae anajua kuwa anashiriki na mwanaume mwenzake.
 
Laana tupu. Mafanikio mengine ni maanguko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…