Mwamaleki
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 727
- 2,969
Swali zuriGoogle itakuvuruga wewe hahahaha
Hivi kwa mfano nikiamua kubadili sura yangu ifanane na yako, will I be you? au nitakua mimi ninaefanana na wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuriGoogle itakuvuruga wewe hahahaha
Hivi kwa mfano nikiamua kubadili sura yangu ifanane na yako, will I be you? au nitakua mimi ninaefanana na wewe?
Yeye ndo alikua top. Huyo trans alikua bottom. Acha ku force vitu ewe mshabiki wa MesseDogo amepata pesa hadi kushughulika km mwanaume hataki anataka ashughulikiwe
Sasa kama ana hela kiasi cha kubadili jinsia atakosaje za kusaidia watu for 'public reasons?'Kuna watupori humu ni wabishi balaa, mtu anaelekezwa kua inawezekana kwani kitu kikiwezekana kufanyika ndio basi unakua unasapoti? Yaan wanataka wote humu tupingane na ukweli kisa tu tuonekane hatusapoti hayo mambo,
Huyo Ines licha ya kufanya hivyo alivyofanya anasaidia jamii balaa nimemfatilia Insta hadi nimempenda, lakini watu wanajifanya kumuhukumu humu ilhali akipita omba omba wanasikia kichefu chefu, wanadhulumu yatima na kutesa wajane, sipati kusema huko kupishana kwa waganga sasa.
Inasemekana na wewe. Not otherwiseDogo ni shoga pia inasemekana
Huyu ni mwanamke mkuu. Yote kwa yote jifunze kuheshimu watu na kuwajibu bila kuwa attack.wee choko usiniite dogo.hapo ulipo tundu liko wazi unatembea na ped.mwanaume kufirw Kuna kusaidia nini?unafikiri hatujui kua wee nichoko?
Kumbe inasemekana. Pia inasemekana wewe ni diwaniInasemekana michelle naye ni Trans
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kutengeneza ?
Wewe unapima upepo una tabia za kishenzi
Alikuambia yeye ni doctor wa kufanya plastic surgeries? Grow up young man
[emoji1680][emoji1680][emoji1680]- What has happened to common sense?.... Anabadili vip jinsia? With reasonable degree of medical certainity unaweza elezea hilo?
- Wewe ni mwanamke lakini umeshidwa kuelewa ni kitu gani kinakufanya uwe mwanamke, kupelekea kuamini kwamba mwanaume anaweza kua mwanamke.
NaaaamAma kweli " Kwenye ulimwengu wa wajinga, wajinga pekee ndio wenye akili" hahahaha
Swali lako linafikirisha mkuu. Nani wanawala hawa ndugu?We acha wanaume ukiwakuta wanavyopinga ushoga utajiuliza hawa mashoga wanaoibuka mitaani wanaliwa na Nani.?
Halafu ukiwapa fact tu wanakwambia ww unasapoti...
Kati ya Mimi mwanamke ambaye natetea haki yao ya kuishi hadharani na wao wanajifanya kupinga hadharani na kuwala kimya kimya Nani anasapoti ushoga.
Nauliza tu ndugu zangu WANAUME nayelala na hawa mashoga Nani mbona nyote mnawalaani Sana?
Au sie WANAWAKE?
Comment ya kishamba zaidi leoDogo yupo freemason,ametumwa na hao mashetani
Hivyo zile picha akiwa naye ni za uongoUsiamini kila kinachoandikwa
Wapo wengi wametukanwa kama Jeena Ortega na John Ducey
Kwa kuwa amekuwa maarufu sana duniani na ana wafuasi zaidi ya 90m
Ni uongo na huyo dume/jike wanasema kafanana na demu wake ambae hajaonekana nae tena baada ya rumors hizo
Hata yule wa kwanza alikuwa hajionyeshi kihivyo
Nimesoma mitandaoni kama hizi Habari ni kweli nikapata mawili matatu
Ni wivu na kutaka kuuza Habari tu maana siku hizi kutengeneza hela mitandaoni ni rahisi sana kwa wanoko, na waswahili wakidaka tu umekwisha hawachunguzi
View attachment 2463676
AiseDogo ni shoga pia inasemekana
Acha kujikomba kwa wanawake wa jf. Hilo ni shogaWewe jamaa hufikii hata robo tu ya uelewa wa huyo dada. Wewe saizi yako ni huko Mbagala maji matitu mnakoshindana kusutana kwa matusi..
Wanengenezwa manyinyo nkuongezewa homon za kike ila uume haukatwi unatakiwa uufiche kwenye boksa ngumu sana
Halafu anavimba kabisa eti huyu dogo soka lake halitafika mbali anamzungumzia mtu anayepokea B kwa wiki hali ya kua yeye amemzidi umri huyo dogo ila bado anakula ugali wa shikamoo kwa bibi akeKwa kubagua dhambi wabongo huwawezi....yaani mtu anamlaani mbappe huku yeye mwenyewe ni mzinifu..
Imagine mtu yupo mbagala maji matitu huko uswekeni anaoga maji ya chumvi eti anakuja hapa anamlaani mbappe....
Mimi sijasema ila wameandika kuwa anafanana na yule punga ila sioHivyo zile picha akiwa naye ni za uongo
Kuupenda au kutoupenda hakubadili ukweli kua mbape na huyo rafiki yako Ines ni mashoga.
Wote ni mashoga, hakuna awezae kubadili jinsia duniani.
Ukizaliwa dume ni dume mpaka kiama na ukizaliwa ke ni ke mpaka unaingia kaburini!!
Wanabadili muonekano tu na sio jinsia, kua me ni pamoja na kutungisha mimba(labda uzaliwe/ukwae matatizo ukubwani) ila huo ni uwezo mama wa me, vivyo hivyo kwa ke.
Sasa hao bosheni hawazaliani sasa jinsia gani hizo za mchongo.
Si walau hata kuku wa kisasa wanataga, hao ke na me wa mchongo hata manii hawatoi/siku zao hawana ni papuchi ya plastiki kama kopo la mo extra.