Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Kuna watupori humu ni wabishi balaa, mtu anaelekezwa kua inawezekana kwani kitu kikiwezekana kufanyika ndio basi unakua unasapoti? Yaan wanataka wote humu tupingane na ukweli kisa tu tuonekane hatusapoti hayo mambo,

Huyo Ines licha ya kufanya hivyo alivyofanya anasaidia jamii balaa nimemfatilia Insta hadi nimempenda, lakini watu wanajifanya kumuhukumu humu ilhali akipita omba omba wanasikia kichefu chefu, wanadhulumu yatima na kutesa wajane, sipati kusema huko kupishana kwa waganga sasa.
Sasa kama ana hela kiasi cha kubadili jinsia atakosaje za kusaidia watu for 'public reasons?'
Wanaosaidia kutoka moyoni hawana haja ya ku post insta. Tuache kuwa easily manipulated
 
- What has happened to common sense?.... Anabadili vip jinsia? With reasonable degree of medical certainity unaweza elezea hilo?

- Wewe ni mwanamke lakini umeshidwa kuelewa ni kitu gani kinakufanya uwe mwanamke, kupelekea kuamini kwamba mwanaume anaweza kua mwanamke.
[emoji1680][emoji1680][emoji1680]
 
We acha wanaume ukiwakuta wanavyopinga ushoga utajiuliza hawa mashoga wanaoibuka mitaani wanaliwa na Nani.?
Halafu ukiwapa fact tu wanakwambia ww unasapoti...
Kati ya Mimi mwanamke ambaye natetea haki yao ya kuishi hadharani na wao wanajifanya kupinga hadharani na kuwala kimya kimya Nani anasapoti ushoga.
Nauliza tu ndugu zangu WANAUME nayelala na hawa mashoga Nani mbona nyote mnawalaani Sana?
Au sie WANAWAKE?
Swali lako linafikirisha mkuu. Nani wanawala hawa ndugu?
 
Usiamini kila kinachoandikwa
Wapo wengi wametukanwa kama Jeena Ortega na John Ducey
Kwa kuwa amekuwa maarufu sana duniani na ana wafuasi zaidi ya 90m

Ni uongo na huyo dume/jike wanasema kafanana na demu wake ambae hajaonekana nae tena baada ya rumors hizo

Hata yule wa kwanza alikuwa hajionyeshi kihivyo
Nimesoma mitandaoni kama hizi Habari ni kweli nikapata mawili matatu

Ni wivu na kutaka kuuza Habari tu maana siku hizi kutengeneza hela mitandaoni ni rahisi sana kwa wanoko, na waswahili wakidaka tu umekwisha hawachunguzi
View attachment 2463676
Hivyo zile picha akiwa naye ni za uongo
 
Kwa kubagua dhambi wabongo huwawezi....yaani mtu anamlaani mbappe huku yeye mwenyewe ni mzinifu..
Imagine mtu yupo mbagala maji matitu huko uswekeni anaoga maji ya chumvi eti anakuja hapa anamlaani mbappe....
Halafu anavimba kabisa eti huyu dogo soka lake halitafika mbali anamzungumzia mtu anayepokea B kwa wiki hali ya kua yeye amemzidi umri huyo dogo ila bado anakula ugali wa shikamoo kwa bibi ake
 
Kuupenda au kutoupenda hakubadili ukweli kua mbape na huyo rafiki yako Ines ni mashoga.

Wote ni mashoga, hakuna awezae kubadili jinsia duniani.
Ukizaliwa dume ni dume mpaka kiama na ukizaliwa ke ni ke mpaka unaingia kaburini!!

Wanabadili muonekano tu na sio jinsia, kua me ni pamoja na kutungisha mimba(labda uzaliwe/ukwae matatizo ukubwani) ila huo ni uwezo mama wa me, vivyo hivyo kwa ke.

Sasa hao bosheni hawazaliani sasa jinsia gani hizo za mchongo.
Si walau hata kuku wa kisasa wanataga, hao ke na me wa mchongo hata manii hawatoi/siku zao hawana ni papuchi ya plastiki kama kopo la mo extra.

Kwa hiyo wanawake na wanaume matasa nao ni mashoga kisa hawazaliani?

Fungua akili yako acha kukariri sana,

Nakupa homework, nenda kasome masuala ya Sexuality na Gender Identity,

Ukishaipata hiyo elimu wafundishe na wengine usirudi kwangu.
 
Back
Top Bottom