Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Kylian Mbape anatoka na dume lililobadili jinsia

Mchezaji wa Ufaransa na PSG, Kylian Mbappé hajawahi kuweka wazi mahusiano yake lakini anaripotiwa kutoka na mwanamitindo aliyebadili jinsia Ines Rau.

Mbappé na Ines Rau wameonekana mara kadhaa na Camera za Mapaparazi wakila bata kwenye maeneo ya kujidai!

Ines Rau alizaliwa mwanaume, akiwa na miaka 16 alifanya upasuaji wa kubadili jinsia na kuwa Mwanamke (Transgender).

Ines alipata msukumo wa kufanya upasuaji wake kutoka kwa mwigizaji Caroline Cossey, ambaye alibadilisha jinsia mnamo 1991 alikuwa mtu wa kwanza aliyebadili jinsia kuwahi kutokea katika jarida la Playboy.

Cossey aliandika kitabu ‘I am a Woman’ ambacho kilikuwa chanzo cha msukumo kwa Ines, alikuwa na usaidizi wote kutoka kwa familia yake na marafiki katika upasuaji huo.

Alifanyiwa upasuaji huo akiwa na umri wa miaka 16 lakini hakufichua (hakuweka hadharani) hadi alipokuwa na umri wa miaka 24 (miaka minane baadaye) aliogopa kuweka wazi mapema, alidhani watu watamkataa ikiwa watajua kuwa yeye ni mtu aliyebadili jinsia.

Mbappe Mbappe mbappe usije TZ. View attachment 2456607View attachment 2456608
Asilaumiwe sana, hawa viumbe huwa watamu balaa, mara nyingi wanawazidi hata wanawake asilia, likikupea linakupea kweli
 
Sasa nimeelewa kuna viashiria fulani hivi vya huyo bwana mdogo ambavyo sikuvielewa na sasa nimevielewa
Mimi pia. Niliangalia mpira nikamuona alivyofunga akaenda kumrukia Giroud...nikasema huyu namna gani hapa...watu kule sports wakasema am over thinkin..haya kiko wapi?? Hakuna watu wanaotumika na mungu wa dunia hii kama watu famous...unless wazame deep deep kwenye imani na hawaachi hata kidogo!!!
 
Hapana,
Ines amebadili jinsi yake kwa upasuaji kutoka Me kwenda Ke (Transsexual) anasema amedate wanaume wengi na hawakuwahi kumjua hadi alipojitangaza mwenyewe kua ni mbadili jinsia
Kwani umtaro umezibwa hadi usifukuliwe?
 
Teh! Yaani nimecheka Sana kudadeki.

Mimi nikajua tu kwamba nadate/ naishi na mtu aliyebadili jinsia Yake kutoka ME Hadi KE walahi ile ndukii nitatoka hapo sio ya kitoto yaani🏃🏃🏃
Unaweza kulala akubake😂
 
Huyu dogo soka lake halitafika mbali

Dogo aliachwa na mrembo Emma baada ya mwanadada uyo kutomuelewa dogo akijiweka he sounds more like a woman

Sasa Mbappe amenasa kwa mwanamitindo ines ambaye alikuwa dume akaswitch jinsia

Kwa jinsi wafaransa wanavyopenda starehe Mbape ameumaliza mwendo

kylian-mbappe-ines-rau-1709126.jpg
 
Huyu dogo soka lake halitafika mbali

Dogo aliachwa na mrembo Emma baada ya mwanadada uyo kutomuelewa dogo akijiweka he sounds more like a woman

Sasa mbape amenasa kwa mwanamitindo ines ambaye alikuwa dume akaswitch jinsia

Ndege wafananao huruma pamoja kaka ake ronaldo naye alianza hivi hivi mpaka mwarabu akamuaharibia heshima

Kwa jinsi wafaransa wanavyopenda starehe Mbape ameumaliza mwendo
Hahahahaa mbape kumbe aliachwa? Kumbe anakula "Jicho" ndiyo maana mshine mda wote ipo dede akikumbuka "Nukta" ilivyo tight.
 
Back
Top Bottom