Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Mshambuliaji wa Bayern Munich na nahodha wa timu ya taifa ya England, Harry Kane, ameshinda tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka 2026, na kuwa Mwingereza wa kwanza kutwaa tuzo hiyo katika kipindi cha miaka 25 tangu Michael Owen aliposhinda mwaka 2001.
Kane, mwenye umri wa miaka 33, alitangazwa mshindi katika hafla ya tuzo hizo iliyofanyika London, England, Oktoba 26, 2026, akiwashinda Kylian Mbappé wa Real Madrid aliyeshika nafasi ya pili na Lamine Yamal wa Barcelona aliyemaliza nafasi ya tatu.
Mshambuliaji huyo alifunga mabao 73 katika mechi 65 alizocheza kwa Bayern Munich na England katika msimu wa 2025/2026, yakiwemo mabao 61 katika mechi 51 za klabu hiyo ya Ujerumani.
Mchango wake uliisaidia Bayern Munich kutwaa mataji ya Bundesliga na Kombe la Ujerumani, huku akiiongoza England hadi hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2026, ambako alifunga mabao sita.
Kane amekuwa Mwingereza wa tano kushinda Ballon d’Or ya wanaume, akifuata nyayo za Stanley Matthews (1956), Bobby Charlton (1966), Kevin Keegan (1978 na 1979) na Michael Owen, aliyekuwa mshindi wa mwisho kutoka England mwaka 2001.
Mshambuliaji wa timu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe hajashinda tuzo yoyote za Ballon dior kwa mwaka huu.
Kwenye vipengele vya tuzo 13 zilizotolewa kwenye hafla hiyo Mbappe hajaambulia hata tuzo moja.
====
Harry Kane is the Ballon d’Or winner for 2026, the first Englishman to win football’s most prestigious individual trophy in 25 years.
Two hours into a lavishly excitable ceremony at the Palladium Theatre in London, Kane’s name emerged from the final envelope to wild cheers inside the auditorium. The women’s Ballon d’Or, awarded moments earlier, was won by Alexia Putellas of London City Lionesses, a third Ballon, five years on from her first in the colours of Barcelona.
In the men’s voting, Kane finished ahead of co-favourites Lamine Yamal of Barcelona and Kylian Mbappé of Real Madrid, an outcome that will perhaps cause the familiar consternation among the hierarchy of those clubs, not to mention the vast online fan army attached to the superstar players in Kane’s wake.
But Kane is also a fully deserving winner of football’s ultimate gong. The L’Équipe-sponsored trophy is awarded by a vote of journalists and administrators across the footballing super-scape. For Kane, it is reward for a year during which he has won the European Golden Boot, played a major role in Bayern Munich’s Bundesliga title, captained England to a World Cup semi-final, and above all shown himself to be a wonderfully humble superstar player.

- Ballon d’Or:Harry Kane
- Mchezaji chipukizi bora: Lamine Yamal
- Mfungaji bora:Harry Kane
- Kipa bora: Unai Simón.
- Mchezaji Muadilifu: Bukayo Saka