Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Yaan kiufupi ni hivi , kane amebondwa na kunyongwa kwenye mashindano yote aliyokutana na mbappe ila amepewa d'or kisa ndondo ya bundesligaUbaguzi, kuchukua golden boot, tournament kubwa kama champion league na WC sio kitu kidogo kwa striker. Na wote walikuwemo, wote strikers.
Kazi ya striker ni kufunga magoli.