Kylian Mbappe atoka kapa tuzo za Ballon D’or 2026

Ubaguzi, kuchukua golden boot, tournament kubwa kama champion league na WC sio kitu kidogo kwa striker. Na wote walikuwemo, wote strikers.
Kazi ya striker ni kufunga magoli.
Yaan kiufupi ni hivi , kane amebondwa na kunyongwa kwenye mashindano yote aliyokutana na mbappe ila amepewa d'or kisa ndondo ya bundesliga
 
Mbappe mwafrika tangu lini?
 
Ukitumia akili unampa mbape ila hisia lazima umpe Kane
Mfungaji Bora wa mda wote kombe la dunia
Mfungaji Bora ligi Bora ya uefa
Mfungaji Bora mara mbili mfululizo la Liga
Kakosa kisa Hana kombe,kama kigezo ni kombe basi Fabian Luiz alistahili
 
Ukitumia akili unampa mbape ila hisia lazima umpe Kane
Mfungaji Bora wa mda wote kombe la dunia
Mfungaji Bora ligi Bora ya uefa
Mfungaji Bora mara mbili mfululizo la Liga
Kakosa kisa Hana kombe,kama kigezo ni kombe basi Fabian Luiz alistahili
Yani kumpa tuzo ya best Striker Kane hapo ndio wameharibu
 
mtu akikosa kitu mnakimbilia rangi ya ngozi 😆 dembele mbona amepata last time?
 
Sawa pamoja na kuwa mfungaji Bora lakini timu zake zimefika wapi? Hawaangalii ufungaji Bora tu ni zaidi ya hapo. Kane yeye kaisaidia Bayern Munich kuwa bingwa wa Bundesliga na kaifikisha England nusu fainali! Kane halistahili hiyo tuzo!
 
Muda wake bado vuta subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…