Tetesi: Kylie Jenner amwagwa!

Tetesi: Kylie Jenner amwagwa!

Phoenix

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
10,585
Reaction score
15,468
Je unafikiri umemaliza mwaka vibaya?
La hasha kabisa!Kuna tetesi kuwa mlimbwende Kylie,amwagwa na mpenzi wake!Tena akiwa mjamzito.

deeb1bc0d9230ffcbfcbbf61b997a17e.jpg
c863ec2e8d943b15733434d4154ad3e0.jpg


Usiombe ikukute.. waweza kuzaa siku sio zako.
Namwonea imani,kama ni kweli.
 
Nae alizidi jamani, miaka 19 abeba mimba badala ya kula maisha kwanza na pesa anazo

Pole kwake she is my favorite kardashian
 
dhambi dada wa watu, aje kwangu tu nianze nae mwaka 2018
 
Asa huyu kamwagwa tatizo itakuwa nini basi wazuri hawapo
 
Waliachana na tyga kisa nini walikua wanapendeza
Halaf mboba Rob harudi insta jamani
Khole nae ana mimba
 
Back
Top Bottom