La Chalz Sinza, ni Kijiwe cha makaka poa

ha ha ha njo usiogope mm nakaa apo nikishatoka mbali uko nakunywa mbili tatu naingia kulala
Duh nikifika ntakwambia at list uwepo wako utasaidia kuondoa suspicion
 
boni ukienda sehema fata kilichokupeleka kama kuna mengine unaachana nayo tu mm nafata beer nikimaliza nasepa ni sehemu nzr kwakweli kwa sisi wa karibu na hapo
Duh kwa kwel acha tu niende sehem nyengne nlizozoea nikanywe bila bugdha huko tuwaachie wenyewe mliopazoea
 
Nilienda siku inafunguliwa ilikua poa sana..kumbe ndio imekuja kuwa kijiwe cha makakapoa
 
Wewe una stress tu. Una haribu biashara ya bar ya MTU kwa fikra zako za kipuuzi. Kwani ww ulijuaje kama hujawah kwenda.
 
asifiae mvua imenyea!umejuaje yooote hayo?
 

WIVU WA KIBIASHARA HUU...TAFUTA BIASHARA NYINGINE YA KUFANYA LAKINI HII ACHANA NAYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…