Hainaga ushemeji
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 451
- 777
Jerry Josh na ray younger = fraternal twins
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh nikifika ntakwambia at list uwepo wako utasaidia kuondoa suspicionha ha ha njo usiogope mm nakaa apo nikishatoka mbali uko nakunywa mbili tatu naingia kulala
boni ukienda sehema fata kilichokupeleka kama kuna mengine unaachana nayo tu mm nafata beer nikimaliza nasepa ni sehemu nzr kwakweli kwa sisi wa karibu na hapoDuh nikifika ntakwambia at list uwepo wako utasaidia kuondoa suspicion
Duh kwa kwel acha tu niende sehem nyengne nlizozoea nikanywe bila bugdha huko tuwaachie wenyewe mliopazoeaboni ukienda sehema fata kilichokupeleka kama kuna mengine unaachana nayo tu mm nafata beer nikimaliza nasepa ni sehemu nzr kwakweli kwa sisi wa karibu na hapo
uje bhana mm sijawahi ona kaka poa acha uogaDuh kwa kwel acha tu niende sehem nyengne nlizozoea nikanywe bila bugdha huko tuwaachie wenyewe mliopazoea
Poa poa ntakwambia lakin nikiwa maeneo hayouje bhana mm sijawahi ona kaka poa acha uoga
ha ha ha sawaPoa poa ntakwambia lakin nikiwa maeneo hayo
Wewe una stress tu. Una haribu biashara ya bar ya MTU kwa fikra zako za kipuuzi. Kwani ww ulijuaje kama hujawah kwenda.Ukimuonaa mwanaume anapendaa saana kwenda la chalz sinza ujue naye ni mtumiaji wa mtandao wa goti manake pale ndo soko lao kuu zamani ilijulikana kama lavico .....So kuwa makini sio kilaa bar ya kuingiaa mjini ukienda pale kwa waanaojuaa wanajua kuwa ww ndo wale wale usishngae unafatwaa uanze kutukana tukana ovyo ndo bucha lao lili.....!!
asifiae mvua imenyea!umejuaje yooote hayo?Ukimuonaa mwanaume anapendaa saana kwenda la chalz sinza ujue naye ni mtumiaji wa mtandao wa goti manake pale ndo soko lao kuu zamani ilijulikana kama lavico .....So kuwa makini sio kilaa bar ya kuingiaa mjini ukienda pale kwa waanaojuaa wanajua kuwa ww ndo wale wale usishngae unafatwaa uanze kutukana tukana ovyo ndo bucha lao lili.....!!
Mori........Iko sinza ipi mkuu nije nikusalimie?
We ni dada poa?aisee yaan ww kwahyo na sisi ni madada poa tunaoenda kunywa
OkayMori........
sioWe ni dada poa?
Leo utakuwepo,nije?ha ha ha njo usiogope mm nakaa apo nikishatoka mbali uko nakunywa mbili tatu naingia kulala
Ukimuonaa mwanaume anapendaa saana kwenda la chalz sinza ujue naye ni mtumiaji wa mtandao wa goti manake pale ndo soko lao kuu zamani ilijulikana kama lavico .....So kuwa makini sio kilaa bar ya kuingiaa mjini ukienda pale kwa waanaojuaa wanajua kuwa ww ndo wale wale usishngae unafatwaa uanze kutukana tukana ovyo ndo bucha lao lili.....!!
hapana uwa nikipita njia ya apo ndio nakaa nikitoka sehemu kupoteza mdaLeo utakuwepo,nije?