La Chalz Sinza, ni Kijiwe cha makaka poa

I didn't know that
 
Kwa kua jerry na ni wale wale huenda ni kweli, mi nshawahi kuona mashoga pale aseee nilikuwa na kazi ya kuwashangaa wao tu kwanza style ya mavazi ni vile vibukta vifupi afu wamevikunja walivobinua viuno sasa mmmh
Teh teh teh, huwa nawaza pasi na jibu jinsi mwanaume anavyoinamishwa.
 
Kwa kua jerry na ni wale wale huenda ni kweli, mi nshawahi kuona mashoga pale aseee nilikuwa na kazi ya kuwashangaa wao tu kwanza style ya mavazi ni vile vibukta vifupi afu wamevikunja walivobinua viuno sasa mmmh
Wanakuambia wakaka ma handsome ndio wako hapo ,[emoji13] [emoji13] ,bora umesema wewe
 
hapana hapana umemuelewa vibaya yaani huyu jamaa ni kaka poa anatangaza anapopatikana
Wewe una stress tu. Una haribu biashara ya bar ya MTU kwa fikra zako za kipuuzi. Kwani ww ulijuaje kama hujawah kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…