miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
sawa mkuuukianza niambie, tuwe pamoja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mkuuukianza niambie, tuwe pamoja!
naona kapotea saa hzMwandiko kama rayyoungr
Mkuu
are you sure wewe sio miongoni mwa makaka poa?
Kumbe mkuu ulishamsoma huyo ni shoga anajitangaza kijanjajanja.jerry joshy nina wasiwasi nawe huenda unatangaza biashara inayokuhusu.
Lejea hizi thread zako.
Msaada: Tatizo la kukosaa hisia
https://www.jamiiforums.com/threads/hivi-kwanini-wanaume-wanapenda-kunyonywa-wao-tu.1147691/
I didn't know thatUkimuonaa mwanaume anapendaa saana kwenda la chalz sinza ujue naye ni mtumiaji wa mtandao wa goti manake pale ndo soko lao kuu zamani ilijulikana kama lavico .....So kuwa makini sio kilaa bar ya kuingiaa mjini ukienda pale kwa waanaojuaa wanajua kuwa ww ndo wale wale usishngae unafatwaa uanze kutukana tukana ovyo ndo bucha lao lili.....!!
Poa poa, usikose kunipa sign nikifika/ukifika nikutambue.karibu mkuu me lazima niwepo
sawa mkuuPoa poa, usikose kunipa sign nikifika/ukifika nikutambue.
Haya mbwa kala mbwajerry joshy nina wasiwasi nawe huenda unatangaza biashara inayokuhusu.
Lejea hizi thread zako.
Msaada: Tatizo la kukosaa hisia
https://www.jamiiforums.com/threads/hivi-kwanini-wanaume-wanapenda-kunyonywa-wao-tu.1147691/
Kwa kua jerry na ni wale wale huenda ni kweli, mi nshawahi kuona mashoga pale aseee nilikuwa na kazi ya kuwashangaa wao tu kwanza style ya mavazi ni vile vibukta vifupi afu wamevikunja walivobinua viuno sasa mmmhtoka nimeingia sijawahi ona kaka poa
Teh teh teh, huwa nawaza pasi na jibu jinsi mwanaume anavyoinamishwa.Kwa kua jerry na ni wale wale huenda ni kweli, mi nshawahi kuona mashoga pale aseee nilikuwa na kazi ya kuwashangaa wao tu kwanza style ya mavazi ni vile vibukta vifupi afu wamevikunja walivobinua viuno sasa mmmh
Huku 1200 zinaruka ruka huku na kuleTeh teh teh, huwa nawaza pasi na jibu jinsi mwanauma anavyoinamishwa.
Huku 1200 zinaruka ruka huku na kule
Kuna wanaume wana mioyo ya kishujaa ha ha ha ha ha
Wanakuambia wakaka ma handsome ndio wako hapo ,[emoji13] [emoji13] ,bora umesema weweKwa kua jerry na ni wale wale huenda ni kweli, mi nshawahi kuona mashoga pale aseee nilikuwa na kazi ya kuwashangaa wao tu kwanza style ya mavazi ni vile vibukta vifupi afu wamevikunja walivobinua viuno sasa mmmh
Ni wakaka waremboWanakuambia wakaka ma handsome ndio wako hapo ,[emoji13] [emoji13] ,bora umesema wewe
Hehehe,wakaka warembo aseee,usiniambie na wewe una mkaka mrembo hapoNi wakaka warembo
mchicha miibaJerry Josh na ray younger = fraternal twins
Wewe una stress tu. Una haribu biashara ya bar ya MTU kwa fikra zako za kipuuzi. Kwani ww ulijuaje kama hujawah kwenda.
Makange ndo nini?Labda siku za karibuni. Nimeshakaa pale na rafiki kadhaa palikuwa kawaida. Nilipenda mno makange yake ya kuku kwa chipsi. Sijawahi ona utengenezaji kama ule.
Hawa watu wanajuana, kama wewe huwajui huwezi dhania.
haa ahaha
nyama ya kuku, mbuzi , samaki inaungwa fulani na pilipiliMakange ndo nini?