lachicaguapa
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 269
- 72
Mimi naitwa Chica ili jina nilipewa na mwalimu wangu wa Spanish kwa kufaulu vizuri somo lake. Na guapa nilipewa na my friends walikuwa wanapenda ninavyosmile.
Leo Ndio nimeona nijitambulishe, baada ya kuona hii forum. Asanteni,
ni mimi mtiifu, lachica guapa.
Leo Ndio nimeona nijitambulishe, baada ya kuona hii forum. Asanteni,
ni mimi mtiifu, lachica guapa.