La HAZINA ya Dhahabu, limethibitisha TRA ya Samia ,ni wahuni,Makanjanja , wasiokua wabunifu, Wanaopikaga Data kumdanganya Samia waonekane wanakusanya!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Tukishaikomboa hii NCHI, hawa TRA NAO tutawafumua , tutawashikisha Adabu.

Wanaiba, wanajilimbikiza Maliz alafu wanakuja kupika Data, Kila Mwezi wanaonekana Makusanyo yamepanda.

Kumbe ni uongooo mtupu , HAINGII AKILINI , MIEZI MIWILI TU YA RAFIKI ZETU WAULAYA NANMAREKAN KUSITISHA MISAADA , ET TAYARI NCHI IKO HOOOOI BIN TAABAN KIASI KWAMBA WAMEAMUA KUUZA AKIBA YA DHAHABU YA NCHI KWA AJILI YA BARABARA, MAJI, KUNUNUA MA V8 !!.

KWA UFUPI, IMEONYESHA UCHUMI WA TANZANIA NI WA KUEGESHWA TU, UKITOA EGEMEO, UNAANGUKA !!

Thaman ya Shilingi INAENDA kuporomoka, Dola utakua juu na kubadilika, Kutakua na HYPERINFLATION ya juu sana, Rehani ya NCHI kukopesheka INAENDA kuondoka...

Aiseeee

HUU NI ZAIDI YA UWENDAWAZIMU!!
 
Sawa. Komboeni hiyo nchi basi
 
Nchi ya ******* hii, ina vyanzo vingi vya mapato, tuna maliasili kedekede, madhahabu, uranium, sijui gesi.. havina msaada kwetubsababu viongozi wetu wana akili fupi, akili zao zimeishia kwemye kuiba tu.
 
Yale makusanyo makubwa ya TRA ya kuvunja rekodi kila kukicha yanaenda wapi mpaka mnataka kuuza hadi jengo la BOT nyi Wananchi.
 
Back
Top Bottom